Jusco Health Care

Jusco Health Care Health Product, Distribution high Quality product consistently providing natural to benefit health and well being of people

Naitwa Dr. Juma Mwesigwa ni mtaalam niliyebobea kwa kutumia bidhaa za tiba lishe ambaye pia ni msambazaji wa bidhaa zinazotibu magonjwa mbalimbali yasiyo ambukiza. Kwa kutumia bidhaa za BF Suma zimekuwa na matokeo makubwa sana kwa wanaozitumia na kubadili Maisha yao. Kupitia bidhaa hii nimetibu watu wengi matatizo yao na kuleta furaha kwenye familia nyingi hapa nchini Tanzania.
-Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Huheso Fm Redio iliyopo Kahama Shinyanga Tanzania
-Pia ni Mkurugenzi wa Shirika la HUHESO Foundation lenye makao makuu mkoani Shinyanga
-Pia ni mwalimu ambaye pia nimesoma masomo ya Teolojia.

πŸŒΏπŸ’Š Habari Njema kwa Wanaosumbuliwa na Kisukari! πŸ’ŠπŸŒΏTunakuletea PACKAGE Maalum ya Tiba ya Asili 100% β€” suluhisho sahihi la...
10/05/2025

πŸŒΏπŸ’Š Habari Njema kwa Wanaosumbuliwa na Kisukari! πŸ’ŠπŸŒΏ

Tunakuletea PACKAGE Maalum ya Tiba ya Asili 100% β€” suluhisho sahihi la kusaidia kusimamia na kupambana na kisukari kwa njia salama na yenye ufanisi.

Katika package yetu utapata:

βœ… Gym Effect Capsules
β€’ Inapunguza kiwango cha sukari mwilini
β€’ Inasaidia kuzalisha insulin kwa kiwango sahihi
β€’ Inalinda moyo, macho, ngozi na nywele

βœ… Ganoderma Lucidium
β€’ Inaongeza kinga ya mwili
β€’ Inasaidia kuzuia madhara ya kisukari k**a saratani na matatizo ya mishipa

βœ… NMN Duo Capsules
β€’ Inakarabati seli zilizoharibika kutokana na kisukari
β€’ Inatoa nishati mpya mwilini na kuimarisha moyo

βœ… Zaminocal Plus
β€’ Inajenga mifupa imara na kusaidia kuimarisha mishipa iliyolegea kwa wagonjwa wa kisukari

βœ… Micro2 Cycle
β€’ Inasafisha mishipa ya damu
β€’ Inaboresha mzunguko wa damu na kuondoa cholesterol, jambo muhimu kwa wagonjwa wa kisukari

🌟 Kuwa Huru kutokana na Madhara ya Kisukari! 🌟
Asili imeshikilia jibu β€” na sisi tunakuleta suluhisho.

πŸ“© Wasiliana nasi sasa kwa ushauri na maelezo zaidi!
πŸ“ž 0753 444 840 | 0787 360512

Asante Mungu kwa wema wako umetuwezesha kutenda hili Asante BF Suma kwa fursa, Semina ya Jusco VIP Women health Lounge n...
02/05/2025

Asante Mungu kwa wema wako umetuwezesha kutenda hili Asante BF Suma kwa fursa, Semina ya Jusco VIP Women health Lounge ndani ya Kahama yafana, Asante Sana Prof Kahabi kwa Elimu juu ya Magonjwa yasiyoambukiza na matibabu yake.

Juma Mwesigwa

Tujifunze juu ya ugonjwa wa kisukari na madhara yake
23/03/2025

Tujifunze juu ya ugonjwa wa kisukari na madhara yake

Fuatilia somo la ugonjwa wa kisukari na tiba yake kutoka jusco health care

Karibu Sana Jusco health Care, upate elimu juu ya Magonjwa yasiyoambukiza na matibabu yake
20/03/2025

Karibu Sana Jusco health Care, upate elimu juu ya Magonjwa yasiyoambukiza na matibabu yake

TikTok

18/03/2025

"Je, unajua dalili za Kisukari? Tazama hii ili kujifunza zaidi na kujikinga mapema!"

Health Care
18/03/2025

Health Care

Tiba ya Tezi dume tuwasiliane tafadhali kwa maelezo zaidi, 0753444840
17/03/2025

Tiba ya Tezi dume tuwasiliane tafadhali kwa maelezo zaidi, 0753444840

Keep going don't be stopped
14/11/2024

Keep going don't be stopped

Asante Dr Makala, kuwa mgeni rasmi leo imekuwa siku kubwa kwangu, kwa hiki nilichovuna.
29/10/2024

Asante Dr Makala, kuwa mgeni rasmi leo imekuwa siku kubwa kwangu, kwa hiki nilichovuna.

Asante Mama
29/10/2024

Asante Mama

Wote ni Mungu na kwake tutalejea, Upimzike kwa Amani Mzee Edward Lowasa
10/02/2024

Wote ni Mungu na kwake tutalejea, Upimzike kwa Amani Mzee Edward Lowasa

Address

Kahama

Telephone

+255753444840

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jusco Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jusco Health Care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram