Lomina Health FIT CARE

  • Home
  • Lomina Health FIT CARE

Lomina Health FIT CARE LOMINA HEALTH FIT CARE�..KARBU UJITIBU KWA VIRUTUBISHO ASILIA MIKOA YOTE TUPO WASILIANA NASI 06255

03/01/2023

Vipimo vyetu ni vya kisasa ( QMRA) Vinaangalia kuanzia chanzo cha tatizo husika mwili mzima, Tunatibu kwa virutubisho Asili *( Tibalishe/ food Supplements/ Nutritional Supplements)* ....Huduma zetu zinapatikana Dar majumba sita na Mikoani pia✍️.

LOMINA HEALTH FIT CARE�..KARBU UJITIBU KWA VIRUTUBISHO ASILIA MIKOA YOTE TUPO WASILIANA NASI 06255

P.I.D(PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)JE UMESEMBULIWA SANA NA HUU UGONJWA ??🤔🥺😫 JE UMEHANGAIKA NA HUPATI MATIBABU YA UHAKIKA...
18/12/2022

P.I.D(PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

JE UMESEMBULIWA SANA NA HUU UGONJWA ??🤔🥺😫

JE UMEHANGAIKA NA HUPATI MATIBABU YA UHAKIKA??🥺

WASILIANA NAMI LEO 0625571570 KUPATA SULUHISHO LA TATIZO LAKO TOKA ERTENAL INTERNATIONAL HOSPITAL INAYOTIBU MAGONJWA YOTE SUGU YASIYO AMBUKIZA TUNAKUTIBIA NA UNAPONA KABISA ..

KWA DAR TUPO MAJUMBA SITA AIRPORT WASILIANA NAMI LEO 0625571570 PIA MIKOA YOTE TUNAPATIKANA USISITE KUWASILIANA NAMI

*DAWA YA NGUVU ZA KIUME* ACHANA NA MKONGO KIJANA*TUMIA CHITOSAN KUTIBU👇*📌 Kushindwa kurudia tendo📌 Kuongeza kiwango cha ...
07/12/2022

*DAWA YA NGUVU ZA KIUME*
ACHANA NA MKONGO KIJANA
*TUMIA CHITOSAN KUTIBU👇*
📌 Kushindwa kurudia tendo
📌 Kuongeza kiwango cha mbegu za kiume
📌 Kuongeza hisia za mapenzi
📌 Kuondoa tatizo la uume kusimama regerege
📌 Kushindwa kushiriki tendo la ndoa kabisa
📌 Kuondoa madhara yatokanayo na matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu k**a vile Vi**ra, n.k
📌 Kupunguza madhara ya kujichua/ punyeto
📌 Kubalance mzunguko wa damu katika mwili
📌 Kuongeza nguvu za kiume na ufanisi katika tendo la ndoa.

TAFADHALI WASILIANA NAMI 0625571570

*HELLO WAPENDWA* 🤝 *KARBUN SANA LOMINA HEALTH FIT CARE TOKA KATIKA HOSPITAL YA ERTENAL INTERNATIONAL HOSPITAL INAYOHUSIK...
20/10/2022

*HELLO WAPENDWA* 🤝 *KARBUN SANA LOMINA HEALTH FIT CARE TOKA KATIKA HOSPITAL YA ERTENAL INTERNATIONAL HOSPITAL INAYOHUSIKA NA MAGONJWA YOTE YASIYOAMBUKIZA TUNATIBU MARADHI SUGU YOTE ..*

📍 *KARIBU KWA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA GHARAMA ZA TSH 20000 TU.*

MAGONJWA TUNAYOTIBU NI
▶️matatizo ya mifupo na viungo vya mwili
▶️ *presha*
▶️ *kisukari*
▶️ *matatizo ya uzazi kwa wanawake na wanaume*
▶️ *allergy*
▶️ *mfumo wa upumuaji*
▶️ *moyo*
▶️ *mzunguko wa damu*
▶️ *masikio*
▶️ *macho*
▶️ *meno*
▶️ *kupoteza kumbukumbuku*
▶️ *stroke*
▶️ *matatizo ya pingiri*
▶️ *kansa aina zote*
▶️ *ngiri*
▶️ *uzito mkubwa*
▶️ *ngozi kuchuka sumu mwilini*
▶️ *pumu*
▶️ *bawasiri*
▶️ *vidonda vya tumbo*
▶️ *ini*
▶️ *nguvu za kiume*
▶️ *U.T.I sugu*
▶️ *P.I.D*
▶️ *fangasi aina zote*
▶️ *kuongeza kinga mwilini N.K*

📌TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
ambavyo hufanya kazi kuu nne (4) mwilini
👉🏽 *KUOSHA*
👉🏽 *KULINDA/KUKINGA*
👉🏽 *KUJENGA*
👉🏽 *KUTIBU*

*KARIBU SANA UPATE HUDUMA YETU MSIMU HUU WA OFA . KWA DAR TUPO MAJUMBA SITA KITUO KINAITWA POSTA AU JESHINI NA MIKOANI PIA TUNAPATIKANA*

wasiliana nasi kwa simu namba
☎️ *0625571570*

Kwa Whatsapp gusa link apa👇🏽

Message Ertenal International Hospital on WhatsApp

WhatsApp Group Invite

FAIDA ZA BAMIA AFYA YA UZAZI NA AFYA KIUJUMLA.Bamia ina kiasi kikubwa Cha vitamini A,C, K na pia inafolic Acid ya kutosh...
06/10/2022

FAIDA ZA BAMIA AFYA YA UZAZI NA AFYA KIUJUMLA.

Bamia ina kiasi kikubwa Cha vitamini A,C, K na pia inafolic Acid ya kutosha, ukiwa mlaji mzuri wa bamia, mnywaji mzuri wa bamia unapata faida kubwa mwilini.

AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE.

1: Husaidia kuponya Kwa wenye tatizo la Mvurugiko wa hedhi, unaweza kutumia Kwa kupika au kunywa juice yake.
2: Inaongeza Ute ute (Utelezi) ndani ya Muda mchache, wale mnaoumia wakati wa tendo landoa.
3:Afya ya nywele, nywele zinakuwa na afya nzurii, (wale wenye vipilipili)😄

FAIDA ZINGINE KIAFYA.

👉Kulainisha Mmeng'enyo wa chakula.
👉 Huongeza Kinga ya mwili.
👉Huondoa Mafuta mabaya mwilini, bad cholesterol, wale mnaotaka kupungua.
👉Huondoa vimelea vya sumu kwenye Ngozi.
👉Husaidia Kulainisha choo na kuongeza hamu ya kula.

👉Inasaidia kuondokana na hatari za kupata tatizo la sukari.
👉Wenye shida ya vidonda vya tumbo tumieni bamia.

Nje ya kupika, namna ya kutengeneza juice, chukua bamiaa kiasi kata kata, na loweka kwenye maji walau Lita 1 na nusu, yakae masaa 12, halfu kunywa, fanya hivyo kilasiku.

Je,unachangamoto zozote za uzazi kwa muda mrefu na hujui nini cha kufanya wasiliana na namba zangu 0625571570

Nani Mwingine Angependa Kujipatia Ofa Ya Upimaji Mwili Mzima Na Kuhudumiwa Kwa Haraka...K**a una changamoto ya kiafya un...
30/09/2022

Nani Mwingine Angependa Kujipatia Ofa Ya Upimaji Mwili Mzima Na Kuhudumiwa Kwa Haraka...

K**a una changamoto ya kiafya unahitaji sehemu inayotoa uhakika wa matibabu na kukuhudumia kwa haraka.

Inawezekana umepoteza muda mwingi na fedha nyingi kutatua tatizo hilo lakini hakuna matokeo chanya uliyopata mpaka sasa
Karibu Katika kituo cha afya cha Eternal Health,
Tuna huduma ya upimaji mwili mzima kwa sh 20,000 tu na kuhudumiwa kwa haraka!

Utafanyiwa Upimaji Katika Mifumo Yote Ya Mwili Katika:
✳Mifupa.
✳Mmeng'enyo wa chakula.
✳Uzazi kwa kina mama.
✳Uzazi kwa kina baba.
✳Fahamu.
✳Ngozi.
✳Upumuaji.
✳Macho.
✳Masikio.

Pia matibabu na tiba za magonjwa na maradhi mbalimbali zinapatikana k**a Kisukari, Saratani, Presha, Bawasiri, Vidonda vya tumbo, Tezi dume, Ngiri, Moyo kutanuka, Matatizo ya kibofu na mkojo, Maumivu makali ya nyonga, miguu, mgongo, mifupa, Miguu kuwaka moto na kuvimba, Uvimbe, Aleji, Bandama, Pumu, Matatizo ya kupooza ,Uzazi, Figo, Macho, Meno, Homa ya ini. Uzito na Unene.

▪ Hebu fikiria unapata suluhisho la uhakika la tatizo lako baada ya mateso ya muda mrefu.

▪ Fikiria ile furaha utakayokuwa nayo baada ya kugundua umepona.

▪ Hebu fikiria unapata suluhisho la uhakika la tatizo lako baada ya mateso ya muda mrefu.

▪ Hebu fikiria sasa umepima na umejua nini kilichokuwa kinakusumbua na kukutesa.

▪ Fikiria unakutana na wataalamu wa afya kisha wanakupa ushauri utakaokusaidia kuondokana na changamoto hiyo ya kiafya.

▪ Hebu fikiria unaokoa fedha zako kwa kupata matibabu ya uhakika na kuhudumiwa kwa haraka.

Zipo shuhuda nyingi kutoka kwa watu mbalimbali ambao wameweza kupona na kupata nafuu baada ya mateso ya muda mrefu kutokana na magonjwa na maradhi yaliyokuwa yanawasumbua.

Tupo Dar-es-Salaam, majumba sita airport kituo jeshini au posta pia mikoani tunapatikana.

Tafadhali wasiliana nasi kwa namba ya simu. 0625571570

💚🔹 MATATIZO YA  HEDHI YANAYO SABABISHA  UGUMBA KWA  MWANAMKE 🔸💚➡️ Ugumba kwa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kube...
23/09/2022

💚🔹 MATATIZO YA HEDHI YANAYO SABABISHA UGUMBA KWA MWANAMKE 🔸💚

➡️ Ugumba kwa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kubeba ujauzito wakati huo akishiriki tendo la ndoa na mwenzi wake ambaye ana afya bora ya uzazi kwa zaidi ya mwaka mzima.
❇️ Ugumba una vyanzo vingi leo tutaangalia matatizo ya hedhi ambayo mwanamke akiyaona ni vema akachukua hatua mapema ili aepukane na tatizo la ugumba.
➡️ Baadhi ya matatizo ya hedhi yanayoweza kusabaisha mwanamke akashindwa kubeba ujauzito:
➢ Kutopata hedhi, kwa kawaida kila mwezi mwanamke huingia katika siku zake za hedhi, ikitokea mwanamke anaona siku zinakwenda na haoni siku zake na hana ujauzito ni vema akachuka hatua za haraka ili ajue sababu za kukosa hedhi mapema.
➢ Hedhi kuvurugika, kila mwanamke anatakiwa kuwa na mzunguko maalum wa siku zake ambapo kwa kawaida huanzia siku 21 mpaka siku 35 japo wanawake wengi huwa na mzunguko wa siku 28. Ikitokea mwanamke anakaa miezi miwili ndio anaona hedhi au kila baada ya wiiki anaona hedhi si dalili njema kwa afya ya uzazi.
➢ Hedhi kutoka kidogo sana, kuna baadhi ya wanawake huona damu ya hedhi matone machache tu na inatoka chini ya siku tatu. Wengi huona k**a wanaepukana na usumbufu wa kubadili pedi hivyo huchukulia ni hali ya kawaida. Hii pia si dalili njema.
➢ Hedhi nyingi sana, mwanamke ambaye anatokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi kiasi ambacho anabadili pedi zaidi ya tatu kwa siku na inatoka kwa muda mrefu zaidi ya siku saba hii nayo si dalili njema.
➢ Maumivu makali wakati wa hedhi, kuna baadhi ya wanawake hupata maumivu makali kiasi cha kulazwa na kushindwa kuendelea na majukumu yao ya kila siku, hali hiyo ni kiashiria cha matatizo katika mfumo wa uzazi.

🔺 Una shauriwa Kumuona Daktari Mapema Ukiona Una changamoto Katika Hedhi yako,,.

🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla, K**a ndio Napenda Nikukaribishe Eternal International Clinic
💥Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima(Fullbody Checkup) Kwa Tsh 20,000/ tu
🩸 Dawa Zetu ni Tiba Lishe

💥 RATIBA YA KAZI
Tunapatikana

🌹 Majumba sita airport kituo jeshini au posta

🌹KARIBUNI SANA

Tupigie 0625571570

19/09/2022

Watu wengi wanaopata changamoto ya kuhisi miguu/mikono k**a inawaka moto au vitu Viña ncha kali kuchoma choma au kuhisi ganzi au Kukosa kabisa hisia huangaika kutibu bila kujua chanzo cha tatizo ni nini.,,,

Hapa
Bila kutibu chanzo cha tatizo utakuwa ukitumia dawa mara kwa mara bila mafanikio

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:-

1️⃣Kupungua kwa virutubisho mwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2️⃣Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi, dawa za presha na sukari
3️⃣Uzito mkubwa wa mwili.
4️⃣Ugonjwa wa kisukari(diabetic neuropathy).
5️⃣Shinikizo la damu.

6️⃣Unywaji wa pombe kupita kiasi.
7️⃣Magonjwa ya figo.

DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO
Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;

⭕Kuhisi ganzi.
⭕kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni.
⭕kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani.
⭕joto Kali miguuni,kuhisi k**a unaungua miguuni.
⭕kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

Ili kuzuia tatizo ili fanya mazoezi, kula vyakula vyenye virutubisho, kula mboga mboga na matunda, chua miguu yako kila siku, acha pombe na sigara na fanya mazoezi kiasi kuondoa tatizo ili.

Tuna matibabu ya dawa ya asili kutoka china ambayo imetengenezwa na vitamin B1,B6,B12 folic acid & calcium kwa ajili ya afya ya mishipa ya fahamu
Kwa maelezo zaidi tupigie 0625571570

Pata suluhisho la matatizo yanayohusu uzazi hata hospitali wameshindwaTunanavyo virutubisho /Supliments kiboko mkombozi ...
14/09/2022

Pata suluhisho la matatizo yanayohusu uzazi hata hospitali wameshindwa
Tunanavyo virutubisho /Supliments kiboko mkombozi wa watuu

K**A...
👉Mayai ya uzazi kutokupevuka
👉Kuwepo kwa uvimbe
👉Kuwepo kwa Infection kwenye via vya uzazi (PID,UTI,FANGASI)
👉Tatizo la Homon imblance
👉Kizazi kulegea
👉Endometriosis
👉Fibroid
👉ovarian cyst
👉Tumbo la chango
👉Kutumia uzazi wa mpango kabla ya kuzaa
👉Kutoona ute wa uzazi
👉kupata maumivu kwenye tendo la ndoa
👉Low sparm Count(ukosefu wa nguvu za kiume)
👉Mbegu za kiume azina bora ni nyepesi, azina speed ya kusafiri,
👉Matatizo ya period, kukaa mda mrefu bila hedhi, au damu kutoka nyingi mpaka unaishiwa damu
👉Mirija ya uzazi kuziba au kuwa na makovu
👉WAHI KWA HUDUMA YA FULL BODY CHECKUP KWA 20000 TU TUGUNDUE CHANZO CHA TATIZO LAKO LEO🤝

Kwa ushauri na suluhisho
PIGA/WHATSAPP.... 0625571570

*Usiulize ni dawa gani nitumie ili nishike Ujauzito maana hakuna dawa inayosababisha Ujauzito*👉Bali tuna program ya Mago...
10/09/2022

*Usiulize ni dawa gani nitumie ili nishike Ujauzito maana hakuna dawa inayosababisha Ujauzito*

👉Bali tuna program ya Magonjwa sugu ambayo yanazuia usishike Ujauzito
*Mfano*👇👇

➡️Kuziba Kwa mirija ya kupitisha mayai.
➡️Ovari kushidwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai yasiyokuwa na nguvu.
➡️Ugonjwa wa PID(Pelvic Inflammatory Disease) na hormone Imbalance (mvurugiko wa homoni).
➡️Mirija ya mayai kujaa maji.
➡️Utoaji mimba usio Salama.
➡️Upasuaji maeneo ya kiuno.
➡️Ugonjwa wa Endometriosis.
➡️Sababu ya Ovari kutoa mayai yasiyokuwa na nguvu

*Wahi kutibu Tatizo Lako kabla halijawa sugu ili lisikusumbue zaidi.*wasiliana nami kupata huduma 0625571570

Address


Opening Hours

Monday 06:00 - 07:00
Tuesday 06:00 - 07:00
Wednesday 06:00 - 07:00
Thursday 06:00 - 07:00
Friday 06:00 - 07:00
Sunday 09:00 - 04:00

Telephone

+255625571570

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lomina Health FIT CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram