Eden Mark Nutritive Supplies

Eden Mark Nutritive Supplies Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Eden Mark Nutritive Supplies, Alternative & holistic health service, Hai/Kilimanjaro, Kilimanjaro.

10/03/2024

It has been noticed of late that invisible pornographic videos are published in people's profiles, without their knowledge.
The owner of the page doesn't see them, but the others do, as if it were an authentic publication that you had made!
They post their comments as if they were you... Please, if something as such happens on my page, notify me immediately. Out of respect for EVERYONE, as well as my own integrity, I distance myself from such publications. Copy and paste on your page. It is time for this phenomenon to stop.
THANK YOU.

16/04/2023
13/03/2023

MCHONGO KWA MJASIRIAMALI : JINSI YA KUCHAGUA BIDHAA NZURI YA KUUZA MTANDAONI NA UKAFANIKIWA KWA MTAJI MDOGO



Zingatia: 01.
Unapokuwa mjasiriamali mdogo mtaji wako unakuwa mdogo sana. Hivyo unatakiwa utafute namna ya kufanikiwa hata kwa mtaji mdogo.
Ili biashara yako iweze kufanikiwa mtandaoni lazima kidogo uwe na utofauti na biashara zingine zinazofanywa na wenye mitaji mikuba.


Zingatia: 02
Mwenye mtaji mkubwa huchagua bidhaa inayo julikana na yenye wateja wengi. Yaani yenye soko tayari na inapatikana kila mahari ishajitangaza.
Mwenye mtaji mdogo hutafuta bidhaa itakayo mlazimisha mteja kununua kwake tu na sio kokote. Usipolitambua hili biashara yako haiwezi kufanikiwa mtandaoni.


Zingatia: 03
Tafuta bidhaa ambayo haipatikani kwenye maduka au supermarket kirahisi ili mteja atakapo enda kuitafuta kwenye maduka akose. Njia pekee ya kumiliki bidhaa hio k**a anaipenda atachagua kuwa mteja wako.
Wengi wanauza bidhaa ambazo zinapatikana kila kona kwenye maduka ya kawaida ndio maana biashara Mtandaoni inakuwa ngumu sana.


Zingatia: 04
Tafuta bidhaa inayo tatua tatizo katika jamii. Au bidhaa ambayo mtu akiona anapatwa na mshangao na kuvutiwa kuimiliki kutokana na mwonekano wake na inavyo fanya kazi.
Kuna bidhaa nyingi za kuuza mtandaoni lakini sio kila bidhaa itakufanya uuze kwa wepesi. Ni zile bidhaa zenye sifa tu. Kwa hio umakini unahitajika unapotaka kuuza bidhaa yoyote mtandaoni.


Zingatia: 05
Tafuta bidhaa yenye ubora bila kujali bei yake. Kinacho mfanya mteja arudie kununua bidhaa huwa sio bei ndogo ya bidhaa huwa ni ubora na faida alizopata aliponunua bidhaa yako. Hivyo Jina la biashara yako litakuwa na kuaminika endapo usipokimbilia bidhaa ambazo hazina ubora. Tafuta bidhaa zenye ubora sana hata k**a bei zako zitakuwa kubwa.


Zingatia: 06
Tafuta muuzaji mzuri wa bidhaa unazotaka kuziuza na weka mtaji maalumu wa kuendesha hio biashara.Uamuzi ni wako Unaweza kutafuta muuzaji wa jumla hapa hapa Tanzania au nje ya nchi mfano Dubai,China,UK,USA,Uturuiki nk K**a ni Supplier wa Nje ya Nchi tafuta mwenye sifa hasa muaminifu,mwenye kusema ukweli,Mtu mwepesi unapohitaji
msaada wa haraka nk


Zingatia: 07
Uwe tayari kubadilisha mtazamo wa biashara ambayo ulikusudia kufanya pale ambapo utakapo ona hakuna mauzo mazuri na unaona hela yako inakaa muda mrefu kwenye hio bidhaa.
Unatakiwa ufanye majaribio zaidi ya bidhaa hata zaidi ya 5 mpaka pale utakapo pata bidhaa ambayo ni pendwa kwa wafuasi wako au jamii yako.


MATUMAINI YANGU UMEJIFUNZA NISAIDIE KUSHARE NA MTU YEYOTE UNAYE FIKIRI NI MJASIRMALI WA MTANDAONI.

Address

Hai/Kilimanjaro
Kilimanjaro
25309

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eden Mark Nutritive Supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Eden Mark Nutritive Supplies:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram