19/11/2025
Ugumba na Maumivu Saba 7 ya Uzazi [Namba 6 kila Mwanamke anapitia]...
Naelewa unahangaika Kutafuta Mtoto huku Na Kule, Naelewa Wewe na Mama Mkwe Haziivi Mda Mwingine Sababu nazo hazijulikani Kwanini hakupendi Huyo Mama, Mda Mwingine Unawaza Au mama Mkwe yupo Nyuma ya Changamoto zako Za Kutobeba Mimba?.
Huenda fikra Zako ni Kweli!
Au
Huenda Ni Damu tu haziendani Wewe na Mama Mkwe
Lakini Yote Hayo ni Sababu Wewe Kutobeba Mimba?
Jibu ni Hapana!...
Kuna Changamoto ambazo Zinawahangaisha Wanawake Wengi Sana Sasa Hivi na Wanashindwa Kubeba Mimba na k**a Wewe pia Haubebi Mimba Nina Uhakika Una Changamoto Hizi;
I). Kuna Hali Fulani ya Maumivu ya Tumbo Upande Mmoja Wanapitia Wanawake Wengi au hata Maumivu ya pande Zote Chini Ya Kitovu, hii ni Moja ya Sababu za Ugumba na Wewe Kutobeba Mimba
II). Kuna Maumivu Yale Ya kuchoma K**a Visindano halafu Kuna Yale Maumivu k**a Kitu kinavuta Kwenye kinena, na Yale Maumivu k**a Kuna Kitu kinakushika halafu kinaachia, najua, Naelewa ni Maumivu yakuja nakuondoka ila yakija Huwa yanakutesa Sana
III). Kuna Haya Maumivu unapata wakati Unashiriki tendo na Mda Mwingine Uume wa Mumeo unatoka na Uchafu k**a Maziwa Mtindi ukeni na uke Hauna hata utelezi ni Shida tu kwako🥹, Naelewa Kabisa hata Tendo Huna Hamu ya Kufanya ila Tu unafanya kumridhisha mumeo
IV). Kuna Yale Maumivu ya Nyonga Yanaenda Hadi Kwenye mgongo Kwa Wengine Hadi yanashuka Kwenye mguu unayasikilizia Kwenye kisigino, Aisee! Acha tu!
V). Kuna Yale Maumivu unapata Baada ya Kushiriki tendo yaani Wakati wa Tendo ulikuwa Vizuri Kabisa Ila Baada ya Kumaliza tu yanaanza Kuisha Hadi Siku ya Pili yake.
VI). Kuna Haya Maumivu yanakuja Wakati unapokaribia Kuingia Hedhi,, acha Hayo Sasa Kuna Yale Unapata Ukiwa Hedhi ni Makali halafu Hedhi Inakuja Nzito na Mabonge Mabonge au Nyama Nyama K**a Maini na Unashindwa Kutembea, na Wakati Mwingine unaweza kulazwa Hospitali Hadi kutundikiwa dripu.
VII). Kuna Yale Maumivu yanayokuja hata haupo Hedhi haupo Siku za Hatari Wala haujakaribia Hedhi na Wala haujashiriki tendo
Ikiwa Unapitia Moja Kati ya Maumivu Hayo na pia umetafuta Ujauzito Bila Mafanikio Basi Jaribu Njia Hizi Hapa 👇
1. Kunywa chai ya Karafuu na Mdalasini Kila Siku Asubuhi na Usiku Kabla Hujalala
2. Kunywa juisi ya vitunguu Maji Asubuhi na jioni
3. K**a Hauna Vidonda Vya Tumbo Kunywa chai ya Tangawizi
Fanya Hivi Kwa Siku 7 Hadi 21 Kwa Mabadiliko.
Kupata Njia za kuondokana na Maumivu ya Uzazi na Kupata Ujauzito Kwa Urahisi na Haraka.
Bonyeza link hii 👇
https://shorturl.at/NBrZQ
Idadi inayopokelewa na link hii ni Watu 150 tu Baada ya Hapo tutaiblock link hii au kuifunga.Ingia Kabla link haijafungwa kujihakikishia Nafasi Ni Darasa hili la Watu Maalum