lisheyangu_nutricareclinic2021

lisheyangu_nutricareclinic2021 Tunajali afya yako kwa sababu "afya yako ni mtaji wako"(your health is your wealth)

Uongozi wa lisheyangu_nutricareclinic2021 unawatakia heri ya sikukuu ya christmas
25/12/2022

Uongozi wa lisheyangu_nutricareclinic2021 unawatakia heri ya sikukuu ya christmas

17/10/2022
Your health is our primary concern
15/10/2022

Your health is our primary concern

JINSI YA KUIMARISHA AFYA YA AKILI📝Fanya mazoezi angalau dakika 30 kwa siku📝Pata muda wa kupumzika📝Kula mlo kamili"AFYA Y...
10/10/2022

JINSI YA KUIMARISHA AFYA YA AKILI
📝Fanya mazoezi angalau dakika 30 kwa siku
📝Pata muda wa kupumzika
📝Kula mlo kamili
"AFYA YA AKILI KIPAUMBELE KWA WOTE"

JE WAFAHAMU JINSI YA KUMUWEKA MTOTO VIZURI KWENYE T**I?
07/09/2022

JE WAFAHAMU JINSI YA KUMUWEKA MTOTO VIZURI KWENYE T**I?

Mlo kamili hujumuisha makundi mbalimbali ya chakula k**a vile wanga(ugali), protini(dagaa) pamoja na vitamini na madini ...
05/09/2022

Mlo kamili hujumuisha makundi mbalimbali ya chakula k**a vile wanga(ugali), protini(dagaa) pamoja na vitamini na madini (mboga za majani na matunda).
JE UNGEPENDA KUPATA MLO KAMILI PAMOJA NA ?

NUKUU ZA LISHE✍️
03/09/2022

NUKUU ZA LISHE✍️

Jifunze mbinu ya kutambua mtoto k**a ameshiba au ana njaa
10/06/2022

Jifunze mbinu ya kutambua mtoto k**a ameshiba au ana njaa

Uongozi wa  unaungana na watanzania wote katika kumuenzi aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibari, Sheikh Abeid Aman Karume...
07/04/2022

Uongozi wa unaungana na watanzania wote katika kumuenzi aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibari, Sheikh Abeid Aman Karume.

Uongozi wa  unawatakia wanawake wote kheri ya siku ya wanawake duniani march 8, 2022.
08/03/2022

Uongozi wa unawatakia wanawake wote kheri ya siku ya wanawake duniani march 8, 2022.

📝Vyakula vya mafuta husaidia kuupa mwili nguvu, joto na kusaidia ufyonzwaji wa baadhi ya virutubishi k**a vitamini A, D,...
10/02/2022

📝Vyakula vya mafuta husaidia kuupa mwili nguvu, joto na kusaidia ufyonzwaji wa baadhi ya virutubishi k**a vitamini A, D, E na K.
📝Vyanzo vyake ni pamoja na Siagi, samli, karanga,
samaki wenye mafuta,
jibini, nyama iliyonona, n**i, kweme, mawese,
mbegu zitoazo mafuta
k**a alizeti, ufuta, maboga, korosho na
pamba.
📝Upungufu wa mafuta mwilini husababisha mwili kukosa nguvu na kuwa dhaifu, ngozi kuwa ngumu na yenye magamba, pamoja na dalili za upungufu wa vitamini A, D, E na K.

📝Vyakula vya protini husaidia ukuaji wa mwili, utengenezaji wa seli mpya za mwili, ukarabati wa seli zilizochakaa au kuh...
10/02/2022

📝Vyakula vya protini husaidia ukuaji wa mwili, utengenezaji wa seli mpya za mwili, ukarabati wa seli
zilizochakaa au kuharibika, utengenezaji wa vimeng’enyo, vichocheo,
damu na fumo wa kinga,
na pia huupa mwili nguvu pale ambapo kabohaidreti
haitoshelezi mahitaji ya
mwili
📝Vyanzo vya protini ni k**a vile aina zote za nyama, vyakula vya jamii ya kunde (maharagwe, kunde, njegere, mbaazi, choroko, dengu, njugu, samaki, dagaa, wadudu (k**a senene na kumbikumbi), maziwa, jibini na mayai.
📝Upungufu wa protini mwilini husababisha ukuaji duni na maendeleo hafifu kwa watoto vilevile Utapiamlo wa upungufu
wa nishati-lishe na protini.

Address

Kondoa Town
Kondoa
P.OBOX711KONDOA-DODOMA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when lisheyangu_nutricareclinic2021 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to lisheyangu_nutricareclinic2021:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category