31/07/2022
Habari nina Furaha 😊 kuwatambulisha IZMIL DIAGNOSTIC CENTRE maalum Kwa ajili ya vipimo vya ULTRASOUND k**a ifuatavyo;
KWA AKINA MAMA WENYE CHANGAMOTO ZIFUATAZO
1,kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
2,kuharibika kwa mimba chini ya miezi minne au mtoto kufia tumboni
3,maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
4, tatizo la UTI linalojirudia mara kwa mara
5,kutokuona siku za hedhi ,au kujirudia kwa mwezi husika
6, maumivu wakati wa tendo la ndoa,kutokwa Na damu baada ya tendo la ndoa
7,uvimbe kwenye via vya uzazi.
8, wenye maumivu ya Maziwa (breast)
9,maambukizi kwenye via vya uzazi (PID)
KWA AKINA BABA WENYE CHANGAMOTO ZIFUATAZO
1,Tezi dume
2,matatizo ya mfumo wa mkojo
3, wenye mabusha
4,henia
5,maumivu wakati wa tendo la ndoa
6,Maumivu ya tumbo chini ya mbavu eidha upande mmoja au pande zote mbili,
KWA WAMAMA WAJAWAZITO
1,kujua umri wa mimba(GA)
2,kujua makadirio siku ya kujifungua (EDD)
3,Uzito wa mtoto (EFW)
4,mapigo ya Moyo ya mtoto Na mijongeo (FHR)
5,ulalo wa mtoto Na uelekeo( fetal lieng and presenatation)
6,kujua muda wa kufanya operation Kwa wale wamama wanaozaa kwa njia ya operation( previously scars)
7, kujua kiwango cha maji anayoelea mtoto (amniotic fluid index AFI)
8, placental location
ECHO NA ECG ,kipimo maalum kwa matatizo yanayohusiana na Moyo mfano shinikizo la damu (BP presha) na magonjwa mengine ya Moyo Na Mirija ya damu .
MUSCULOSKELETAL ULTRASOUND.. maalum Kwa ajili ya kuangalia misuli ya kiwili wili kwa wenye maumivu ya nyama na misuli ya muda mrefu ya bega ,goti , enka, viganja, eidha ulifanya kipimo cha picha ya X-ray lakini hamna shida iliyoonekana hasa Kwa wana michezo na mazoezi
Kindly karibu sanaa for your support,pia unaweza recommend us kwa watu wengine,
Centre located Liwale,Lindi karibu na ofisi za CUF mkabala na mangota guest
Unaweza wasiliana nasi
Contacts: 0772306693
0711712144,
“We are proudly Serving you”