Tabibu Marimo Herb's

Tabibu Marimo Herb's Bidhaa-Lishe zimekuwa chapa kubwa zinatambulika na kutegemewa kwa afya kwa kutumia vyakula asilia tangu 2010, ambapo huduma zangu zilizaliwa.

Tungependa kusikia kutoka kwako, kwa kuwa shabiki na utoe maoni leo!

TAFUTA HIZI HAPA DAWA MsonitiMchomvilufyambo (kaswitiswiti)mpendwa pendwa kisenya nku nyumba ya konokono Kisha moyo wa k...
28/11/2025

TAFUTA HIZI HAPA DAWA

Msoniti
Mchomvi
lufyambo (kaswitiswiti)
mpendwa pendwa
kisenya nku
nyumba ya konokono
Kisha moyo wa kondoo

JINSI YA KUANDAA .

chukuwa msoniti itwange kwenye kinu upate usila (yaani unga wake).
chukuwa mpendwa pendwa utwange upate upate unga wake.
chukuwa lufyambo (kaswitiswiti waganda wanaita hivyo)twanga upate unga wake
Kisha kisenya nku mdudu na nyumba yake weka katika kikaangio kaanga mpk kikauke kabisa kiungue Kisha kisage upate unga wake
tafta mshona au wanaita mshika nguo zile mbegu zake zikiwa zimekauka zisage upate unga wake
Kisha nenda machinjio ya kondoo kanunue moyo wa kondoo uuchome uungue mpk uwe unga (si wajuwa jinsi kondoo alivyo mpole )
Kisha chukuwa nyumba ya konokono isage upate unga wake .

basi chukuwa mchanganyiko wote huo changanya kipamoja .

MATUMIZI
km unatongoza watu wanakukataa au hautongozwi utatimia kupaka kwenye mafuta na kuoga kwa manuizi . utapendwa na kila mtu kumbuka ukinuia nuia kupendwa na wenye ela .

km umeachwa tumia kuoga na kupaka kwenye mafta kwa manuizi mf wewe esta mke wangu au John mme wangu mpenzi mchumba Rudi kwangu ninakuita (mengi nitakuelekeza utamuita ata rejea

km unamdai mtu hakulipi pesa yako au unadai watu kikundi hakikulipi utatumia hii .

km una mwenza hajatulia ni bingwa wa michepuko anakudhalahu hakuskilizi hakuhudumii itabidi uwe na asali mbichi kijiko utatia dawa kwa manuizi maelekezo ya hii kwenye koment.

ukitaka mchanganyiko wa dawa hii na asali mbichi og

0758673897
WhatsApp . tuone jinsi ya kukupatia

watu wa dareslam washa Anza kutoa Oda zao upo dar na unahitaji WhatsApp me 0758673897
nambie na wewe unahitaji iliyo tiyari.

Wajanja wakipata muwasho, upele, fangasi, utango tango na pumu ya ngozi hutumia Lishe ya Top-SYRUP!Top-Syrup inaua bakte...
27/11/2025

Wajanja wakipata muwasho, upele, fangasi, utango tango na pumu ya ngozi hutumia Lishe ya Top-SYRUP!

Top-Syrup inaua bakteria wasababishao magonjwa na kuacha ngozi yako ikiwa na afya bora zaidi. Lishe tiba inayotibu magonjwa ya ngozi kuanzia kwenye chanzo cha tatizo kwenye damu. Inasafisha damu na kuleta ngozi yenye Afya zaidi.
• Huua bakteria magonjwa ya ngozi ndani ya mwili.
• Hupunguza muwasho wa ngozi
• Hupunguza uzalishaji mafuta kwenye ngozi
• Huondoa Aleji (mzio) mwilini
• Husafisha ngozi
• Huboresha afya ya ngozi
•Hutibu Pumu ya ngozi kikamilifu

Wasiliana nasi tukuhudumie, tunakufikia popote ulipo nchini:
0758 673 897 Kujipatia bidhaa bora na za uhakika kutoka kwetu.

"Ukitazama kwa makini utaona ndani/ nnje ya kuta za mtumbo mpana kuna vinyama/ uvimbe wa mishipa hii ndio bawasiri ya nd...
27/11/2025

"Ukitazama kwa makini utaona ndani/ nnje ya kuta za mtumbo mpana kuna vinyama/ uvimbe wa mishipa hii ndio bawasiri ya ndani. Pale kinyesi kinavyopita hupelekea maumivu, muwasho ndani ya kuta za mkundu kutokana na vizuizi ndani ya njia yake":- Tabibu Marimo Herb's

"Pia pale kunapo pasuka ndio chanzo bawasiri ya kutoa damu..! Kuanza kupata choo cha damu, hakikisha unapata tiba mapema kabla ugonjwa haujawa sugu"

Wengi wanafanya surgery (operation) kufanya upasuaji wa bawasiri kuondoa vinyama/ uvimbe sehemu ya Haja kubwa ni kujiongezea tatizo tu..! hawatibu tatizo bali wanaondoa dalili ya tatizo la bawasiri itarudi tena na tena :- Dr. Ansali Luswele

inatibiwa na Virutubisho lishe venye fibre nyingi kuanzia mfumo wa chakula mpaka mkunduni. Sasa Dr. Tabibu ameshare nasi maandalizi yako ya chakula cha mlo huu mzuri! wa kutibu Bawasiri Sugu

1. Mchai chai ulivyokatwa
2. Ndimu Mbichi Asilia
3. Kitunguu saumu na Asali
4. Poda ya manjano (Chapa ya MANGO)
5. Unga wa Tangawizi (Chapa ya MANGO)
6.Mdalasini

Andaa maandalizi haya kwa kuandaa chai ya mchai chai kisha chanyanya na vijiko vitatu vya asali..ndimu kipande kimoja na unga wa tangawizi kijiko kimoja cha chai, mdalizini kijiko kikubwa cha chakula na kitunguu swaumu 1pts maliza na poda ya manjano vijiko viwili vya chai! Kunywa kwa siku 1 Mpaka 5.

Hakikisha unakunywa ikiwa na joto.

Kwa mahitaji ya tiba ya bawasiri ulio-andaliwa tayari kwwa njia za kitabibu kutibu magonjwa mengi zaidi.
Bawasiri Syrup original: 60000Tsh
Whatsapp: 0758 673 897

K**a nilivyozungumza kifo ni mwisho wa mwanadamu na ni mwanzo wa maiti. Kwa hiyo ukiota kifo inaashiria ni mwisho wa jam...
27/11/2025

K**a nilivyozungumza kifo ni mwisho wa mwanadamu na ni mwanzo wa maiti. Kwa hiyo ukiota kifo inaashiria ni mwisho wa jambo fulani na ni mwqnzo wa jambo jingine yweza ikawa kutoka kwenye ubaya kwenda kwenye wema au wema kwenda ubaya huzuni kwenda furaha umasiki kwenda utajiri na kinyume chake

NDOTO ZINAZOHUSINA NA MUOTAJI KUFA

Ukiota umekufa kisha ukafufuka utafanya madhambi na utamuomba mungu msamaha kabla ya kifo chako. Au utafanya mabaya mengi ila utakuja kujutia kwa kile ulichokifanya. Pia uashiria biahara kesi ama jambo lilnalokukabilia litakusukumbua sana ila mwishowe utamaliza kwa usalama.

Pia kuota kufufua yaani ulikufa kisha ukafafuka na kuwa hai k**a muotaji yupo katika hali ngumu kimaisha ama maombi ya jambo fulani ni ishara ya kuwa utaondokana na ufukara au kurejea mtu aliyekwenda mbali hapa zaidi yatizamwa mazingira ya ndoto na masaa aliyootoa muotaji na hali aliyokuwanayo wakati huo.

ukiota umezikwa Ishara ya kuishi muda mfupi na utakufa bila kufanya toba. Ila ukiota umekufa ghafla bila kuumwa na hakuna tukio la mazishi utaishi umri mrefu. Pia kwa watafutaji huashiria hali isiyokuwa njema unaweza kutapeliwa ama kutolipwa amana unayodai hivyo yakupasa utumie nguvu za ziada. Pia wakati mwingine huashiria safari ya mbali isiyokuwa na marejeo yaan k**a muotaji ni mtu wa safar au alikuwa anasubr safar kisha akaota kazikwa kuna ishara ya safari ya mbali.

Ukiota umekufa kisha hukuzikwa ila watu wapo kwenye mipango ya mazishi ila ndoto ikaishia kwenye mipango ya mazisihi ukashtuka. Huashiria dunia yako itakuwa nzuri lakini akhera yako imeharibika. Pia huashiria kuna mambo unayafanya mabaya itakuwa kuwakost nduguzo yaan unaweza sababisha matatzo ukakimbia mji kisha kazi ukaichia familia yako.

Ukiota umekufa watoto wako na mkeo ndio wanaokuandaa kwa ajili ya mazishi pia haina tofaut huashiria utatafuta majanga na utawaachia watoto na mkeo majanga. Hovyo wakumbushwa uwe makini katika matafutaji yako na harakati zako. Pia ukiota umevishwa sanda wewe mwenyewe nii ishara ya kifo chako hivyo jibiidishe kufanya ibada kuwaomba radhi uliowakosea wakati mwingine huashiria mabalaa kwako.

NDOTO ZINAZOHUSU MAITI

ukiona maiti inajisha yenyewe ni ishara ya watu wako watatoka kwenye majonzi na mali yao itazidi. K**a kuna mgonjwa atapona k**a mnadai mtalipwa k**a mwadaiwa mtalipa. Pia hushairia vita ama uaudi unautafuta mwenyewe. Wakati mwingine hufasili maisha ya huyo mtu uliyemuota anajiosha bimaana kuna jambo baya kwake litamkuta ama atalisababisha ila atapambana nalo mwenyewe hatahitaji msaada wa mtu. Ila halitakuwa jambo jema lazma litaacha makovu ya maumivu kwa watu.

ukiota maiti imevishwa sanda ila haijaenea mwili mzima utatiwa kwenye majaribu mazito ya zinaa na mtu wako wa karibu lakini hutokubali. Ukiota umeona sanda pekee ni ishara ya zinaa inakuja mbele yako ukimuota mkeo mumeo anavishwa sanda na haijakamilika jua ana mipango ya kuzini au ana zini. Hapa tuliza kichwa chako kuna kuiona maiti inavishwa sanda kuna kuiona sanda pekee pia kuna mke mume mpenzi.

Ikitokea kwenye ndoto mmebeba maiti mwenda nayo sehemu kisha maiti ikaamka kuwakimbiza ama ikaanza kuwatisha ama ikawanasia ishara ya mipango yenu ya haram mnayoifanya haina mwisho mwema hivyo mwatakiwa kuongeza umakini ama kuacha hayo mambo ya siri. Ikitokea umeibeba maiti unaenda nayo sehemu inayojulikana k**a sokoni hushiria faida ya mali na bishara zako zilizkwama zinaweza kupata ahuen.

Ikiwa utaota unaifufua maiti ama kuisadia jambo lolote maiti inaashiria utamsilimisha mtu wa dini nyingine au mtu muovu atatubia dhambi zake kwako. Au utaweza kuwashauri watu waovu kuachana na mambo ya kidhalimu wanayofanya.

Ukiota umehifadhi maiti ndani kwako ama sehemu yako ya biahsra ikiwa ya mtu unayemjua hutafsriwa uhhsiano wenu na huyo mtu. Ikiwa maiti usiyoijua huashiria utaletewa ama kuingiza vitu vya harama eneo uliloota. K**a utaingiza mwwnyewe inaashiria wewe mwenyewe ndiyo utashiriku uovu ama dhambi ikiwa utaikuta maiti ndani na imevishwa sanda ishara ya usaliti unaoendelea ndani kwako yaweza kuwa mapenzi ama mambo ya kifamilia.

Ikiwa utaota maiti ipo ndani kwako uchi ishara ya kuzalilika kwa maovu unayoyafanya hivyo uongeze umakini. Ukiota unaitoa maiti ya mtu usiomjua nyumban kwako ishara ya kujiondoa ama kujikwamua kwwnye mitihani ikiwa.

MAITI YA MTU UNAYEIJUA HUTAFSURIWA UHUSIANO WENU NA MAZINGIRA YA NDOTO. MAITI USIYOIJUA HUTAFSIRIWA K**A NILIVYOELZA HIVYO UTAANGALIA MAELEZO YANAYOENDANA NA NDOTO YAKO UKIONA VINAPISHANA UKIZA HAPO CHINI UTAJIBIWA PASINA SHAKA YOYOTE

SOMO LIJALO TUTAONGELEA KUHUSIANA NA MAJENEZA NDOTONI NA MAKABURI HUASHIRIA NINI USISITE KUTOA SHUKRAN YAKO KWAN NENO SHUKRAN PIA NI SADAKA TOSHA NA KUONESHA TUNAENDA PAMOJA. SWALI LOLOTE LA NDOTO LIULIZWE HAPA CHINI NITALIJIB INBOX GHARAMA YA KUTAFSR NDOTO NI ELF TATU

K**a umelielewa somo pia waweza shea na wenzio

FAIDA YA POWER RIJAAL KUU📌uimarisha afya na misuli ya uume ✅Huzibua mishipa iyosinyaa kunyooka imara✅Kufanya tendo mara ...
27/11/2025

FAIDA YA POWER RIJAAL KUU
📌uimarisha afya na misuli ya uume
✅Huzibua mishipa iyosinyaa kunyooka imara
✅Kufanya tendo mara nyingi zaidi kwa muda mrefu
✅Kupata manii kwa wingi
✅TIBA YA MADHARA YA PUNYETO
✅linalotokana na umri
✅.linalotokana na ngiri
✅.linalotokana na kujamiana na mtu ndani ya siku zake
✅linalotokana na vyakula
✅.linalotokana na kisukali &presha

Ukifanikiwa kunywa chupa 2 za POWER RIJAAL ndani ya 2 week itakupa matokeo mazuri kabisa k**a utakunywa yaani chupa 2 utamaliza tatizo kabisa naomba nikusaidie kwa kukupatia product yangu ya POWER RIJAAL Leo

🌐MATUMIZI YA POWER RIJAAL :
🔥Tumia kijiko cha chakula 1 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
🔥Huchanganyi na chochote unatumia k**a ilivyo kwa siku 15
🔥Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo lako kuongezeka)
🔥Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction ya mwili wako
🔥Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia hakikisha inachanganyika vizuri

: K**a umekunywa POWER RIJAAL saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAAL saa 1:00 pm usiku

✅🔞CALL 0758 673 897

Pita hapa, k**ata Power Rijaal dozi yako tosha, Upate uhakika 100% kwenye tendo la ndoa na enjoy weekend kiboss!Anasema ...
27/11/2025

Pita hapa, k**ata Power Rijaal dozi yako tosha, Upate uhakika 100% kwenye tendo la ndoa na enjoy weekend kiboss!

Anasema "Mbinu zipo nyingi ambazo hazina madhara kwa kukuza na kunenepesha uume wako haraka zaidi mpaka nch 7/ 12 vile upendavyo bila madhara": dr ansali luswele

Awali tengeneza oil kwa kutumia vyakula vya Msoniti na muegea & Mbegu za mdinda dinda na msonobali (au chochote unachopenda)

Loweka shayiri kwenye mafuta ya msanana na uiongeze juu ya pudding ya sonoti na uiruhusu iloweke usiku kucha.
ongeza msonobali na ufanye laini ya Muegea na mdinda dinda ili kuweka juu na granola. Kiamsha Uume na kukuza ni mdinda dinda muhimu zaidi wa siku, uanze na kupakaa kuanzia kwenye shina mpaka kichwani acha nguvu ya kikaboni iingie kwenye mishipa ya uume

Bidhaa ya kukuza na kunenepesha iliyotayari ni 60000tsh.
Wasiliana nami.kupitia whatsapp +255 0758 673 897

  yana virutubishi aina ya   vinavyosaidia kupunguza uvimbe tumboni na kuimarisha mfumo wa kinga.Kwa mujibu wa Taasisi y...
27/11/2025

yana virutubishi aina ya vinavyosaidia kupunguza uvimbe tumboni na kuimarisha mfumo wa kinga.

Kwa mujibu wa Taasisi ya , moja ya njia za kujilinda na kupunguza uvimbe wa Bawasiri ni kula vyakula vyenye nyuzinyuzi (high-fiber foods) kwa wingi.

Aidha, inashauriwa kunywa maji ya kutosha, kula matunda na mboga za majani kwa wingi, pamoja na kufanya mazoezi mepesi ili kuzuia choo kigumu na kupunguza uwezekano wa kupata .
✅Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
✅Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
✅Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
✅Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
✅Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
✅Kupata upungufu wa damu (anemia)
✅Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
✅Kupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
✅Kuathirika kisaikolojia
✅Kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali

BAWASILI SYRUP ni lishe nzuri imejaribiwa kwa kutibu na kumaliza tatizo la BAWASILI
Pata dozi yako ya kutokomeza tatizo lako haraka zaidi

Unaweza wasiliana nasi kupata bidhaa ya bawasili syrup kwa kupiga / Whatsapp +255 0758 673 897

NDOTO ZA NYOKA NA MAANA ZAKE Ndoto ni taarifa ya kiroho inayokuja kwako ili kujiandaa na mambo yatakayokufika au kijiepu...
27/11/2025

NDOTO ZA NYOKA NA MAANA ZAKE
Ndoto ni taarifa ya kiroho inayokuja kwako ili kujiandaa na mambo yatakayokufika au kijiepusha majanga mbalimbali.

Leo tuanze tafsiri mbalimbali ukiota kuhusu nyoka kwa hali yeyote..

Unapomuota nyoka amekufa,ni ishara Umeepushwa na uadui na shari yake

unapomuota nyoka mdogo ni biashara ya kupata mtoto

unapoota umemuuwa nyoka juu ya kitanda chako,utafiliwa na mkeo

ukiota umemuuwa nyoka kwa fimbo ni ishara ya kuwa utaowa

ukiota umemuuwa nyoka kwa jiwe ni dalili ya kupona sihri uliyonayo na kutoka kwa jini mwilini mwako

ukiota umemuuwa nyoka kwa upanga na kumgawa vipande v3 utamtaliki mkeo talaka 3

ukiota joka kubwa linajizongazonga mwilini mwako ni dalili ya jini aloingia mwilini anatafuta sehem ya kujificha ndani ako

ukiota nyoka anaungua kwa moto ni dalili ya kufanya kazi kwa kile kisomo cha Ruqya alicho fanyiwa mgonjwa

ukiota unafukuzwa na nyoka ni dalili ya kuwa jini aliekuingia hajakaa vizuri mwilini mwako,au ni jini afriti jini mbaya anakuandama au adui yako yupo mbion kukudhuru

-ukiota una nyoka shingoni mwako ukamkata kata utatoa talaka kwa mkeo
Kuota nyoka mara kwa mara ni dalili ya wewe una Jini mahaba ana kuandama mwilini mwako ukiwa ni Mwanamme utakuwa una jini Mwanamke anaye kuharibia nguvu zako za kiume na kukuharibia kazi na maisha yako yanakuwa ni magumu kila unacho kifanya hakiwi. Ukiwa ni Mwanamke unaota kila mara nyoka ni dalili ya wewe kuwa una jini Mwanamme Jini Mahaba anaye kutia mikosi na kukuharibia Wanaume na kizazi chako na maisha yako fanya umtoe haraka.

Ukiota wanyama weusi pia ni ishara ya uadui
Kuota ndoto za vifo au watu waliokufa kuota unafanya mapenzi kuota upo shule kuota unapaa tayari tushatafsiri fuatilia makala zilizopita kwenye page yetu

Una tatizo la Nyota kazi mapenzi biashara mapenzi nk kwa matibabu nitumie ujumbe inbox

Maswali kuhusu ndoto za nyoka uliza hapa una tatzo ndo unifuate inbox

Habari ni njema! Jiunge na Tabibu Hassan kupata elimu ya kutibu madhara ya   "Tafuta mti mkubwa kuna uzungwi huota pembe...
27/11/2025

Habari ni njema! Jiunge na Tabibu Hassan kupata elimu ya kutibu madhara ya

"Tafuta mti mkubwa kuna uzungwi huota pembeni yake huitwa SEMBA saga changanya na mafuta pakaa kwenye uume wako misuli itarudi kuwa imara" - Tabibu hassan

FAIDA YA POWER RIJAAL KUU
📌uimarisha afya na misuli ya uume
✅Huzibua mishipa iyosinyaa kunyooka imara
✅Kufanya tendo mara nyingi zaidi kwa muda mrefu
✅Kupata manii kwa wingi
✅TIBA YA MADHARA YA PUNYETO
✅linalotokana na umri
✅.linalotokana na ngiri
✅.linalotokana na kujamiana na mtu ndani ya siku zake
✅linalotokana na vyakula
✅.linalotokana na kisukali &presha

Ukifanikiwa kunywa chupa 2 za POWER RIJAAL ndani ya 2 week itakupa matokeo mazuri kabisa k**a utakunywa yaani chupa 2 utamaliza tatizo kabisa naomba nikusaidie kwa kukupatia product yangu ya POWER RIJAAL Leo

🌐MATUMIZI YA POWER RIJAAL :
🔥Tumia kijiko cha chakula 1 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
🔥Huchanganyi na chochote unatumia k**a ilivyo kwa siku 15
🔥Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo lako kuongezeka)
🔥Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction ya mwili wako
🔥Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia hakikisha inachanganyika vizuri

: K**a umekunywa POWER RIJAAL saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAAL saa 1:00 pm usiku

✅🔞CALL 0758 673 897

✅Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa✅Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia✅Kutokea uvimbe katika eneo ...
27/11/2025

✅Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
✅Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
✅Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
✅Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
✅Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
✅Kupata upungufu wa damu (anemia)
✅Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
✅Kupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
✅Kuathirika kisaikolojia
✅Kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali

BAWASILI SYRUP ni lishe nzuri imejaribiwa kwa kutibu na kumaliza tatizo la BAWASILI
Pata dozi yako ya kutokomeza tatizo lako haraka zaidi

Unaweza wasiliana nasi kupata bidhaa ya bawasili syrup kwa kupiga / Whatsapp +255 0758 673 897

Address

Lugoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabibu Marimo Herb's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram