20/12/2023
Mbegu na Yai Hukutana Kwenye Mirija ya Uzazi
Kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke, urutubishaji wa yai au utungaji wa mimba unafanyika kwenye mirija ya uzazi. Hapa ndipo mbegu inapokutana na yai lililopevuka na kiumbe kufanyikwa. Baada ya hapo kiumbe hiki husafiri mpaka kwenye ukuta wa kizazi na kujipachika ili kikue.
Endapo mrija mmoja umeziba, bado chansi ya kushika mimba ipo kupitia yai kutoka upande mwingine wa mfuko wa mayai. Japo k**a mirija yote ya uzazi kushoto na kulia imeziba, itakuwa ngumu kwa mwanamke kushika mimba mpaka pale mirija itakapozibuliwa.
*Nini Kinasababisha Kuziba kwa Mirija ya Uzazi*
Kuziba kwa mirija ya uzazi kunaweza kusababishwa na
1.kukua kupita kiasi kwa tishu za ndani za kizazi mpaka kuziba kwa mirija(endometriosis)
2.maambukizi kwenye njia ya uzazi yaani (PID)
3.Uvimbe kwenye kizazi ( fibroids)
4. Michubuko au majeraha kwenye mirija ya uzazi kutokana na utoaji mimba, upasuaji, mimba liyotunga nje ya kizazi n.k
5.Baadhi ya magonjwa ya zinaa k**a kisonono, kaswende, pangusa nk
K**a unatafuta mimba kwa muda mrefu bila mafanikio na mirija yako imeziba, unaweza kuwa unahitaji sana tiba asili za kukusaidia kuzibua mirija yako.
*jinsi ya kujitibia kuzibua mirija ya uzazi*
MAHITAJI
1.Ndimu/limao 4
2.Karafuu viganja viwili
3.vitunguu saumu punje viganja viwili
4. Maji lita 3
Viblend/ visage kwa pamoja kisha chemsha mchanganyiko huo kwenye moto mdogo ndani ya dk 15 kisha epua.
MATUMIZI
Anza wiki ya kwanza kunywa vijiko viwili vya chakula asubuhi, mchana na jioni siku saba.
Kisha acha Usitumie kwa wiki moja. Baada ya wiki anza tena kwa kunywa vijiko vitatu vya chakula asubuh, mchana, na jioni mpaka utakapopata hedhi yako endelea kutumia mpaka utakapo maliza hedhi kipindi cha hedhi.
Baada ya kutoka hedhi, Chukua karafuu na uzitwange ili kupata unga wake
Utachukua unga wa karafuu kijiko kimoja cha chai, utatia kwenye kikombe cha maji ya moto au kwenye kikombe cha chai ya moto na kukoroga
Utakunywa kinywaji hiki asubuhi na usiku mpaka utapofika siku za hatari. Utakutana na mumeo kisha utaskilizia mwezi ujao k**a mambo yametiki
Karafuu ina viambata muhimu vyenye kukusaidia kuondoa majimaji na vivimbe vinavyoziba njia ya mirija na pia husaidia katika upevushaji mayai
Muhimu mwanamke mwenye changamoto za kukosa ujauzito 👇
Usisahau kuzingatia mlo wako, ikumbuke kachumbari, parachichi, bamia na mboga za majani
Usisahau kutumia iliki, mdalasini, tangawizi, mchaichai, manjano, pilipili manga, kotimiri n.k kwenye mapishi yako
Usiogope Kujaribu Tiba Asili Kuzibua Mirija ya uzazi endelea kufatilia masomo, zingatia kisha leta mrejesho hapa pia Usisahau kumuomba mungu atajibu hitaji lako kwa wakati
Mwenyezi mungu atufanyie wepesi kila mmoja wetu kupata hitaji la mioyo yetu🙏🙏
https://chat.whatsapp.com/KTQbtQF8e5Z7H1MnG3sUCp
Follow LIZY AFYA UZAZI
K**a utahitaji nikusaidie kutatua changamoto yako 0682351073