Mwakamol Health

Mwakamol Health Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwakamol Health, Medical and health, Mbeya.

*ZIJUE SABABU 7 ZINAZO CHANGIA MVURUGIKO WA HEDHI*DR SILA JULIUS AFYA PROGRAM 0767866299Mvurugiko wa hedhi, ambao pia hu...
16/10/2023

*ZIJUE SABABU 7 ZINAZO CHANGIA MVURUGIKO WA HEDHI*
DR SILA JULIUS AFYA PROGRAM 0767866299

Mvurugiko wa hedhi, ambao pia hujulikana kwa kitaalamu k**a “menstrual irregularities,” ni hali ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke unakuwa tofauti na mzunguko wa kawaida wa siku 21-35.

Leo katika mada yetu hii tuta zungumzia sababu kadhaa zinazochangia mvurugiko wa hedhi. Ungana nami katika kuchambua sababu hizi.

Sababu Za Mvurugiko Wa Hedhi:

Mvurugiko wa hedhi unaweza kusababishwa na sababu kadhaa, zikiwemo:

1) Mvurugiko Wa Homoni.

Mzunguko wa hedhi unadhibitiwa na homoni, hasa estrogeni na progesteroni. Kutofautiana katika usawa wa homoni hizi kunaweza kusababisha mvurugiko wa hedhi. Hii inaweza kutokea kwa sababu ya matatizo k**a vile Polycystic O***y Syndrome (PCOS), au upungufu wa homoni.

2) Msongo Wa Mawazo.

Msongo wa mawazo na shinikizo la kisaikolojia linaweza kusababisha mzunguko wa hedhi usiokuwa wa kawaida au kupotea kabisa. Mwili unaweza kurekebisha uzalishaji wa homoni kwa sababu ya mazingira ya mfadhaiko.

3) Mabadiliko Ya Uzito.

Kupata au kupoteza uzito wa kawaida kunaweza kuathiri mzunguko wa hedhi. Uzito mkubwa sana au uzito mdogo sana unaweza kusababisha kukosekana kwa hedhi au mvurugiko wa hedhi.

4) Matumizi Ya Dawa.

Matumizi ya dawa fulani, hasa dawa za uzazi wa mpango , yanaweza kusababisha mvurugiko wa hedhi.

5) Magonjwa Katika Mfumo Wa Uzazi.

Magonjwa katika mfumo wa uzazi wa mwanamke k**a vile uvimbe kwenye kizazi (uterine fibroids), vivimbe vidogo kwenye kizazi ( polyps) au endometriosis yanaweza kusababisha mvurugiko wa hedhi na kutokwa na damu nyingi.

Kumbuka: Endometriosis ni hali inayotokea wakati tishu za utando wa ndani wa kizazi (endometrium) zinakua nje ya kizazi. Hali hii inaweza kusababisha maumivu makali wakati wa hedhi na mvurugiko wa mzunguko wa hedhi.

6) Maambukizi Katika Mfumo Wa Uzazi.

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke k**a vile Pelvic Inflammatory Disease (PID), fangasi ukeni, kisonono, kaswende, pangusa yanaweza kuathiri mzunguko wa hedhi.

7) Umri.

Mabadiliko katika mzunguko wa hedhi yanaweza kutokea wakati wa kuingia kwa kipindi cha ukomo wa hedhi (menopause).

HITIMISHO:

Ikiwa una wasiwasi kuhusu mvurugiko wa hedhi au unaona kuna tatizo, ni muhimu kuwasiliana na daktari wako. Daktari ataweza kufanya uchunguzi na vipimo kujaribu kubaini sababu za tatizo na kutoa msaada na matibabu sahihi.

Kumbuka kuwa sababu za mvurugiko wa hedhi zinaweza kutofautiana kwa kila mwanamke, na uchunguzi wa kitaalamu unaweza kusaidia kutambua chanzo na kutoa suluhisho.

Karibu Sana kwa ushauri zaidi na matibabu juu ya namna ya Kupata suluhisho la kudumu juu ya shida hii, wasiliana nasi

DR SILA JULIUS AFYA PROGRAM +255767866299

Au bonyeza link 👇

https://wa.me/+255767866299

*SABABU 10 ZA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE**Dr Sila Julius +255767866299*✍🏿Haya ni Maumivu yan...
28/08/2022

*SABABU 10 ZA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE*
*Dr Sila Julius +255767866299*

✍🏿Haya ni Maumivu yanayompata mtu sehemu ya chini ya tumbo na nyonga. Kwa wanawake maumivu haya yanaweza kuwa dalili ya matatizo (maradhi) kwenye:

➡️mfumo wa uzazi,
➡️mfumo wa haja ndogo,
➡️mfumo wa chakula au
➡️mifupa ya nyonga.

✍🏻 Maumivu yanaweza kuwa ya kawaida au makali, ya kudumu ama ya wakati, yaani yanakuja na kupotea kulingana na chanzo cha Maumivu hayo.

✍ Wakati mwingine Maumivu yanaweza kusambaa kwenye mgongo wa chini wa kwenye miguu au mapaja. Lakini wakati mwingine yanaweza kuja tu pale unapokuwa unakojoa au kushiriki tendo la ndoa.

*SABABU ZAKE*

✍ Maumivu haya yanaweza kusababishwa na tatizo moja au zaidi hasa kwa yale humsumbua mtu kwa muda mrefu. Matatizo haya huwa k**a ifuatavyo;

1️⃣Matatizo kwenye mfumo wa uzazi
2️⃣Vivimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi
3️⃣Hali ya tishu zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi (endometriosis) au kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi.
4️⃣Maumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana na vivimbe katika kuta za tumbo la uzazi
5️⃣Mimba kutungwa nje ya kizazi (ectopic pregnancy)
6️⃣Maumivu yanayo tokea upande mmoja chini ya kitovu katikati ya mzunguko wa hedhi yaani siku ya 14
7️⃣Saratani kwenye mifuko ya mayai
8️⃣Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi ambayo hutokana na bakteria wanaosababisha kisonono, na klamidia.
✍🏻Watu wengi wamekuwa wakipatwa na magonjwa haya pale wanapojaribu kupata ujauzito bila mafanikio (ugumba) au wanaposumbuliwa kwa muda mrefu na Maumivu ya kiuno na nyonga.

9️⃣Vivimbe kwenye kuta za kizazi (uterine fibroids) ambavyo hutokana na mvurugiko wa homoni ama kurithi kwa vinasaba.
🔟Maumivu kwenye via vya uzazi ambayo husababisha kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu ama kushindwa kukaa kwa muda mrefu.

*SABABU ZA MAUMIVU YA MGONGO*

➡️Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo: Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo k**a vile maambukizi ya saratani ya mifupa huweza kuleta maumivu makali ya mgongo.

➡️Kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo: Hii huweza kusababishwa na vitu mbalimbali hususani ajali ya kuanguka au kupinduka na gari.

➡️Umri mkubwa: Tatizo la maumivu ya mgongo mara kwa mara huwakuta watu wazima na wazee.

➡️Uzito kupita kiasi: Uzito wa mwili kupita kiasi husababisha kuelemewa kwa uti wa mgongo na hivyo kuleta mgandamizo wa pingili za uti wa mgongo na kusababisha maumivu.

➡️Kukaa kwa muda mrefu: Kukaa kwa muda mrefu k**a vile ofisini au madereva bila ya mazoezi hupelekea maumivu ya Mgongo.

➡️Mtindo wa Maisha (Lifestyles): Mtindo wa maisha k**a vile kupuuza mbogamboga na vyakula vya asili hupelekea kuwa na mifupa hafifu na hivyo ni rahisi kuathirika hata kwa msuguo mdogo tu.

⚠️Matibabu ya haya matatizo hupatikana kutokana na chanzo. Kila tatizo tajwa linatibiwa kabisa. USHAURI wa haraka ni kutibu tatizo.

MWISHO;
Unaweza kuwa mwalimu kwa wengine kwa KUS-hare makala hii zaidi na zaidi ili wengi wapate Elimu hii uliyoipata wewe. Na kwa elimu zaidi, matibabu na pia ushauri unaweza kuwasiliana nami Dr Sila kupitia WhatsApp no. *+255767866299*

Karibu sana kwa maswali pia

*UGONJWA WA KUTOKA/ KUOTA VINYAMA PUANI (KITAALAM NASAL POLYPS).* Dr Sila Julius Mwaselela +255767866299👉VINYAMA  PUANI/...
16/05/2022

*UGONJWA WA KUTOKA/ KUOTA VINYAMA PUANI (KITAALAM NASAL POLYPS).*
Dr Sila Julius Mwaselela +255767866299

👉VINYAMA PUANI/ NASAL POLYPS NI NINI???
Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao mara nyongi huambatana na Allergic Rhinitisna pia huwa haviumi na ni huru katika mwenendo ndani.( Freely movable)

👉ELEWA KUHUSU NYAMA (Nasal polyps)

Hizi nyama za pua (Nasal polyps) zimegawanyika katika makundi mawili ambayo kitaalamu yanajulikana k**a antrochoanal polyps na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps huchipua ama kuota toka katika vijitundu viitwavyomaxillary sinuses na hizi huwa ni mara chache kuwapata watu. Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota toka katika vijitundu viitwavyo ethmoidal sinuses. Antrochoanal polyps mara nyingi huadhili tundu moja ya tu pua wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi na huathili tundu zote za pua.

HIASHIRIA/ DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO

Kwa kawaida mtu mwenye nyama aina hii hupata viashiria k**a..
👉Kuhisi pua kuziba,
👉sinusitis,
👉Kupoteza uwezo wa kunusa harufu aina yoyote.
👉Kupata maumivu ya kichwa.

Lakini pamoja na kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini mkubwa ili kuepusha uharibifu wa maeneo mengine ndani ya pua na jicho (orbit matter).

AINA ZA VINYAMA ( Nasal polyps.)

1. ANTTOCHOANAL

Aina hii huwa na tabia kuu tatu, japo siblazima zitokee zote kwa pamoja,
👉Huwa ni moja na hathili tundu moja la pua(Unilateral)
👉Lakini aina hii mara nyingi huwapata zaid watoto
👉 Inaweza kuanza kuota kutokea kwenye mirija ya sinus kwenye taya

2: ETHMOIDAL
Aina hii ya pili huwa na tabia kuu mbili...
👉 Kwanza kabisa huathili tundu zote mbili za pua (Bilateral)
👉 Tofauti na ile ya kwanza,, hii huwa Mara nyingi huawapata watu wazima

*_VISABABISHI VYAKE_*

Jinsi hizi nyama za puani zinavyojitokeza bado haifahamiki, ambapo kitaalamu tunasema "IDIOPATH" japo inatazamiwa kuwa nyingi husababishwa na mzio kitaalamu huitwa Allergy na kwa Mara chache sana husababishwa na cyst fibrosis.

*MAGONJWA YANAYO AMBATANA NA TATIZO HILI*

👉Chronic rhinosinusitis
👉Kartagener's syndrome
👉Young's syndrome
👉Churg-strauss syndrome
👉Asthma
👉Aspirin intolerance
👉Cystic fibrosis

*MATIBABU PEKEE* .
👉 K**a tulivyoona namna ambavyo tatizo hilo huwa husababishwa na tatizo lingine na imeonekana hakuna chanzo maalum..

Ila imeonekana kwa asilimia kubwa ni kwa wale wagonjwa / watu wenye matatizo ya allergy/ mzio na Athsma hivyo basi kufanya upasuaji si tiba na ndiyo maana tatizo hili hujirudia..

IPO hivi katika watu 10 waliofanyiwa upasuaji basi 7 wamerudiwa na tatizo..
nami kwaajili ya kupata msaada zaidi na matibabu yasiyo itaji upasuaji ktk kutibu kabisa tatizo hili la vinyama puani *+255767866299*

07/05/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*
Dr Sila Julius Mwaselela +255767866299

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika

Call➖text&sms➖whatsapp👇

+255767866299

SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏

Usiendelee kuteseka. Karibu tukuhudumie +255767866299
23/04/2022

Usiendelee kuteseka. Karibu tukuhudumie +255767866299

22/02/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*

*Mawasiliano: +255767866299/+255683522711

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/MGOLO*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika
Call➖text&sms➖whatsapp👇

Mawasiliano: +255767866299/+255683522711

12/02/2022

MWANAUME, UNAJUA KUWA TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI? PIA NI CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. VYANZO VINGINE NI:-
✍️KISUKARI
✍️PRESHA
✍️BAWASIRI N.K
MUHIMU:- KWAUJUMLA MATATIZO YOTE HAYA YANATATULIWA KABISA NA BILA UPASUAJI NA NI TIBA YA MOJA KWA MOJA.
IPO PAKEJI MAALUMU YA KUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO KULINGANA NA CHANZO CHAKE KWAFANO IPO PAKEJI YA KUTATUA TEZI DUME NA NGUVU ZA KIUME, IPO YA KUTATUA KISUKARI PAMOJA NA NGUVU ZA KIUME, IPO YA KUTATUA PRESHA NA NGUVU ZA KIUME, IPO YA KUTATUA BAWASIRI NA NGUVU ZA KIUME.

KARIBU SANA TUKUHUDUMIE.
MAWASILIANO KWAAJILI YA KUWASILIANA NA DR SILA JULIUS NA MSHAURI WA AFYA +255767866299/ +255683522711

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwakamol Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwakamol Health:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram