Mwinjilisti Given Sanga

Mwinjilisti Given Sanga 💎GOD'S SON⛱️
📖GOSPEL PREACHER & EVANGELIST📢
A husband of beautiful lady Neema Dudiyek
🌍A SEVENTH-DAY ADVENTIST CHURCH MEMBER🇹🇿

17/12/2025

SOMA KWA MAKINI

17/12/2025

SIKILIZA KWA MAKINI

Ni Sabato ya wageni hapa Arusha katika kanisa la Magadirisho SDA.Wageni wengi walihudhuria na tuliweza kugawa vitabu zai...
12/12/2025

Ni Sabato ya wageni hapa Arusha katika kanisa la Magadirisho SDA.

Wageni wengi walihudhuria na tuliweza kugawa vitabu zaidi ya 63 kwa watu zaidi ya 63.
Jina la Bwana Litukuzwe Sana, Tuendelee kufanya kazi ya Utume, Yesu Anarudi hivi karibuni.

Ufunuo wa Yohana 1:7
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.

Ufunuo wa Yohana 22:7
Na tazama, naja upesi; heri yeye ayashikaye maneno ya unabii wa kitabu hiki.

Ufunuo wa Yohana 22:20
Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu

06/12/2025.

Our happiness is to serve God "...Lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA."Yoshua 24:15  Nanyi k**a mkiona ni vib...
04/10/2025

Our happiness is to serve God

"...Lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA."

Yoshua 24:15
Nanyi k**a mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.

Ntokela Sda Church 04October2025

💒 “Harusi imepita, furaha imebaki! Asante kwa maombi, michango na upendo wenu – nyote mmeandika historia kwenye maisha y...
01/09/2025

💒 “Harusi imepita, furaha imebaki! Asante kwa maombi, michango na upendo wenu – nyote mmeandika historia kwenye maisha yetu. Mungu awabariki sana 🙏💖.”
Ibada ya Ndoa takatifu iliongozwa Mch&Dr David David Mpwani Mwenyekiti wa Jimbo la TRVF. 28/08/2025
Kanisani MJI-MWEMA SDA-ARUSHA.

27/08/2025
KARIBU UBARIKIWE KWA SOMO HILI ZURI.
10/06/2025

KARIBU UBARIKIWE KWA SOMO HILI ZURI.

Somo hili linapatikana katika Biblia takatifu.Injili ya Yohana 2:1-11

HAPPY BIRTHDAY TO ME06/06....
06/06/2025

HAPPY BIRTHDAY TO ME
06/06....

29/05/2025

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwinjilisti Given Sanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwinjilisti Given Sanga:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram