Healthy & wealthy living

  • Home
  • Healthy & wealthy living

Healthy & wealthy living 🌿 Karibu Healthy & Wealthy Living! Safari ya ustawi wa mwili huanza kwa njia salama & ya asili 💚
📩 Tuma ujumbe – tupo kwa moyo wa kusaidia 🙌

13/11/2025

Ustawi Wako, Nguvu Yako 🙏

Mabadiliko ya afya ya mwili ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi wanapokua na umri. Mara nyingi mwili huhitaji tu uangalizi zaidi ili kuendelea kuwa na ustawi mzuri, nishati na uimara wa asili.

Kuanzisha utunzaji sahihi mapema kunaweza kusaidia kuboresha hali ya mwili na kuleta amani ya fikra katika safari ya afya ya uzazi.

🌿 Bonyeza hapa kujifunza zaidi kuhusu njia zinazosaidia wanaume wengi kuimarisha ustawi wao wa mwili:
👉 https://wa.me/255772039577

Au tuma ujumbe kupitia WhatsApp:
📞 +255 772 039 577

04/11/2025
15/10/2025

✨ Unahisi mwendo wako sio k**a zamani?

✨ Je, unahisi mwili umechoka?
Maumivu ya miguu, viungo, magoti, nyonga au mgongo yanakuzuia kuishi maisha yako kwa furaha?

🌿 Healthy & Wealthy Living imekuletea suluhisho la asili kusaidia:
🦴 Mifupa kuwa imara,
🤝 Maungio na pingili kupata utelezi wa asili,
💪 Misuli na neva kufanya kazi bila maumivu,
🦵 Miguu kuwa na nguvu na uimara wa kudumu,
🧘‍♂️ Na mwili mzima kupata ustawi na mwendo wa uhuru.

😊 Furaha ya kila siku huanza na mwili mwepesi na usio na maumivu.

👉🏻 Unataka kujua njia asilia ya kusaidia afya ya viungo, mifupa na maungio? 🌿

👇GUSA LINK HII HAPA CHINI KUJUA ZAIDI KUHUSU BIDHAA ZETU BORA ZINAVYOWEZA KUSAIDIA SAFARI YAKO YA KIAFYA KWA NJIA YA ASILI
👇👇👇

https://healthandwellnesstz.systeme.io

01/10/2025

🌿 Je, umewahi kusikia stori ya mtu aliyekuwa na changamoto za maungio? 💚

Alianza kwa miguu kuchoka kila mara, wakati mwingine miguu ikihisi kuwaka moto…
Baadhi ya siku zilikuwa ngumu sana, maumivu ya mgongo na viungo vilimfanya ashindwe hata kufurahia mambo madogo ya kila siku.

✨Lakini stori yake haikuishia hapo…

👉 Aliposikia kuhusu kirutubisho cha lishe GLUE & JOINTS ACTIVE, akaamua kujaribu.

Polepole alianza kujisikia tofauti — maungio yakawa laini zaidi, na nguvu za mwili zikaanza kurudi.
Leo hii, anasema:

💬 “Najisikia mwepesi na nina nguvu mpya, maisha yamerudi kuwa na ladha!”

---

🦴 Kwa nini wengi huipenda GLUE & JOINTS ACTIVE?
Kwa sababu imeundwa kusaidia:
✅ Huimarisha afya ya gegedu na kusaidia kulainisha maungio kwa ufanisi zaidi
✅ Huchangia kuimarika kwa msongamano na uimara wa mifupa
✅ Huchangia katika mzunguko mzuri wa damu na kusaidia afya ya mishipa ya damu
✅ Husaidia kurejesha uteute kwenye maungio, kulainisha na kuleta hisia ya ustarehe mwilini
✅ Huchangia katika uimarishaji wa afya na ujenzi wa upya wa cartilage
✅ Husaidia viungo kuwa na msisimko na ufanisi k**a wa ujana
✅ Husaidia kupunguza maumivu ya viungo na kuboresha ustawi wa maisha yako

---

✨🛍️ OFA MAALUM LEO! 🛍️✨

🟢 Ofa ya Leo Tu – Weka Afya Mbele kwa Bei Nafuu!
🟢 Badala ya TZS 85,000, sasa ni TZS 75,000 tu!
🟢 Free Delivery 🚚 – Tunatuma mikoa yote Tanzania
🟢 Umeokoa TZS 10,000!

---

🎉 Habari njema!
Wengi sasa wanachukua hatua ya kupata Full Body Check-Up kwa bei ya kipekee — Tsh 20,000/- tu!
🔎 Kwa nini? Ili kubaini mapema hali ya afya zao na kufanya maamuzi bora.

⏰ Usisubiri hadi dalili ziwe kubwa – chukua hatua leo!
📞 WhatsApp / Piga Simu: 0772039577

🌿 Hatua ndogo leo inaweza kubadilisha kesho yako!

---

⚠️🛡️ ANGALIZO MUHIMU 🛡️⚠️

Bidhaa hii ni nyongeza ya lishe. Matokeo yanaweza kutofautiana. Ushauri wa daktari unapendekezwa kwa hali ngumu za kiafya.

20/06/2025

🌿JE, UNASUMBULIWA NA MIFUPA NA MAUNGIO? 💚

🌟 Miguu yanawaka moto?
🌱 Mivimbiko ya miguu inakusumbua?
✨ Maumivu ya viungo & pingili za mgongo?
❄️ Baridi yabisi, ganzi au misuli kuwa dhaifu?

👉 Dalili hizi ni ishara kuwa ute ute kwenye maungio umepungua
👉 Mifupa yako inaweza kuwa inasuguana na kukosa nguvu

🦴 GLUE & JOINTS ACTIVE TABLETS
ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia:

✅ Hupunguza maumivu ya:
🌿 Baridi yabisi (arthritis)
🦴 Udhaifu wa mifupa
💢 Diski ya mgongo (lumbar disc herniation)
⚡ Maumivu ya neva ya paja na mgongo

✅ Kupunguza maumivu ya joints & uti wa mgongo
✅ Kuongeza ute ute kwenye maungio
✅ Kupunguza ganzi, uvimbe & baridi yabisi
✅ Kuupa mwili nguvu ya misuli na mifupa
✅ Kuchochea uundwaji mpya wa gegedu (cartilage) na kurudisha maungio k**a ya ujana
✅ Kulainisha maungio kwa faraja zaidi
✅ Kuimarisha mifupa (bone density)
✅ Kuboresha mzunguko wa damu na kufungua mishipa iliyoziba 🔄
✅ Kupunguza ganzi

✅ Kupunguza uvimbe na hisia ya kuwaka moto miguuni

💬 “Nilianza kutumia GLUE & JOINTS ACTIVE nikiwa na maumivu ya mgongo yasiyokwisha. Sasa najisikia mwepesi na nina nguvu mpya!” – Mteja aliyeridhika

---
🎉 OFA MAALUMU!

✨ Pata Full Body Check-Up kwa bei ya kipekee — Tsh 20,000/- tu!
🔎 Baini chanzo cha matatizo yako mapema
⏰ Ofa hii ni ya muda mfupi tu – chukua hatua sasa!
📅 Panga miadi yako leo ukipata suluhisho la kiafya bora

📞 Pata maelezo au fanya oda sasa:
WhatsApp / Simu ya kawaida
👉 0741851815

🌿 Rudi kwenye maisha bila maumivu!
➡️Hatua moja leo, mabadiliko makubwa kesho!

---

📝 Bidhaa hii ni nyongeza ya lishe. Matokeo yanaweza kutofautiana. Ushauri wa daktari unapendekezwa kwa hali ngumu za kiafya.

18/05/2025

Je, unahisi afya yako haiko sawa? Usikubali magonjwa sugu yakudanganye!

✅Karibu kituoni kwetu Mbeya Mjini kwa ajili ya uchunguzi WA mwili mzima kwa Tsh 15,000 tu, ofa hii ni mpaka Jumapili tu!

✅Baada ya kupima, tutakushauri na kukupatia virutubisho vinavyolenga chanzo cha magonjwa k**a kisukari, kiharusi, tezi dume, figo, fangasi, PID sugu, kansa na mengine.

✅Usisubiri ugonjwa ukukumbatie, chukua hatua sasa!

❇️Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi
Whatsapp/Piga 0741851815

09/05/2025

Umekuwa ukihisi uchovu usioelezeka?

Misuli kuuma, kisukari, Figo, Ini, Uvimbe, P.I.D, uzazi, Bawasiri, Pumu, Mifupa, Vidonda vya tumbo, Macho, Fangasi, Tezi dume, Saratani, Mifupa, kiharusi, matatizo ya hedhi au shinikizo la damu lisilo thabiti n.k?

👉Tembelea Kituo chetu leo cha Tiba Lishe kwa body check-up – PUNGUZO 50%, Wahi kabla Ofa haijaisha. Tuko Mbeya, Dar es salaam, Sumbawanga, Ruvuma n.k

👉Tunachambua chanzo cha tatizo lako na kukupangia virutubisho lishe vinavyokufaa vya kuboresha Afya dhidi ya magonjwa sugu yasiyoambukiza.

📲 Piga/Tuma WhatsApp 0741851815 sasa!

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Healthy & wealthy living posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram