Muuguzi wa FB

Muuguzi wa FB Wanadamu Sote ni Sawa, Wahudumiwe Sawa.

Unaijua😀
04/03/2026

Unaijua😀

💊 Dawa adimu kwa matibabu maalum — ubora wa juu kwa afya bora zaidi.Husaidia katika matibabu ya:✔️ Maambukizi makali ya ...
04/03/2026

💊 Dawa adimu kwa matibabu maalum — ubora wa juu kwa afya bora zaidi.

Husaidia katika matibabu ya:
✔️ Maambukizi makali ya bakteria
✔️ Magonjwa ya mfumo wa kinga kushuka sana mwilini
✔️ Maambukizi sugu yasiyoitikia dawa za kawaida
✔️ Baadhi ya matatizo makubwa ya damu au mwili yanayohitaji tiba maalum

Faida zake:
✔️ Hufanya kazi haraka mwilini
✔️ Huongeza ufanisi wa matibabu kwa wagonjwa mahututi
✔️ Hutengenezwa kwa viwango vya juu vya kitaalamu
✔️ Hutumika chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya 👩‍⚕️👨‍⚕️

✨ Afya Bora, Maisha Bora! Gundua nguvu ya virutubisho adimu k**a Omega-3, Probiotic, Turmeric na vingine vingi vinavyoku...
03/03/2026

✨ Afya Bora, Maisha Bora!

Gundua nguvu ya virutubisho adimu k**a Omega-3, Probiotic, Turmeric na vingine vingi vinavyokusaidia kuimarisha moyo, ubongo, kinga na afya ya mwili kwa ujumla. 💊🌿

Chagua ubora. Chagua afya.
📍 Karibu dukani leo ujipatie unachohitaji kwa mwili wenye nguvu na maisha yenye ubora!

🚨 WATANZANIA WANAPIGWA BEI! 🚨Omega-3 hii hii unayoiona…Maduka ya hapa wanauza mpaka TSH 120,000+ 😳😳Lakini ukweli ni kwam...
03/03/2026

🚨 WATANZANIA WANAPIGWA BEI! 🚨

Omega-3 hii hii unayoiona…
Maduka ya hapa wanauza mpaka TSH 120,000+ 😳😳

Lakini ukweli ni kwamba…
Inaagizwa nje kwa bei nafuu sana!

🐟 OMEGA-3 FISH OIL – HIGH POTENCY (1000–2000mg)
✔️ Afya ya moyo
✔️ Ubongo na kumbukumbu
✔️ Maumivu ya viungo
✔️ Ngozi yenye afya

🔥 Mimi naiagiza direct – hakuna middlemen!
💰 Bei yangu: TSH 75,000 tu

Unaokoa hadi 45,000+ 😎

📦 Stock ni limited – wanaojua thamani wanaagiza mapema.
📲 Comment “OMEGA” au Inbox sasa nikuhudumie.

⚠️ Hii ni supplement (si dawa ya kutibu magonjwa). Matokeo hutofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine.

Fairhaven Health FertilAid for Women 💊 Inasaidia Kupata ujauzito 💰 Bei: Kuanzia takriban kuanzia Tsh. 100,000/= – Tsh. 1...
03/03/2026

Fairhaven Health FertilAid for Women

💊 Inasaidia Kupata ujauzito

💰 Bei: Kuanzia takriban kuanzia Tsh. 100,000/= – Tsh. 180,000/= (K**a utahitaji andika namba kwenye kom*nti, alafu nitakuunga kwenye group la hizi Dawa.

Unajaribu kupata ujauzito? FertilAid for Women ni supplement maarufu iliyotengenezwa kusaidia:

💓 Kusaidia mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida
💓 Kusaidia hormone balance
💓Pre-conception nutritional support
💓Imeundwa kwa viambato k**a Vitex, folate na iron

Ukweli Ni kwamba hii dawa ni chaguo la wanawake wengi wanaojiandaa kwa ujauzito.

Karibuni
01/03/2026

Karibuni

Karibu sana mpendwaAbly Josh, Mtiro Kambi Joka, Idrisa Mswalie Hashim, Oswald Kamihanda, Maulidi Alute, Jamila Tepene, S...
17/12/2025

Karibu sana mpendwaAbly Josh, Mtiro Kambi Joka, Idrisa Mswalie Hashim, Oswald Kamihanda, Maulidi Alute, Jamila Tepene, Steven Francisco Miziyahiwe, Dunga Mawe, Hamad Mrope, Athumani Kibunda, Shee Ommy, Gody Dizzo, Sauda Gumbo, Mfaransaog Frankmfaransaog kwa kufatilia ukurasa wa Afya ya uzazi wa mama na mtoto. K**a wewe ni mjamzito jipe moyo na vumilia utavuka salama na k**a mkeo na ujauzito uwe karibu nae kwa upendo na imani. ❤️🎉🌹

16/12/2025

Mama k**a umebahatika kujifungua leo mshukuru Mungu hapo kitandani ulipo wapo wenzetu wamejifungua watoto wakiwa wamefariki tayari. Usiangalie sana jinsia, mshukuru Mungu tu.

16/12/2025

Mtoto ni Akizaliwa yeyote mpokee usiwaze kumdhuru kwa namna yoyote hana kosa

16/12/2025

Muuguzi anakusaidia usiangukie kwenye hatari wakati wowote mwili wako unapokuwa hujiwezi

16/12/2025

Uchungu wa labor ni Furaha ijayo baada ya kujifungua

16/12/2025

Ugonjwa ni sehemu ya maisha usikate tamaa. Utapona

Address

Buswelu
Mbeya

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muuguzi wa FB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram