afya yetu

afya yetu Afya Yetu | Tips & guidance for your body, mind & wellness. Tunajali afya yako kila siku! 🌿🔍🏥

With Dr edna – I just got recognized as one of their top fans! 🎉
16/04/2026

With Dr edna – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

⚠️🔥 HIGH BLOOD PRESSURE INAUA KIMYA KIMYA! 🔥⚠️Hypertension inaweza isiwe na dalili lakini ikasababisha stroke, moyo na f...
13/04/2026

⚠️🔥 HIGH BLOOD PRESSURE INAUA KIMYA KIMYA! 🔥⚠️
Hypertension inaweza isiwe na dalili lakini ikasababisha stroke, moyo na figo kuharibika 😳
🥗 Punguza chumvi
🏃‍♂️ Fanya mazoezi
🩺 Pima BP mara kwa mara
📌 Afya yako, chaguo lako — pima leo!

12/04/2026

“🔥 USHUHUDA HALISI WA MTEJA 🔥
Mteja wangu alianza safari yake akiwa na uzito mkubwa, uchovu wa mara kwa mara na kujiamini kupungua 😔
Baada ya kufuata mwongozo sahihi wa lishe pamoja na matumizi ya bidhaa tulizomshauri… matokeo yakaanza kuonekana taratibu! 💪✨
✅ Amepungua uzito kwa njia salama
✅ Nguvu zimerudi mwilini
✅ Anajisikia mwepesi na mwenye kujiamini zaidi 😍
Hii si miujiza… ni nidhamu + maamuzi sahihi 💯
Wewe pia unaweza! Usikae na uzito unaokusumbua—anza leo kubadilisha maisha yako ✔️
📲 WhatsApp: +255 766 381 702
📩 Wasiliana nami moja kwa moja: Chat WhatsApp⁠�

“Watu wengi wanachanganya Anemia na Sickle Cell Disease… lakini si kitu kimoja! ⚠️Anemia ni hali ya upungufu wa damu ina...
12/04/2026

“Watu wengi wanachanganya Anemia na Sickle Cell Disease… lakini si kitu kimoja! ⚠️
Anemia ni hali ya upungufu wa damu inayoweza kusababishwa na lishe duni, kupoteza damu au magonjwa mbalimbali.
Sickle cell ni ugonjwa wa kurithi unaoathiri umbo la seli za damu na husababisha anemia ya kudumu pamoja na maumivu makali.
❌ Vyote havinaambukizwa
🧬 Sickle cell hurithishwa
🥗 Anemia nyingi huzuilika kwa lishe bora na matibabu sahihi
Elimu ni kinga—pima afya yako mapema, fahamu hali yako na chukua hatua sahihi 💡
📲 WhatsApp: +255 766 381 702
📩 Bonyeza hapa kuwasiliana moja kwa moja: Chat nami WhatsApp⁠�
Karibu kwa ushauri zaidi wa afya 🤝💚”

"Watoto wengi hukosa virutubisho muhimu bila hata mzazi kujua. na hii huathiri kinga, ukuaji na hata uwezo wa kufikiri 🤔...
06/04/2026

"Watoto wengi hukosa virutubisho muhimu bila hata mzazi kujua. na hii huathiri kinga, ukuaji na hata uwezo wa kufikiri 🤔
Mtoto mwenye afya bora anahitaji zaidi ya chakula tu-anahitaji vitamins na minerals sahihi kila siku 💡
🌿 Immunikids Gummies:
✔ Husaidia kuimarisha kinga ya mwili
✔ Huongeza nguvu ya mifupa na meno
✔ Huboresha ukuaji na umakini wa mtoto
✔ Huchochea hamu ya kula
Usisubiri mtoto aanze kuumwa mara kwa mara ndipo uchukue hatua ⚠️
Afya ya mtoto wako inaanza na wewe leo!
📲 Wasiliana nami sasa: +255766381702
"

03/04/2026

Mwili wako hauumii bure… kila maumivu ni ujumbe ⚠️
Kuanzia mgongo, tumbo hadi viungo—dalili ni lugha ya mwili wako ikikuambia kuna kitu hakiko sawa.
Usizime ishara kwa dawa tu, tafuta chanzo cha tatizo! 💡
Afya bora inaanza kwa kuelewa mwili wako.
📲 Wasiliana nami WhatsApp: +255766381702 kwa ushauri na mwongozo zaidi.

02/04/2026

"Afya yako ni zawadi! 💚 Epuka tabia zisizokuletea faida na uanze kuzingatia mwili wako leo. 🍎🧘‍♂️ Pamoja, tufanye Afya Yetu kuwa bora! ✅❌
📲 Tafadhali wasiliana nasi kupitia WhatsApp: +255766381702
"

“Watu wengi wanaishi na uchovu, maumivu na dalili zisizoeleweka wakidhani ni kawaida… kumbe sio 😳Karibu kwenye page yang...
02/04/2026

“Watu wengi wanaishi na uchovu, maumivu na dalili zisizoeleweka wakidhani ni kawaida… kumbe sio 😳
Karibu kwenye page yangu 🌿
Mimi ni Sylvester Joel—nipo hapa kukusaidia kuelewa mwili wako na kurejesha afya yako kwa njia sahihi na za asili 💯
Ninaamini mwili una uwezo wa kujirekebisha ukipata virutubisho sahihi.
Usipuuzie dalili ndogo—ndio mwanzo wa matatizo makubwa ⚠️
📩 K**a una changamoto yoyote ya afya, nicheki moja kwa moja WhatsApp 👇
👉 https://wa.me/255766381702⁠
✉️ Andika “AFYA” nikuhudumie haraka.”

02/04/2026

Afya bora inaanza na unachofanya kila siku 💯
Kula vizuri, pata virutubisho, pumzika na epuka vitu vinavyochosha mwili wako.
Usipuuze dalili ndogo—ndio mwanzo wa matatizo makubwa ⚠️
🌿 Jali afya yako leo.
yetu

Address

Mbeya
Mbeya
53000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share