MAIKI YA JOLEE

MAIKI YA JOLEE kuwafikia jamii zote nakutatua changamoto zao kupitia maiki ya Jolee

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE ushawahi kugawana kidogo ulichonacho nacho namaskini? Karibu tuchume baraka zabwana. October yaukombozi kupitia baraka tutazovuna kwawatoto hawa. Karibu katika project yetu ya October ushiriki nasi kwachochote kuwafikia zaidi watoto hawa kwani uhitaji nimkubwa

Kutoka 20:12 umiliki katika maandiko tunauombea lakini tutaupata kupitia sadaka, malimbuko, zaka zetu. Tuwajali yatima

Nitext 0623816135 wats up au nipigie

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE ๐Ÿ™
Project yetu mpya nimlangoni kwako. Karibu uungane nasisi tuweze kuwafikia watoto hawa
Nitext ways up 0623916135 au piga

30/09/2025

bado tunakukaribisha katika project yetu yamwisho kuelekea kufunga mwaka huu 2025 . Inayoitwa mlangoni kwako. Tutapita kwawatoto wahitaji nakurejesha tabasamu. Ukiitaji kushiriki kwachochote nicheck wats up 0623816135

Zaburi 23 ikatembee nakuwafaraja pale utapoguswa nakikombe chako kifurike

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE ๐Ÿ™
Ungana nasi katikaproject yetu mpya ya mlangoni kwako tushirikiane kurejesha tabasamu lawatoto hawa zaidi nazaidi. Ukiitaji. Kuwa mojawapo au kushiriki nitext wats up 0623816135
Esta 2:15
Tunapata vibali vyaheri kupitia amani tunayoitengeneza kwawengine. Jiombee kibali kwahuduma hii naufanikiwe

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE inazidi kupaza sauti katika haki zamtoto. Karibu kwenye project yetu mpya ya mlangoni kwako tutayoifanya October hii kurejesha tabasamu kwawatoto hawa. Ukiitaji kushiriki nasi wats up 0623816135 kwa maelezo zaidi
Isaya 49:25 ๐Ÿ™

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE inawatangazia project mpya itayoanza October yakurejesha tabasamu kwawatoto hawa inaenda kwajina la mlangoni kwako ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธkupitia viumbe hawa wanaopitia ktk mazingira magumu. Ukiitaji kua mmoja wakupokea neema hii. Karibu wats up ushirikiane nasi. Muongozo wote tutatoa huko ๐Ÿ™
Luka 11 :1

30/09/2025

K**a katika isaya 66 alituahidi kufurika kwamibaraka yetu, basi amini ipo ck watoto hawa kupitia MAIKI YA JOLEE watarejeshewa tabasamu lao ๐Ÿ™karibu tuungane katika project zetu zamaiki yajolee zinazoanza October hii ktk kuhakikisha tabasamu laviumbe hawa linarejelea. Wats up 0623816135 kwa maelezo zaidi

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE ๐Ÿ™

Je ushawahi kufanyika baraka ktk familia hizi

Karibu 0623816135 tunafungua group wats up ambalo tutafanya project kwamwaka mara tatu. Ukihitaji kujoin tunakukaribisha uwe sehemu yakurejesha tabasamu lahawa viumbe.
Maelezo zaidi tutaelekezana wats up

13/09/2025

MAIKI YA JOLEE tumepokea taarifa hizi kwamasikitiko makubwa mno. Kijana anaeonekana kwa clip akipigwa mpk kufa nawanawake kisa ameiba parachichi. Kijana niyatima hana wazazi naanawadogo zake anaowalea lkn niwaapo mtaani wanamuona anavyoangaikaga kuombaomba chakula nakuokota majalalani ili kulisha wadogo zake lkn Leo hii kaiba parachichi akawape wadogo zake wale akapigwa nawanawake hao waliokuwa wakipokezana kumpiga nakumchoma moto mpk kufa. Nimejaribu kufatilia wanawake hao washak**atwa ila kwa sababu mmenitag Sana kule basi kesi hii tutaifanyia ufatilizi mpk siku yahukumu yake nitakua niki post update hapa kwaa page ya taasisi yetu ya

Endelea kutu follow mirejesho ya kesi hii nitakua nikiipost hapa

Kiukweli jiombee ulee wanao mpk watakapoweza kujitegemea ๐Ÿ™duniani humu wapo wanawake wenzako lkn hawatoweza kumpa hata maji ya kunywa mwanao akishikwa nakiu pindi ukiwa kaburini, Wanawake wa iringa wengi wenu ndivyo mlivyo mnaroho zakikatili Sana๐Ÿ–๐Ÿ˜ซmjiombe aiseee, sura zaupole mno Ila matendo yenu yanatisha k**a nini ๐Ÿ™Œ

Call now to connect with business.

28/07/2025

Hello wapendwa wa Chanel hii ya MAIKI YA JOLEE project yetu niliowaahidi yakusaidia vijana hawa kutoka secondary ya hai day ambao pia wanakipaji champira lkn hawana uniform ,mpira umechakaa, wala viatu vyamichezo, tunaenda kuikamilisha jumahili. Vijana hawa walifika ofisini Mara nyingi kunitafuta lkn kutoka na namajukumu yngu kua mengi tulikua tunapishana hatuonana. Hatimae Jana walimtafuta mwandishi wahabari nakumuomba awaunganishe namimi direct nawalifanikiwa. Namshukuru Mungu wakati wa Mungu umetimia naona Lilikua niswala La muda tu Jana nilifika eneo Lao wanalochezaga mpira nikaiona hali halisi vijana kweli wanavipaji vikubwa lkn vifaa hawana nainawapelekea kukosa confidence hata wakienda game ktk mashindano na wenzao,basi Mimi nimewaahidi next week nitaenda kuwanunulia baadhi ya vitu ili watimize ndoto zao ๐Ÿ™

Lkn bado watoto hawa wanauhitaji mkubwa Sisi k**a wazazi tuwawezeshe katika kufikia ndoto zao kwamfano wanaendaga Mara Kwamara mikoani kucheza mpira hivyo ukijisikia kuungana namini ktk kuwasupport katika mfuko wetu wakuiinua jamii . Wanaitaji chakula wakienda kambini kila weekend, wa naitaji first aid lile sanduku lamatibabu, Wa naitaji pesa zausafri wakienda kwenye mashindano kwa iyo maiki ya jolee tutatimiza vichache kulingana na mfuko wetu bado ndoto lkn Karibu kwanamba hizo k**a ukiguswa kuwainua watoto hawa wasijekua street children wakati nguvu yabuku inaweza kuwavusha apo walipo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡



0623816135
ya jolee
Moshi bomangombe

255768666113 - WASTARA Juma ISSA Kwamtakaoitaji kumchangia.Nishawapostia muamala wa laki mbili na sabini ambao taasisi y...
19/05/2025

255768666113 - WASTARA Juma ISSA

Kwamtakaoitaji kumchangia.

Nishawapostia muamala wa laki mbili na sabini ambao taasisi yetu ya MAIKI YA JOLEE imechangia matibabu yake wastara. Je wew mdau wa page hii unasubiri nini kutoa msaada wako? Barikiwa.

Taasisi ya MAIKI YA JOLEE imechangia Tsh 270000 laki mbili na sabini kwaajili yakusupport matibabu ya msanii wastara Jum...
19/05/2025

Taasisi ya MAIKI YA JOLEE imechangia Tsh 270000 laki mbili na sabini kwaajili yakusupport matibabu ya msanii wastara Juma sajuki.

Tukipata kibali tutaweka namba yawastara hapa mumchangie.

Address

Moshi Kilimanjaro
Moshi
1168PASUAMOSHI

Telephone

+255623816135

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAIKI YA JOLEE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram