Win natural herbs

  • Home
  • Win natural herbs

Win natural herbs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Win natural herbs, Medical and health, .

Ni mchanganyiko wa viungo mbali mbali vya asili ambavyo tunaanda wenyewe kwa kuvisaga kwa ajili ya kurahisisha mmeng'enyo wa chakula hivyo inapelekea kupunguza uzito ndani ya muda mfupi.

Ondoa sumu mwilini, ondoa mafuta yaliokithiri, punguza uzito uliozidi sana, safisha damu. Detoxify your body and stay he...
10/06/2022

Ondoa sumu mwilini, ondoa mafuta yaliokithiri, punguza uzito uliozidi sana, safisha damu. Detoxify your body and stay healthy. Karibuni sana na mikoani tuna tuma bidhaa zetu.

💥HABARI NJEMA💥TUTAKUWA NA PUNGUZO LA BEI KWA WATEJA WETU KWA SIKU 4 KUANZIA TAREHE 17/08/2021 HADI TAREHE 20/08/2021. AM...
17/08/2021

💥HABARI NJEMA💥
TUTAKUWA NA PUNGUZO LA BEI KWA WATEJA WETU KWA SIKU 4 KUANZIA TAREHE 17/08/2021 HADI TAREHE 20/08/2021.
AMBAPO BEI ZA DAWA ZETU ZA ASILI KWA PAKTI ZA AINA ZOTE TATU TUTAUZA PAKTI MOJA KWA TSHS 8,000/= BADALA YA 15,000/=. KARIBUNI SANA 🙏
PUNGUZO HILI NI KWA MIKOA YOTE PIA 💝

Habari wapenzi wateja wetu. Ninapenda kuwakumbusha kutuletea mrejesho kuhusu matumizi ya dawa zetu za asili mlizonunua k...
17/08/2021

Habari wapenzi wateja wetu. Ninapenda kuwakumbusha kutuletea mrejesho kuhusu matumizi ya dawa zetu za asili mlizonunua kutoka kwetu. Kwa kupitia maoni na ushauri wenu tunaweza kujua wapi tunaelekea na kipi kiboreshwe. Je uliponunua pakti ya viungo vya asili kutoka kwetu na kutumia dozi kamili k**a ulivyoshauriwa ulifikia malengo uliyokusudia kuinunua?! Nafunga comments ili majibu yawe siri kwenye inbox baina yetu na wateja labda k**a mteja mwenyew atataka apostiwe. Asanteni sana.

Kwa wateja wa Mwanza mjini tunaanda Green Smooth Detox kwa ajili ya kusafisha mwili kuondoa sumu. Glass ni 5,000 unatoa ...
25/05/2021

Kwa wateja wa Mwanza mjini tunaanda Green Smooth Detox kwa ajili ya kusafisha mwili kuondoa sumu. Glass ni 5,000 unatoa order siku moja kabla unaandaliwa asubuh unaletewa asubuhi hiyo hiyo ikiwa fresh. Karibuni

Hii ni Detox Tea Powder Extra ilioongezwa viungo k**a mbegu za Uwatu, Jira, Oregano, Mint, Ginseng, Gymmena, Mlonge, Man...
22/05/2021

Hii ni Detox Tea Powder Extra ilioongezwa viungo k**a mbegu za Uwatu, Jira, Oregano, Mint, Ginseng, Gymmena, Mlonge, Manjano na viungo vinginevyo vingi kwa ajili ya kusafisha mwili mzima kupunguza mafuta, kuratibu mzunguko wa damu, kupunguza kisukari nakadhalika hivyo inapunguza mwili kwa muda mfupi sana. Viungo vyote ni asili. Bei ni Tshs 15,000/= kwa pakti.

Hii ni bidhaa yetu mpya Super Detox Tea powder inaviungo vyote vya Detox tea na Detox Tea Extra yaani pamoja na Uwatu, O...
22/05/2021

Hii ni bidhaa yetu mpya Super Detox Tea powder inaviungo vyote vya Detox tea na Detox Tea Extra yaani pamoja na Uwatu, Oregano, Shamari, Mlonge, Jira, Chia Seeds, Mint nakadhalika ila hii imeongezewa unga wa Alkasus maalumu kwa ajili ya kuwapa nguvu wababa. Pakti moja ya gram 100 ni Tshs 20,000/= tu.

5). UPELE SEHEMU ZA SIRI – FANGASI Tafuna mbegu tatu kutwa mara tatu na pia chukua mizizi, magome na majani mabichi ya m...
24/03/2020

5). UPELE SEHEMU ZA SIRI – FANGASI Tafuna mbegu tatu kutwa mara tatu na pia chukua mizizi, magome na majani mabichi ya mti wa Mlonge. Tumia kupaka au kuosha na maji hayo sehemu zinazowasha na zile zillizoathirika pakaa asubuhi na jioni kila baada ya kuoga.

JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA MLONGE NA MATUMIZI YAKE 1). KWA UGONJWA WA KISUKARI Menya tunda la mbegu na uchukue mbegu t...
24/03/2020

JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA MLONGE NA MATUMIZI YAKE 1). KWA UGONJWA WA KISUKARI Menya tunda la mbegu na uchukue mbegu tatu za Mlonge kisha zitafune mbegu hizo tatu kutwa mara tatu 1 x 3, pia hakikisha unakula mbegu hizo baada ya kula na kushiba. Halafu chukua mizizi na magome mabichi ya mlonge, chemsha kwa pamoja baada ya kuzitwanga dawa hizi na kuzisafisha kisha epua na kunywa glasi moja ikiwa bado dawa ina uvuguvugu, tumia kutwa mara tatu kwa siku saba. Nenda Kacheki Hospitali na upumzike kwa siku mbili. Baada ya hapo chukua miziz ya mlonge kausha na utwange, saga iwe k**a unga. Kila siku asubuhi jaza kijiko kidogo cha chai na uweke kwenye maji moto na kunywa k**a chai kikombe kimoja asubuhi kabla ya (kuswaki) kupiga mswaki. Tumia dawa hii kwa muda wa siku kumi na nne yaani wiki mbili. 2).UGUMBA NA UZAZI Chukua mbegu za mlonge kisha zitafune tatu, pia kiasi fulani zina ukakasi – ugwadu, kwa hiyo inatakiwa usijali ukakasi wake, wewe tumia tu. K**a kawaida tumia tatu kutwa mara tatu na bila kusahau uzitumie baada ya kula chakula na kushiba. Chemsha mizizi pamoja na magome baada ya kutwanga na kulainika, ikichemka tumia glasi moja kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja. Chukua maua ya Mlonge yaliyokauka kisha yaweke kwenye chujio la chai, unaweka maji ya moto juu ya chujio hiyo na unajaza kikombe cha chai unakunywa k**a chai. Hii husaidia kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba. Tumia dawa hii hadi utakapopata mafanikio ya kuwa mjamzito. Hakikisha unapotumia dawa hii uwe unakutana na mumeo, usitumie k**a hauna hakika ya kukutana na mumeo kimwili. 3). MAUMIVU UNAPOKUTANA NA MUME Chemsha mizizi, magome na majani, maji yake safisha sehemu za siri kwa muda wa siku saba. 4). HARUFU MBAYA MDOMONI, KWAPANI NA MWILI MZIMA Tafuna mbegu tatu kutwa mara tatu, sukutua mdomo kwa kutumia mti wa mlonge, pia oga maji yaliyochemshwa kwa magome na mizizi ya mti wa Mlonge. Chukua mizizi na magome safisha kisha chemsha tumia kwa kunywa kikombe kutwa mara tatu 1 x 3 Saga mbegu za Mlonge tia ndani ya uji, maji vuguvugu au maziwa 1 x 1 tumia dawa hizi kwa pamoja.

NGUVU, UMAKINI, NGOZI YENYE KUPENDEZA, KUTOZEEKA MAPEMA NA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE:Mlonge una viinilishe muhimu vinavyo...
24/03/2020

NGUVU, UMAKINI, NGOZI YENYE KUPENDEZA, KUTOZEEKA MAPEMA NA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE:
Mlonge una viinilishe muhimu vinavyosaidia kuuongezea uwezo mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Vitamini, madini na homoni muhimu zilizomo kwenye mti huu huufanya mwili wako kuwa na usawa unaohitajika kiafya na hivyo kukupa kinga dhidi ya magonjwa mengi bila idadi.
Mlonge una kiinilishe muhimu sana kwa wingi kuliko mmea au mti mwingine wowote duniani mara maelfu kadhaa kiitwacho kwa kitaalamu k**a ‘Zeatin’. Zeatin ndiyo hutengeneza seli mpya za ngozi pia huzifanya seli mpya kutengenezwa kwa haraka na kwa wingi zaidi ya zile seli zinazokufa. Hii huleta matokeo mazuri ikiwemo kuondoa mikunjo ya ngozi au ngozi kuzeeka sehemu za uso na sehemu nyingine za mwili na kukupa afya nzuri ya ngozi.
Kwenye mlonge kuna ‘Salfa’, hii salfa ni muhimu katika kuunda vitu muhimu kwenye ngozi k**a collagen na keratin huku viuaji au viondoaji sumu zaidi ya 30 vinavyopatikana kwenye mlonge ni muhimu kwa ajili ya afya ya ngozi yako.
Mlonge ambao umekuwa ukitumika kwenye vituo vingi vinavyojihusisha na kupunguza uzito huwa una nguvu ya asili ya kupunguza njaa, huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

MLONGE NDICHO CHAKULA CHENYE AFYA ZAIDI KULIKO CHAKULA KINGINE CHOCHOTE JUU YA ARDHI;Mlonge una jumla ya virutubishi 92,...
24/03/2020

MLONGE NDICHO CHAKULA CHENYE AFYA ZAIDI KULIKO CHAKULA KINGINE CHOCHOTE JUU YA ARDHI;
Mlonge una jumla ya virutubishi 92, mmea au mti mwingine wenye virutubishi vingi baada ya mlonge una virutubishi 28. Mlonge una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.
Unga wa majani ya mlonge unao uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;
1. Kisukari
2. Shinikizo la juu la damu
3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke),
5. Hutibu Kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweka sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea),
14. Inasafisha ini(hepatic detoxification)
15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio (aleji)
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoadoa meusi kwenye ngozi (blackheads),
26. Husafisha damu
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindupindu
31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuaji
38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Unatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
43. Unatibu gauti (dropsy),
44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,
47. Unatibu homa ya manjano (jaundice),
48. Unatibu malaria
49. Unatibu U.T.I na matatizo mengine kwenye mfumo wa mkojo
50. Unasaidia pia kujenga na kuimarisha misuli
51. Unatibu magonjwa ya mifupa
Mlonge unasafisha

(Source: Mtandao)MLONGE NA MAAJABU YAKE KATIKA KUTIBU MAGONJWAMlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulik...
24/03/2020

(Source: Mtandao)
MLONGE NA MAAJABU YAKE KATIKA KUTIBU MAGONJWA
Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana k**a mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu.
Karibu kila sehemu ya mti huu hutumika k**a dawa. Majani ya mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa k**a mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga.
Unga wa mlonge unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya.
MLONGE UNA:
●Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe.
●Potasiamu mara 15 zaidi ya ile ya kwenye ndizi
●Una vitamini A mara 10 zaidi ya ile ya kwenye karoti
●Una protini nyingi mara 9 zaidi ya ile ya kwenye mtindi (Yogurt)
●Una Klorofili (kemikali ya rangi ya kijani ipatikanayo katika mimea) mara 4 zaidi ya ile ya kwenye nyasi au majani ya ngano (wheatgrass)
●Una madini chuma (iron) mara 25 zaidi ya yale ya kwenye Spinach
●Una vitamini A mpaka Z,
●Una Omega 3, 6, na 9
●Una asidi amino zile muhimu zaidi zinazohitajika na mwili
●Una kiasi cha kutosha cha madini ya Zinc ambayo ni madini muhimu katika kuongeza homoni za kiume na nguvu za kiume kwa ujumla

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Win natural herbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram