Dolaxo Cado

Dolaxo Cado karibuni sana wote tunahisika na usambazaji wa virutubisho lishe kama product za kutibu matatizo mbalimbali katika mwili wa binadam

Hellow Karibuni Sana wote
15/07/2024

Hellow
Karibuni Sana wote

Habari za leo tunapenda kuwatangaazia  promosheni  yetu ya bidhaa za watoto, Kuanzia BM202406VIGEZO VYA PROMOSHENI:Mshin...
02/07/2024

Habari za leo tunapenda kuwatangaazia promosheni yetu ya bidhaa za watoto, Kuanzia BM202406
VIGEZO VYA PROMOSHENI:
Mshindi wa KOC: PPV TOP 3 wale watakaonunua bidhaa ya Calcium & Vitamin D3, pamoja na bidhaa ya Vitamin C wanaweza kupata cheti cha "Smart Kids Series KOC", banner ya KOC, Simu ndogo na T-shirt (PV ya VC & VD inapaswa kuwa zaidi ya 300PV).

Mtu yeyote atakeyerepost tangazo la "smart kids series promotion" kwenye ukurasa wake wa Instagram na kupata kuanzia likes 100, anaweza kupata T-shirt.
NOTE: Tafadhali, Ukirepost tangazo kwenye ukurasa wako wa Instagram tag kwenye page yetu "bfsumatanzania_official"

Karibuni sana

ZIJUE FAIDA ZA DR.COW SMART GUMMIES, NA VILIVYOMO NDANI YAKE-DR.COW ni kirutubisho lishe kwa ajili ya watoto ni ya asili...
20/04/2023

ZIJUE FAIDA ZA DR.COW SMART GUMMIES, NA VILIVYOMO NDANI YAKE
-DR.COW ni kirutubisho lishe kwa ajili ya watoto ni ya asili wala haina kiambata chochote cha kemikali, ni salama kabisa kwa ukuaji na afya ya watoto.
IMETENGENEZWA KWA:
1️⃣na Mafuta ya samaki ina
-protini na vitamins ikiwemo vitamin B-12.
-calcium na madini mengine.
2️⃣Calcium carbonate.
KAZI YA DR.COW...
1️⃣Inamlinda mtoto dhidi ya magonjwa ya moyo(cream milk).
2️⃣Huimarisha ukuaji wa afya bora kwa mtoto(cream milk-protein).
3️⃣Inaongeza hamu ya kula kwa wale watoto wasiopenda kula(cream milk-vitamin B-12).
4️⃣Huimarisha uundwaji wa meno na mifupa imara kwa watoto(calcium).
5️⃣Huongeza nguvu mwilini mwa mtoto(calcium)
6️⃣Huimarisha misuli ya mwili kwa mtoto(calcium).
7️⃣Huimarisha mishipa ya fahamu na usafirishwaji wa taarifa mbalimbali kutoka kwenye ubongo kwenda sehemu nyingine za mwili yani kiufupi huongeza ufahamu wa mtoto(calcium).
8️⃣Huimarisha mishipa ya damu kutanuka na kusinyaa wakati wa usafirishwaji wa damu

CALL 0627808798

*TEZI DUME NI NINI?.* Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo w...
12/10/2022

*TEZI DUME NI NINI?.*

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA🤝

UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.Bawasiri - Ni hali ya kupasuka kwa mishipa ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vi...
12/09/2022

UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.
Bawasiri - Ni hali ya kupasuka kwa mishipa ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama sehemu za haja kubwa.
AINA ZA BAWASIRI
-Bawasiri ya ndani
-Bawasiri ya nje.

BAWASIRI YA NJE- hutokea nje ya mfereji wa haja kubwa, mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda,ikiambatana na maumivu makali (Thrombosed hemorrhoids).

BAWASIRI YA NDANI- hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, hii haiambatani na maumivu', hapa wengi hawajijui.
Bawasiri ya ndani hupangwa kwa madaraja 4

DARAJA LA1
Uvimbe ni mdogo unaotanda a**l ca**l kwa ndani huweza kukua na kuingia kundi la pili.

DARAJA LA 2.
Bawasiri hizi ni kubwa zaidi na huweza kujitokeza nje ya tundu la haja kubwa wakati wa kujisaidia na kurudi mara moja baadae.
DARAJA LA 3.
Ni Bawasiri ambazo zinaning'inia nje ya tundu la haja kubwa wakati ukielekea msalani.unaweza kuisikia k**a kijinyama kimoja au zaidi vinavyoning'inia nje ya tundu. Ni vijinyama ambavyo unaweza kuvisukumiza kwa vidole.
DARAJA LA 4.
Ni vijinyama ambavyo huning'inia muda wote nje ya tundu la haja kubwa na huwezi kuvisukumiza kwa vidole. Mara nyingine vinaweza kuwa k**a vibonge vikubwa vya nyama.

DALILI ZA BAWASIRI.
-Kutoa vinyama sehemu za haja kubwa.
-Miwasho na maumivu sehemu za haja kubwa.
-Kinyesi kuvuja.
- Kinyesi kutoka kikichanganika na damu chenye harufu mbaya.

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI.
1.Kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu.🕴
2.Kula vyakula vilivyokobolewa.(sembe, ngano nk).🍞🥞
3.Kufanya mazoezi magumuyanayokaza misuli ya haja kubwa.
4.Uzito uliopitiliza.
5.Kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
6.Tatizo la kutopata choo kwa muda.

TIBA YAKE.
=Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi hurudi baada ya kufanyiwa upasuaji.
==SASA unaweza kutibu tatizo hili kwa virutubisho kutoka USA vilivyotengenezwa kwa technolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali kwa asilimia100% ambavyo ni CONSTI RELAX™ pamoja na NOVEL DEPILE ™CAPSULES kutoka BFsuma

KAZI YA CONSTI RELAX™ na NOVEL DEPILE™CAPSULES.
-Huondoa miwasho namaumivu.
-Huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomoni hadi sehemu za haja kubwa.
-Huondoa Bawasili bila upasuaji

Description● VIUNGO (Ingredients) ○ Epimedium: ni kirutubisho kinachoongeza hamu ya kufanya mapenzi, kinasaidia kuchelew...
23/07/2022

Description

● VIUNGO (Ingredients)
○ Epimedium: ni kirutubisho kinachoongeza hamu ya kufanya mapenzi, kinasaidia kuchelewa kufika kileleni na kuongeza uwezo wa s***m kurutubisha Yai.
○ Maca: inaongeza nguvu kwa mwanaume na kusimama kwa uume.
○ Una Mchanganyiko wa kipekee wa vyakula vya asili vinavyoongeza ufanisi katika tendo la ndoa
○ Inamuongezea Mwanaume uwezo wa kufanya mapenzi bila madhara
○ Inasaidia kumuongezea mwanaume hari ya kujiamini.
○ Kuongeza wingi na ubora wa manii (s***m)
○ Inaondoa Uchovu na msongo wa mawazo
○ Inaoboresha mzunguko wa damu kwenye uume hari inayosaidia uume kusimama vizuri.

Njoo upate tiba sahihi mapema 06278087980782720269
24/06/2022

Njoo upate tiba sahihi mapema
0627808798
0782720269

P.I.D AND FIBROID YANATIBIKA VIZURI PIGA 0627808798May 17/22Piga 0627808798MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMB...
18/05/2022

P.I.D AND FIBROID YANATIBIKA VIZURI
PIGA 0627808798

May 17/22

Piga 0627808798

MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI??

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk  . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ????

DALILI ZA P.I.D
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

FIBROIDS NI NINI??
FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje k**a una fibroids?? Hebu angalia dalili zake

DALILI ZA FIBROIDS
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizikua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpk kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendi la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation)
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara




Kuna dada amekuja a**lia inbox et kashang'oa meno 4Kila jino ameng'oa kwa elfu 10Jumla elfu 40Jamanii😭😭😭😭HUDUMA ZETU UNA...
29/03/2022

Kuna dada amekuja a**lia inbox et kashang'oa meno 4

Kila jino ameng'oa kwa elfu 10

Jumla elfu 40

Jamanii😭😭😭😭

HUDUMA ZETU UNAZIPATA KWA BEI NAFUU KWELI UKILINGANISHA MATOKEO MAKUBWA UTAKAYOYAPATA

IKO HIVI, HUDUMA HII YA MENO INASAIDIA CHANGAMOTO ZIFUATAZO

1.KUTOKA HARUFU MDOMONI
2.MENO YALIYOOZA HAPA NDIO MWISHO YANAPONA
3.MENO YALIYOTOBOKA HAPA NDO BASI, KOMESHA YA KUDUMU
4.K**A UKIPIGA MSWAKI BADALA YA KUTEMA MATE INATOKA DAMU, HAPA UNAKUWA UMEJIPATIA SULUHISHO
5.HUKUWEKA KWENYE HALI NZURI
6.HUKUWEKA KATIKA HALI YA USAFI, FURAHA NA KUTUNZA KINYWA KATIKA UBORA WA HALI YA JUU.
7.HUIMARISHA FIZI, NA MISHIPA INAYOSHIKILIA MENO
8.HUKUWEKA SHWARIIII MPAKA UNAJIFURAHIA.

POLE KWA WALIONG'OA MENO, NA KWA WALE WALIOKUWA WANAWAZA KUNG'OA MENO HII NDIYO SULUHISHO LA KUDUMU

karibu sana tukuhudumie *0627808798

Address

Mwanza
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dolaxo Cado posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dolaxo Cado:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram