30/11/2022
*UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)*
Dr Onesmo.piga 0785759296
✍🏼Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu mbaya, maumivu, majimaji, homa nk kiasi cha kuingilia ratiba na ufanyaji kazi wa kila siku wa mtu. Huweza kuwakumba wanawake wa aina zote, ila wanawake wenye ujauzito huwa kwenye hatari zaidi. Ukikosa matibabu mazuri unawezaukahangaika nao kwa muda mrefu sana, lakini ukipata matibabu mazuri basi ndani ya muda mfupi tu unapona kabisa na kuweza kuwa vizuri.
*Maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni;*
⏩MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
Katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa
mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa
na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
▶️MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya mara nne kwa mwaka.
*VISABABISHIVYA FANGASI UKENI*
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na-
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
▶️MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS k**a AMPICILLINE, CIPROFLAXINE,
AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK
▶️Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika
sehemu za siri pia kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni.
▶️upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari,ugonjwa wa mononucleosis nk
▶️matumizi ya vidonge vya majira
▶️kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa
(a**l s*x)
▶️ matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi
▶️ kuvaa nguo za ndani zisizo kauka vzur na kuvaa mavazi yanayoleta sana joto
sehem za siri n.k
👇👇👇👇
*DALILI ZA FANGASI UKENI*
Dalili zake huwa ni za kuogopesha k**a maambukizi yatakua yametokea kipindi cha
ujauzito, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk
⏩kuwashwa sehem za siri
⏩kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
⏩kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa
au kutoka kukojoa (burning sensation)
⏩kupata vidonda ukeni (soreness)
⏩kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (l***a minora)
⏩kupata maumivu wakati wa kukojoa
⏩kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au
MZITO, uchafu huu unakua k**a maziwa yaliyoganda na hauna harufu kali
⏩Kutokwa na harufu kali baada ya kushiriki tendo la ndoa
⏩Kuchafua chupi mara kwa mara n.k
👇👇👇👇👇👇👇
*MADHARA*
Tatizo la fangasi lisipotibiwa mapema huleta madhara makubwa sana k**a ifuatavyo
⏩Husababisha maambukizi katika viungo vya uzazi(pid)
⏩Huweza kusababisha kansa ya viungo vya uzazi
⏩Huweza kusababisha ugumba
⏩Husababisha maumivu kipindi cha kujamiana
⏩Kusababisha msongo wa mawazo
⏩Kupekea kuvunjika kwa mahusiano.
*MATIBABU SAHIHI NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI*
✍️✍️✍️
Mara nyingi wanawake wengi wamekuwa wakipata matibabu ya ugonjwa huu hosptital baada ya kufanyiwa vipimo vya uchunguzi.tiba za hospitali siyo za uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana baada ya mda mfupi tatizo linarudi hivyo unashauriwa kutumia virutubisho vya asilia ambavyo vitaenda kutibu chanzo cha ugonjwa wako na kutokujirudia tena.
Wasiliana nasi kupitia whatsapp 0785759296