31/03/2026
USHAURI WA CHAKULA AMBAO AKIUTUMIA MWENYE KISUKARI, PRESHA NA UZITO MKUBWA BASI ATAKUWA NA AFYA NZURI MNO... na Dr. Ebby ☎️ 0757991560
Mwongozo rahisi, wa vitendo kwa mgonjwa wa Kisukari, Presha na uzito mkubwa ili kudhibiti hatari kila siku.
Kumbuka makala hii imeandaliwa nasi MASHA HERBAL STORE tunaopatikana Mwanza - Mkolani
LENGO KUU
Kuepuka kupanda kwa sukari ghafla, presha na uzito kupitiliza.
➖ Kula kwa ratiba nzuri
➖Kuchagua vyakula sahihi
ASUBUHI
✅ Vyakula vinavyofaa:
➖Mayai ya kuchemsha au kukaanga kwa mafuta mazuri ya Mzeituni au ya n**i asili(usitumie mafuta mengine)
➖Parachichi
➖Karanga, almond au korosho kidogo
❌ Epuka:
Chai yenye sukari,
Maandazi, chapati, juice za viwandani
➖Unaweza kunywa:
Chai bila sukari
MCHANA
✅ Vyakula vinavyofaa:
➖Samaki
➖Kuku au nyama
➖Maharage
➖Dengu au Kunde
➖Mchicha
➖Spinach
➖Sukuma wiki
➖Broccoli
USIKU
➖Supu ya mboga
➖Supu ya kuku
➖ Supu ya samaki
➖Maharage
➖Mboga za majani
✅ Kula mapema (saa 1–2 usiku ikiwezekana)
VITAFUNWA NA MATUNDA
➖Tufaha(Apple)
➖Karanga
➖Mtindi usio na sukari
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
➖Kula mara 3 – 5 kwa siku ila tumia vyakula vilivyoelekezwa tu
➖Usiruke mlo
➖Kunywa maji mengi
➖Fanya mazoezi kidogo (kutembea dakika 30)
NB: STAILI HIYO YA VYAKULA INAWAFAA HAWA
1. Mgonjwa wa Kisukari
2. Mgonjwa wa Presha
3. Mgonjwa wa kupooza/ganzi
4. Mtu anayehitaji kupunguza uzito
5. Mtu anayehitaji kuwa na ngozi nzuri
6. Mtu anayehitaji kujilinda asiwe na mwili wa kuzeeka
Makala hii inamhitaji mtu aliye serious tu kwa hayo mambo, pia ni vizuri kufuata kilichoandikwa bila kutafuta washauri wengine wanaoweza kukupoteza
Kutoka Mwanza eneo la Mkolani Jirani na Ghorofa la Family corner
Tunaandaa virutubisho tiba vya Kisukari, Presha, uzazi kwa jinsia zote pamoja na tiba zingine mbalimbali ikiwemo maswala ya uzazi kwa jinsia zote
Tupigie simu: 0757991560 Dr. Ebby