10/05/2024
Mdau wa JamiiForums.com anasema kwenye kuna Ushindani wa 'kuchinjana makoromeo' ambapo unaweza kujikuta unapata Mshindani kwenye eneo karibu na ulipo na anauza bidhaa k**a zako kwa bei ndogo kiasi kwamba anaweza kutawala Soko na kukupora Wateja wote
Anauliza kwa ambao wamewahi kukutana na Changamoto hii walitumia mbinu gani kutoboa?
Mjadala Jukwaani https://jamii.app/UshindaniBiashara