Dr Geofrey L Mdede

Dr Geofrey L Mdede we provide health education and consultation here for free tunatoa ushauri wa kiafya bure. uliza chochote usaidiwe kuhusu afya yako

25/11/2025
Makamu wa Rais Dr  Nchimbi akiteta jambo Na Mheshimiwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramphosa nchini Angola, anamwakilisha...
25/11/2025

Makamu wa Rais Dr Nchimbi akiteta jambo Na Mheshimiwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramphosa nchini Angola, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 7 wa Kilele wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), utakaofanyika tarehe 24 na 25 Novemba 2025 Jijini Luanda.

Twende na msoga Half marathon. Twendeni tukakimbie. Mhe Ridhiwani Kikwete Waziri wa Ajira, Vijana na wenye ulemavu na mb...
01/01/2025

Twende na msoga Half marathon. Twendeni tukakimbie. Mhe Ridhiwani Kikwete Waziri wa Ajira, Vijana na wenye ulemavu na mbunge wa Chalinze ndo anavyo anza mwaka hivi.

Mwaka 2025 ni Mwaka wa MamaMwaka 2025 ni Mwaka wa Samia2025 Mpango ni SamiaKazi tulishaimaliza, 2025 ni kumalizana nao. ...
01/01/2025

Mwaka 2025 ni Mwaka wa Mama

Mwaka 2025 ni Mwaka wa Samia

2025 Mpango ni Samia

Kazi tulishaimaliza, 2025 ni kumalizana nao.


Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Pauline Geofrey Mdede na Gracelyne Geofrey Mdede wakimpokea na kumvisha taj...
01/01/2025

Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Pauline Geofrey Mdede na Gracelyne Geofrey Mdede wakimpokea na kumvisha taji Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu Jokate Mwegelo alipotembelea mkoa wa Ruvuma hivi karibuni.

01/01/2025
Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Pauline Geofrey Mdede na Gracelyne Geofrey Mdede walivyompokea Katibu tawal...
01/01/2025

Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Pauline Geofrey Mdede na Gracelyne Geofrey Mdede walivyompokea Katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma wakati wa kukabidhi vifaa tiba Hospitali ya Mkoa Songea vyenye thamani ya shilingi milioni 13 kwaajil ya kusadia kuboresha huduma za watoto njiti.

22/08/2024

*Mheshimiwa Profesa Kabudi Waziri wa Katiba na Sheria alitoa kanuni 8 kuhusu cheo na mahusiano yako na Kiongozi wako zinazofaa kuandikwa kwa wino wa dhahabu na kuwa dira ya viongozi, wanaowania uongozi na mahusiano yako na kiongozi wako.*

*KANUNI YA 1*

*Usiwaruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote na hasa k**a hawana mamlaka ya uteuzi wala hawaamui kwa kura zao kwani utafadhaika na kuishi maisha ya shida.*

*KANUNI YA 2*

*Usijiandae kwa cheo chochote maana ukipata utakuwa na kiburi na fahari na ukikosa utamchukia yule aliyepewa wakati vyeo ni kudra ya Mungu.*

*KANUNI 3*

*Ukiwa msaidizi wa mtu usijione uko sawa au juu yake. Hii ni kwa sababu atakuwa anakupa mambo magumu na mazito uyatatue. K**a huna hekima na busara utaona k**a mko sawa au uko juu yake.*

*KANUNI YA 4*

*Ukiwa msaidizi wa mtu jua kimo chako na ujue mipaka yako na hivyo muda wote heshimu mipaka yako.*

*KANUNI YA 5*

*Fanya kazi kwa bidii lakini mazuri yote ni ya bosi wako na mabaya yote yabebe wewe.*

*KANUNI YA 6*

*Kila mara tilia maanani kwamba kiongozi mkuu hazoeleki na 'make sure' humzoei.*

*KANUNI YA 7*

*Mshauri bosi wako kwa kiasi. Akiamua tofauti na ushauri wako msikilize na usinune. Badala yake tekeleza uamuzi k**a vile hukuwahi kumshauri chochochote.*

*KANUNI YA 8*

*Ushauri wako ukitekelezwa na bosi wako usitoke ukaenda kutamba kwa mkeo au mumeo*✍️✍️

Address

Songea
Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Geofrey L Mdede posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Geofrey L Mdede:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category