30/05/2025
VIGEZO VYA KUJIUNGA KATIKA CHUO CHETU NI K**A IFUATAVYO
1. DIPLOMA YA UDAKTARI
UWE NA UFAULU KUANZIA ALAMA D NNE KWENYE MASOMO MANNE YASIYO YA DINI KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE ILA KATIKA HAYO MASOMO ,SOMO LA BIOLOGIA,CHEMIA NA FIZIKIA NI LAZIMA.
2. DIPLOMA YA UFAMASIA
UWE NA UFAULU KUANZIA ALAMA D NNE KWENYE MASOMO MANNE YASIYO YA DINI KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE ILA KATIKA HAYO MASOMO ,SOMO LA BIOLOGIA NA CHEMIA NI LAZIMA
3. DIPLOMA YA USTAWI WA JAMII ( SOCIAL WORKS)
UWE NA UFAULU KUANZIA ALAMA D NNE KWENYE MASOMO YOYOTE ISIPOKUWA MASOMO YA DINI KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.
KWA MHITIMU WA CHETI CHA USTAWI WA JAMII ATAANZIA NTA LEVEL 5
NB: PIA KWA DIPLOMA YA USTAWI WA JAMII WAHITIMU WA KADA ZIFUATAZO WANAWEZA KUJIENDELEZA KWA DIPLOMA YA USTAWI WA JAMII.
1. MAENDELEO YA JAMII -COMMUNITY WORK
2. COUNSELLING-USHAURI
3. YOUTH WORK
4. COMMUNITY HEALTH
5. LAW-SHERIA
6. PSYCHOLOGY
7. SOCIAL WORK CERTIFICATE
8. FORM SIX-KIDATO CHA SITA
WAHITIMU WOTE TAJWA HAPO JUU WATAJIUNGA KUANZIA MWAKA WA PILI-NTA LEVEL 5
KWA MAWASILIANO ,PIGA NAMBA ZIFUATAZO
1. 0787-343-613-MKUU WA CHUO
2. 0719-639-588-OFISI YA USAJILI/UDAHILI.
DIRISHA LIKO WAZI UNAKARIBISHWA KUJIUNGA KATIKA CHUO CHETU
TUNAWAKARIBISHA SANA KATIKA CHUO CHETU AMBACHO KIPO KATA YA LITISHA KIJIJI CHA ,OROGORO KILIPOKUWA CHUO CHA ZAMANI AJUCO.