29/04/2026
๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Karibuu chuo bora nchini na kina mazingira safi na rafiki kwa kila mtanzania mlete mwanao .
for LIFE
SUNRISE ni full package imekamilika na ina kila kitu,
Ewe mzazi mlete mwanao ajiunge na SUNRISE EDUCATION CENTRE, hapa atajiunga na chuo, atajiunga na secondary school kwa ngazi na O- LEVEL na ADVANCE na Pri and Primary school
Sambamba na hivyo pia tuna SPORTS ACADEMY โฝ๏ธโฝ๏ธ k**a una kipaji cha mpira basi chagua SUNRISE SPORTS ACADEMY.
SUNRISE EDUCATION CENTRE ni mlango wa mafanikio.
1๏ธโฃMBALIZI INSTITUTE OF HEALTH SCIENCES SUNRISE CAMPUS
2๏ธโฃSONGWE SUNRISE SECONDARY SCHOOL
3๏ธโฃSONGWE SUNRISE PRI AND PRIMARY SCHOOL
4๏ธโฃSONGWE SUNRISE SPORTS ACADEMYโฝ๏ธโฝ๏ธ
KWA UPANDE WA CHUO
Njoo utimize ndoto zako kwenye chuo bora nchini.
Tuma maombi sasa ujihakikishie nafasi yako ndani ya chuo bora kabisa nchini
ipo kwa ajili yako, njoo upate mafunzo bora na utakutana na walimu walio bora.
Kozi zitolewazo ni k**a zifuatazo
โก๏ธFAMASI - SUNRISE CAMPUS
๐ฅ Uwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne yakiwemo masomo ya BIOLOGY na CHEMISTRY tu unaweza kujiunga.
โก๏ธDAKTARI WA MENO (CLINICAL DENTIST)- SUNRISE CAMPUS
๐ฅUwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne yakiwemo masomo ya BIOLOG
โก๏ธAFISA TABIBU (CLINICAL MEDICINE) - MAIN CAMPUS
๐ฅUwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne yakiwemo masomo ya BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS pamoja na MATHEMATICS au ENGLISH.
โก๏ธUUGUZI NA UKUNGA (NURSING AND MIDWIFERY) - MAIN CAMPUS
๐ฅUwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne yakiwemo masomo ya BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS pamoja na MATHEMATICS au ENGLISH.
โก๏ธMAABALAA YA TIBA (MEDICAL LABORATORY) - MAIN CAMPUS
๐ฅUwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne yakiwemo masomo ya BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS pamoja na MATHEMATICS au ENGLISH
โก๏ธUSTAWI WA JAMII (SOCIAL WORK) - MAIN CAMPUS
๐ฅUwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne isipokuwa ya dini.
โก๏ธRADIOLOGY (MIONZI)
๐ฅUwe na ufaulu wa alama D kwenye masomo manne yakiwemo masomo ya BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS pamoja na MATHEMATICS au ENGLISH
Wasiliana nasi kupitia namba
0746262371,