Cell Based Rx

Cell Based Rx Katika peji hii utajifunza na kuona jinsi ambavyo tibishe zetu zinavyosaidia watu katikaa matatizo s

STORI YA MGONJWA HUYU ITAKUSHANGAZA.Nitakupa stori kuhusu dada mmoja aliyeitwa Nasra, aliyekuwa akisumbuliwa sana na tat...
04/05/2022

STORI YA MGONJWA HUYU ITAKUSHANGAZA.

Nitakupa stori kuhusu dada mmoja aliyeitwa Nasra, aliyekuwa akisumbuliwa sana na tatizo la uzazi kwa miaka mingi.

Alikuwa akijikuta mnyonge sana hasa alipokuwa akitafakari juu ya ugonjwa wa presha ya juu uliyokuwa ukimsumbua mama yake kwa muda mrefu na kumpelekea kupooza upande wa kulia, mbaya zaidi mama yake alikuwa na kisukari.

Kwasababu nilisoma nae na akijua kuwa mimi ni daktari, alinishirikisha matatizo haya ili nimpe hata mawazo.

Ni bahati iliyoje, leo amenishuhudia jinsi alivyopata mtoto wa kwanza na jinsi mama yake alivyoinuka kitandani kwa dawa za virutubisho nilizomshirikisha kuzitafuta.

Virutubisho vile vilirudisha matumaini ya kuishi ya mama yake na kuinusuru ndoa yake.

Nimevutwa sana kukushirikisha ushuhuda huu maana inawezekana wewe ni moja kati ya watu wengi waliokosa matumaini ya kuwa na afya njema k**a walivyokuwa mwanzo, wasiliana nami utarejesha matumaini yako.

Whatsapp +255621639659
Piga +255753421480

Unaweza kujiunga katika group ili kujifunza zaidi juu ya afya.
Bofya link hii๐Ÿ‘‡ ili kujiunga na group.

https://chat.whatsapp.com/Hd53wS2axhNKFU2vdejg8T

20/04/2022

K**a unapenda kuishi miaka mingi na kubaki na afya tele, story hii ni ya muhimu sana kwamo.
Wasiliana nasi.
+255621639649

04/04/2022

Achauzembe Okoa Maisha Yako...

TAARIFA hii itakushangaza, ni taarifa muhimu sana kwako.

Hivi unajua chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza ni mtindo wa maisha tulionao, na kwamba kwa mtindo pia tunaweza kujikinga na kujiponya?

Pia dunia imefika mbali sana kwenye teknolojia ya matibabu, hakuna kinachoshindikana. Sasa watu wanaweza kupata matibabu ya kila ugonjwa.

Video hii, itakupa picha japo kidogo juu ya hili.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp +255621639659
Au piga moja kwa moja +255753421480

21/01/2022

UNASUMBULIWA NA MENO?
K**a jibu ni ndio, basi suruhisho liko karibu yako.
Tunatoa huduma mbalimbali za afya ya kinywa na meno katika Unique dispensary iliyo karibu na standi kuu ya zamani mjini Sumbawanga.
Wasiliana nasi kwa 0753421480 au ingia whatsapp kwa kubofya link chini ya video.
Ahsante

04/01/2022

Unapata Maumivu Makali Ya Viungo?
Unaweza kuiangali video hii kwa umakini pengine ni chanzo cha maumivu ya viungo vya mwili wako.
Video inakuonesha madhara ya uric acid kwa wingi katika mwili na kusababisha tatizo lenye maumivu makali liitwalo Gout. Vipo vitu unavyotakiwa usile kwa wingi ili kuepukana na tatizo. Lakini pia vipo vyakula ambavyo unatakiwa kutumia kujilinda na pia kuondoa tatizo japo kwa taratibu. Ipo dawa inaitwa miira cell ya virutubisho kwa sio wenza kutumia vyakula hivyo kijitibu. Lakini pia dawa inafanya kari kwa haraka kuliko ukila vyakula mwenyewe.
Kwa uelewa zaidi tutafute whatsapp 0621639659

31/12/2021

Blue Zones, Maeneo MatanoYenye Hadithi Za Kusisimua....

Watu wa Okinana Japani na baadhi ya maeneo machache duniani husifika kwa watu wake kuishi miaka mingi.

Jifunze ujue kwanini watu wa jamii hii huishi miaka mingi huku afya zao zikiendelea kuwa imara.

Hapo utaweza kujua namna ya kufanya ili uweze kujifunza namna ya kuboresha afya yako.

Nimekuandalia video nyingine whatsapp ili kujifunza siri hizi.
Whatsapp 0621639659

Tafadhari, k**a wewe huijali afya yako usibofye link ya whatsapp.

Leo nitakupa stori kuhusu binti mmoja  aliyeitwa Shida ambaye alitimiza miaka 39 bila kufanikiwa kupata mtoto.Zaidi ya h...
20/12/2021

Leo nitakupa stori kuhusu binti mmoja aliyeitwa Shida ambaye alitimiza miaka 39 bila kufanikiwa kupata mtoto.

Zaidi ya hilo alikuwa amekata tamaa kutokana na kuugua kwa muda mrefu na kuwa dhaifu sana.

Aliwahi kunihadithia kuwa, amezunguka sana bila mafanikio.

Kwakuwa alikuwa jirani yangu na mtu ambaye nilizowea kutaniana nae, nilimwambia kuwa tatizo ni jina lake. "Badilisha jina lako bhana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚" nilimwambia huku nikicheka nae.

Mwaka juzi nilibahatika kukutana na mzanziberi mmoja ambaye alinipa ushauri na maelekezo juu ya virutubisho.

Kumbe mzanzibari huyu alikuwa mtaalamu wa tibalishe.
Alikuwa ameweza kuwasaidia watu wengi sana.

Niliamua kumshaidia Shida kwa elimu niliyoipata kwa mzanziberi huyu.

Iligundulika kuwa Shida alikuwa na tatizo la mpangikio wa homoni katika mwili wake.

Pia alikuwa na udhaifu kiafya katika nyanja nyingi sana.

Bahati iliyoje, Shida alinyonyesha mtoto wake wa kwanza mwaka mmoja baadae, yaani mwaka jana tu.
Na afya yake ilimarika sana.

Naamini watu wengi wanamatatizo k**a ya Shida na wangependa kujifunza namna shida alivyosaidiwa.

Nimeandaa video fupi kutoa elimu zadi na jinsi binti huyu alivyosaidika.

Ikiwa utahitaji elimu hii, tunaweza kuwasiliana kwa whatsapp +255621639659
Au piga simu +255753421480

Address

Majengo
Sumbawanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cell Based Rx posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Cell Based Rx:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram