JALI AFYA YAKO

  • Home
  • JALI AFYA YAKO

JALI AFYA YAKO 💊Fertility doctor.

(Mtabibu wa Changamoto za Uzazi).

🩺" Nasaidia wanaume na wanawake kutatua changamoto zao za uzazi kwa kutumia Tibalishe zilizothibitishwa".

💡"Kila mtu ana nafasi ya kuitwa Mama au Baba,usikate tamaa tupo kwa ajili yako".

Baadhi ya Magonjwa/Matatizo Yanayo wanyima Raha Na Kujiamini Akina dada.💉UTI,💉PID,💉Fungus, 💉Uvimbe kwenye Kizazi,💉Infect...
13/12/2025

Baadhi ya Magonjwa/Matatizo Yanayo wanyima Raha Na Kujiamini Akina dada.

💉UTI,
💉PID,
💉Fungus,
💉Uvimbe kwenye Kizazi,
💉Infections,
💉Ukavu ukeni,
💉Hamu ya tendo,
💉Mimba kuharibika,
💉Kutoshika mimba kabisa,

NB: JE...!!? Umesha waikujiuliza kwanini katika yote 9 hakuna mdada anaye ruka hata moja wapo....??

Mwanaume mwenye kujali Afya yake ya Uzazi Lazima Asome Ujumbe huu!!!✍️ Mambo haya ndio yanaiba Nguvu za kiume Kwa wanaum...
12/12/2025

Mwanaume mwenye kujali Afya yake ya Uzazi Lazima Asome Ujumbe huu!!!

✍️ Mambo haya ndio yanaiba Nguvu za kiume Kwa wanaume wengi bila wao kujua, je ni Yepi? twende pamoja mwanzo Hadi mwisho.

🛌 Hamu ya tendo la ndoa (Libido) Ni matokeo ya mawasiliano sahihi kati ya ubongo, tezi za homoni, na mfumo wa damu...

🛌Hamu ya tendo (Libido) Haizaliwi Chumbani, Inajengwa Kila Siku Kwenye Mfumo wa Homoni.

👉Homoni ya Kiume (Testosterone Hormone) ndio Injini Ya Kila Mwanaume, Lakini Wengi wanaiua Bila Kujua. Testosterone homone Ndiyo homoni ya pekee kwa mwanaume inayojenga...

🛌 Hamu ya tendo (Libido),

🏋️ Stamina,

🍆 Nguvu ya mdindo madhubuti (er****on), Na

🛀 Kujiamini (Confidence) ya kitandani.

🙇 Msongo wa mawazo, kukosa usingizi, pombe, punyeto na kula chakula kisicho na virutubisho, Vinakata testosterone polepole bila wewe kujua.

.....👉 MADHARA YAKE NI YAPI..?

🧍Mwanaume anaanza kuona hamu ya tendo inashuka siku hadi siku, Uume kusimama lege lege, na mwili kukosa nguvu— Bila ugonjwa wowote.

🫵 Usikariri, Sio kila tatizo ni homoni, Kuna vitu kitaalamu vinaitwa (Silent Blockages) yani Vikwazo vya kimya kimya ambavyo vinakutafuna bila wewe kujua.

Ni vikwazo vya ndani ya mwili, vinavyojengwa kimya kimya... K**a :-

✅Inflammation(kuvimba) kwa mishipa ya damu..

✅ Cholesterol inayoziba mtiririko wa damu..

✅ Msongo wa mawazo (Stress) inayoshusha nitric oxide.

✅Kuchoka Kwa ubongo na akili Kwa ujumla. (mental burnout)..

✅Mikazo (Tension )ya msuli wa pelvic floor muscles.. hii ni misuli iliyoko kwenye sakafu ya nyonga.

👉Ukiweza kufanikiwa kudhibiti misingi hii, mwili wako huanza kufanya kazi upya kwa njia ambayo busta haiwezi kuiga.

Busta inaweza kukuamsha leo tu au na kesho Kisha baada ya hapo Hali yako inarudi vilevile, Lakini mfumo wako wa ndani pekee unaweza kukudumisha maisha yote..

✍️Ndio maana katika program zetu Huwa tunahakikisha kwamba tunagusa Angle zote ili mwanaume Arudi kuwa Imara k**a zamani.

🫵 Ukitaka afya njema, nguvu za kiume imara, na mwili wenye kinga—formula ni Moja TU, Zingatia kwanza Sahani yako ya Chakula unachokula Kisha mengine yafuatie k**a mazoezo , dawa Tiba nk.

🫶 Karibu tukusaidie kuimarisha mfumo wako wa uzazi kupitia program zetu maalumu ili uwe na uwezo wa kulimudu tendo la ndoa.

☎️ Tupigie +255717920637/Whatsapp.

11/12/2025

Wanandoa Muwe na Uvumilivu katika Suala zima la Kutafuta Mtoto, Mtoto ni mpango wa Mungu na ni majaliwa yake. Usimnyanyase mkeo!

Hii ndio njia Rahisi zaidi ya kujua k**a Uzito wa mwanao unaendana na Umri wake...!✨Namna ya kufahamu k**a uzito wa mtot...
10/12/2025

Hii ndio njia Rahisi zaidi ya kujua k**a Uzito wa mwanao unaendana na Umri wake...!

✨Namna ya kufahamu k**a uzito wa mtoto unaendana sawa na umri wake kuna kanuni inayotumika:-

K**a mtoto yuko chini ya mwaka mmoja au miezi 12.

Chukua umri wake katika (miezi) jumlisha na 9 kisha gawanya kwa 2.

Kwa mfano k**a mtoto ana miezi 6
utachukua 6+9=15
15/2=7.5kg

👉Hivyo basi,Kwa mantiki hiyo ni sawa mtoto wa miezi 6 kua na kilo 7.

06/12/2025

Ukipewa nafasi ya kupimwa maradhi yako sasa hivi utakubali au utaogopa ?

Weka jibu lako kisha nitajibu!!
cc.Dukahuru

Afya ya uzazi siyo suala la wanawake pekee, bali ni msingi wa familia nzima yenye Afya na furaha. Kujua na kutunza Afya ...
05/12/2025

Afya ya uzazi siyo suala la wanawake pekee, bali ni msingi wa familia nzima yenye Afya na furaha. Kujua na kutunza Afya yetu ya uzazi ni wajibu wetu Sote.

K**a Nyinyi ni Wanandoa basi Msinyimane Tendo la Ndoa!!!!🪢Tendo la Ndoa Lina faida nyingi sana Kwa Wanandoa kupita maele...
03/12/2025

K**a Nyinyi ni Wanandoa basi Msinyimane Tendo la Ndoa!!!!

🪢Tendo la Ndoa Lina faida nyingi sana Kwa Wanandoa kupita maelezo.

💞Kufanya Tendo la Ndoa husababisha uzalishwaji wa kichocheo cha oxytocin, kichocheo hiki hukufanya uwe mwenye furaha na kukuondolea msongo wa mawazo, sonona na kukufanya upate usingizi mzuri.

👉 Yapo baadhi ya maradhi Tiba yake ni Mtu kuoa au kuolewa, na huko katika Ndoa ndipo mtu anapata Tendo la Ndoa Safi kabisa kutoka Kwa Mmewe /mkewe ambalo linakuwa ponyo la Matatizo mengi.

👉Raha ya tendo la Ndoa ulipate Kwa Mke wako au Mme wako na sio kwa michepuko au Madada poa.

✍️Mwisho kabisa, k**a wewe ni Mwanaume na unapitia changamoto Fulani za Kukosa hisia za Tendo la Ndoa au Upungufu wa Nguvu za kiume na haujui utapata wapi ufumbuzi wa Tatizo lako, basi usiwe shaka tupo Kwa ajili ya kutatua changamoto yako hiyo inayokusumbua, utakutana na Wataalamu waliobobea kutatua changamoto za Uzazi , utapata Ushauri wa kitaalamu na Tiba za kibingwa. Tumewasaidia Mamia ya wanaume wengi kuweza kutatua changamoto zao na Sasa Wanafurahia Mahusiano Yao.

👉Kwa msaada zaidi wa Tiba na Ushauri usisite kuwasaliana nasi ☎️ +255717920637/Whatspp.

02/12/2025

Dear ladies!!

Ushauri wa Bure Kwa Akina Dada wote, Usiharibu uke wako Kwa limao, Limao halikati hedhi.

01/12/2025

Mwanamke mwenye Heshima anatakiwa Aamke Kila baada ya Masaa Mawili Amgeuze Mme wake Asije Umia Shingo😂😂😄.

🥏Hata k**a mwaka umekuwa na changamoto nyingi kwako, December inakuletea nafasi ya kuona upya, kua mpya na kusahihisha p...
01/12/2025

🥏Hata k**a mwaka umekuwa na changamoto nyingi kwako, December inakuletea nafasi ya kuona upya, kua mpya na kusahihisha pale ulipoteleza.

Ni Mwezi wa kujipatia amani yako mwenyewe, kujifurahia na kukumbuka kuwa wewe ni muhimu sana.

😊 Tabasamu Murua La Mwanaume Na Afya yake ya Akili vinachangiwa Kwa kiasi kikubwa Hasa Hasa pale Anapopata Tendo la Ndoa...
28/11/2025

😊 Tabasamu Murua La Mwanaume Na Afya yake ya Akili vinachangiwa Kwa kiasi kikubwa Hasa Hasa pale Anapopata Tendo la Ndoa Safi kabisa kutoka Kwa Mke wake.

👉 Jambo Hili humuweka sawa Kiakili na kimwili pia katika kuweza kukabiliana na Mambo Mbalimbali.

🧍 Mwanaume anaenyimwa Tendo la Ndoa Mara nyingi hukosa Utulivu na Hata Akili yake Kuna muda inakua haipo sawa.

🧕 Wanawake Msiwanyime waume zenu Tendo la Ndoa, Tendo la Ndoa ni zaidi ya Tiba... Pia Vilevile Mkiguswa Nanyi Mgusike, Sio Mnakuwa Wakali K**a Mbogo.

Baadhi ya Visingizio vya Wazee wa kujichukulia Sheria Mkononi(punyeto )pale wanaposhindwaKuwaridhisha wenza wao kitandan...
26/11/2025

Baadhi ya Visingizio vya Wazee wa kujichukulia Sheria Mkononi(punyeto )pale wanaposhindwa
Kuwaridhisha wenza wao kitandani....!

✅. Baby unajuwa leo sijala toka mchana🥲

✅ Leo nipo mood off kabsa nimepokea taarifa mbaya nyumbani Hata sielewi🥺.

✅ kichwa kinaniuma sinilikuambia toka jana Baby 🥲.

✅. Hii style siipendi kila siku nakuambia🥺

✅Yako ya moto sana, yani Nashindwa kukaa muda Mrefu, ila kesho ntakuridhisha.

✅.Baby Kazini kule Boss Ananifuatilia sana, Ameniwekea wachunguzi wanichunguze.

✅. Baby Wewe usijali ntakuwa sawa, ni week hii tu mambo hayajawa mazuri...

✍️ Visingizio havisaidii kitu,,, Tafuta Suluhisho sahihi la Tatizo lako uache kujielezea sana.

Ongeza kisingizio kingine kwenye Comment Hapo Cha watu k**a Hao!!😀

Address

Ilala Boma

Telephone

+255717920637

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JALI AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to JALI AFYA YAKO:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram