19/11/2019
MORIZELLA JUICE*
πππππππ
Imetengenezwa na chuo kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS) na kuthibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa *(TFDA)* ,
Ni kirutubisho dawa kilichoandaliwa kitaalamu kwa kutumia mchanganyiko wa mimea asilia inayojulikana k**a *Moringa Oleifera* *leaves na Hibiscus sabararifa Calyces*.
*FAIDA ZAKE* :
*(1)* Huongeza Kinga za mwili
*(2)* Husaidia usagaji na ufyonzaji wa chakula na kuondoa gesi tumboni.
*(3)* Huboresha mfumo wa damu mwilini
*(4)* Hudhibiti kiwango cha sukari katika damu
*(5)* Huondoa mafuta na lehemu *(Cholesterol)* mbaya katika mwili
*(6)* Huongeza hamu ya tendo la ndoa na kuleta furaha
*(7)* Husaidia kushusha shinikizo la damu *(BP)* ,
*(8)* Husafisha figo na kuondoa sumu mwilini zitokanazo na matumizi ya Dawa,Pombe,Sigara kwa muda mrefu.
*(9)* Husaidia kuzibua mirija ya uzazi kwa wanawake na wanaume
*(10)* Huondoa ganzi mwilini
*(11)* Huleta hamu ya kula
*(12)* Hupunguza uzito uliokithiri .
*(13)* Kurekebisha mfumo wa hedhi
*(14)* Kuongeza damu kwa haraka sana kwa wajawazito na wenye upungufu wa damu mwilini.
*(15)* Huboresha lishe kwa watoto wenye utapia mlo
INAPATIKANA KWA *Tsh* *4,000*/KWA wateja Dar es salaam na Pwani tunafanya huduma ya derivery pia ofisi zetu zinapatikana Mbezi Luis( Mbezi Mwisho) stendi.
*ANGALIZO/TAHADHARI*
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
*HAIRUHUSIWI KUTUMIWA NA WATU WENYE PRESHA YA YA KUSHUKA NA WATOTO WACHANGA NA WATAMBAAO*
*IMESAJILIWA NA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA(TFDA). 0743061479
TUNATUMA POPOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI KWA UAMINIFU MKUBWA