Dicto Natural Therapy

Dicto Natural Therapy we provide education and treatmen of various chronic diseases

Not by chance, but by divine appointment. By God's grace, we found each other and become one💕Thank you dear Lord
11/11/2025

Not by chance, but by divine appointment. By God's grace, we found each other and become one💕
Thank you dear Lord

14/10/2025
Unateseka na Vidonda vya Tumbo kwa muda mrefu?Je, unapata maumivu ya tumbo ya mara kwa mara, kiungulia, kukosa hamu ya k...
13/10/2025

Unateseka na Vidonda vya Tumbo kwa muda mrefu?

Je, unapata maumivu ya tumbo ya mara kwa mara, kiungulia, kukosa hamu ya kula, choo kigumu, au kuchoka haraka bila sababu?
Usihangaike tena — suluhisho la asili na lenye matokeo ya kudumu lipo sasa!

Ni tiba ya mimea ya asili — inashughulika na chanzo cha tatizo, si dalili tu!

Faida zake:
✅ Huondoa kabisa maumivu na kiungulia
✅ Huponya na kulainisha kuta za tumbo
✅ Hurejesha uwiano sahihi wa asidi tumboni
✅ Hurekebisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
✅ Inafaa kwa vidonda vya muda mrefu au vya kurudia

Na zaidi ya hapo —
Inasaidia pia kuponya vidonda vya kisukari vinavyotoa damu kwa njia salama na isiyo na madhara.

Matokeo huonekana ndani ya siku chache tu!

Wasiliana nasi leo — kwa matibabu salama, ya asili, na yenye matokeo ya kweli.
Afya yako ni kipaumbele chako — usisubiri hali iwe mbaya!

Kwa wale wenye tatizo la  bawasiri (hemorrhoids), vidonda vya tumbo, gas na matatizo mengine ya uzazi kwa wanawake k**a ...
22/09/2025

Kwa wale wenye tatizo la bawasiri (hemorrhoids), vidonda vya tumbo, gas na matatizo mengine ya uzazi kwa wanawake k**a PID, OVARIAN CYST, UVIMBE, UTI nk. hii dawa imewasaidia wengi, tunaiweka na dawa zingine katika dose husika

Nitafute k**a una shida hizo upate dose yako Shughulikia afya yako kabla tatizo halijafika mbali

0756937636 Dr.E.Dicto

Utunze vizuri mwili wako kwa kuzingatia kanuni za Afya.. ni zawadi ya pekee uliyopewa na Mungu.Stay Healthy!
22/07/2025

Utunze vizuri mwili wako kwa kuzingatia kanuni za Afya.. ni zawadi ya pekee uliyopewa na Mungu.
Stay Healthy!

With friends Wonderful moment
07/07/2025

With friends
Wonderful moment

Afya inakuja pale tinapozingatia vitu vidogovidogo katika mtindo wetu wa maisha, yani jinsi tunavyokula, kunywa na kuite...
15/05/2025

Afya inakuja pale tinapozingatia vitu vidogovidogo katika mtindo wetu wa maisha, yani jinsi tunavyokula, kunywa na kuitendea miili yetu

Vivyo hivyo afya inavurugika tunapopuuzia vitu hivi katika maisha yetu ya kila siku, anza leo kufuatilia vizuri ulaji wako, unywaji wako na mwili wako kwa ujumla

Kwa ushauri zaidi
0756937636 Dr.E.Dicto

17/04/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

17/04/2025
Tunaelimisha na tunafanyamatibabu ya uhakikaNi Dicto Natural Therapy 0756937636
17/04/2025

Tunaelimisha na tunafanyamatibabu ya uhakika
Ni Dicto Natural Therapy
0756937636

Ukiamka asubuhi kabla ya kuweka chochote mdomoni kunywa maji vuguvugu lita 1 taratibu, ni vizuri ikawa saa 11 alfajiri
17/04/2025

Ukiamka asubuhi kabla ya kuweka chochote mdomoni kunywa maji vuguvugu lita 1 taratibu, ni vizuri ikawa saa 11 alfajiri

17/04/2025

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255676937636

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dicto Natural Therapy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram