Afya&ushauri

Afya&ushauri Lishe&virutubisho lishe na Tiba
●Elimu ya lishe na virutubisho lishe
●Elimu ya afya kwa ujumla
●Tiba

24/03/2023

Asante sana kwa mrejesho mzuri karibu tena
10/02/2023

Asante sana kwa mrejesho mzuri karibu tena

04/06/2022

Uzinduzi wa Kampeni ya kuongeza kasi ya utoaji chanjo ya UVIKO-19 Uwanja wa Mwembeyanga 2 Juni 2022

MLO,LISHE AMBAO UPENDEKEZWA KWASABABU ZA  KIMATIBABUWakati mwingine chaguo la mtu la chakula uathiriwa na aleji  ya aina...
02/06/2022

MLO,LISHE AMBAO UPENDEKEZWA KWASABABU ZA KIMATIBABU
Wakati mwingine chaguo la mtu la chakula uathiriwa na aleji ya aina fulani ya chakula, nakushindwa kuvumilia kula baadhi ya vyakula au vinywaji.
Mfumo ama muundo huu wa mlo/chakula unaweza kupendekezwa na wataalamu wa afya;kwa watu wenye mahitaji maalum ya kimatibabu ya afya ili kuboresha tiba,kuthibiti,kusahihisha na kurekebisha makosa ama tabia ambazo sio rafiki kiafya juu ya swala zima la ulaji wa chakula.

UHITAJI WA LISHE,CHAKULA
Uhitaji wa lishe au chakula utofautiana baina ya watu kutegemeana na sababu kama;umbo la mwili,jinsia,umri na hali ya kiafya nk.

14/05/2022

Kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano.


Address


Telephone

+255710676566

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya&ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya&ushauri:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram