11/08/2023
Peptic ulcers (Vidonda vya Tumbo)
Dalili:
1.maumivu mfano wa kuungua na Moto,au Tumbo kujaa ambayo huweza kutokea dakika 45 -60 baada ya kumaliza kula au nyakati za usiku
2.maumivu ambayo hufahamika K**a kiungulia
3.maumivu ya makali ya kichwa
4.kuhisi kutapika au kukabwa na kitu kooni
5.maumivu makali ya mgongo
6.kutapika wakati mwingine
SABABU ZAKE
Gastric ulcer Ni aina ya vidonda (peptic ulcer) ambayo hutokea kwenye Tumbo.
Duodenal ulcer Ni aina ya vidonda (peptic ulcer) ambayo hutokea kwenye sehemu za juu za utumbo mdogo.
Ukiangalia mahali ambapo hujitokeza Mara nyingi sababu za ugonjwa na matibabu huwa za aina moja , mfano
1.CHAKULA KIBAYA
2.KULA CHAKULA KUPITA KIASI
3.MSONGO WA MAWAZO
Gastric ulcer husabishwa na vyakula vibaya ambavyo huzalisha kiwango kikubwa Cha Asidi na kupelekea kuchomwa kwa kuta za Tumbo.
Hi hutokea zaidi kwa wanaume kuliko wanawake hasa umri wa miaka 40-55.
Duodenal ulcer huchangiwa pia n kiwango kikubwa Cha Asidi ambacho uharibu kuta za utumbo mdogo,Asidi ambayo huzalishwa kwenye Tumbo la chakula,hii hutokea mara 4 zaidi kwa wanaume kuliko wanawake.
Hi hutokea kwenye umri wa miaka 25-40.
Vidonda hivi hutokea mara 10 zaidi kuliko Gastric ulcer.
VITU VYA KUEPUKA
1.Vyakula vya KUKAANGA
2.MAjani ya chai
3.kahawa (caffeine)
4.Chumvi mbichi
5.chocolate
6.Nyama NYEKUNDU
7.Vyakula vyenye pilipili
8. Vinywaji vya viwandani
9.Maziwa
10. Baadhi ya dawa za maumivu
kwa matibabu zaidi piga.0685-623778