03/05/2022
MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI.
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo
hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha
saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50%
kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa,
huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), kutokwa na majimaji yenye harufu
mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara. Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo
awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha
madhara mengi k**a yafuatayo:
Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
Mimba kuharibika mara kwa mara
Kukosa mtoto au Ugumba
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
UTI (Urinary Tract Infection)
Kuzeeka mapema
Kuziba kwa mirija ya uzazi
Uvimbe (Fibroids and Cysts)
SULUHISHO
Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda
mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na
wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida.
Lakini hupelekea madhara k**a:
Kuongeza uwezekano wa shinikizo la damu.
Madhara katika mfumo wa uzazi.
Saratani na mengineyo.
Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na
uwepo wa sumu mwilini. Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na
kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo; vimbe zinazo jipachika kwenye
uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, n.k.
Tunatoa tiba za Asili ya Virutubisho lishe niya weza kutibu chanzo cha tatizo na kupowa moja kwa moja InshaAllah Kwa msaada zaidi wa ushauri na tiba kamili Whats App 0626277945 Na Call: 0658232878.