26/12/2019
Kuwa mnene mno kunaleta hatari ningi kwa afya na kusababisha au kuongeza uwezekano wa magonjwa k**a vile:
Shinikizo la juu la damu
Ugonjwa wa kisukari
Maradhi ya moyo
Ugonjwa wa kupooza
Shida za kupumua na pumu[5][3]
Matatizo ya viungo vya miguu na ya uti wa mgongo
Maradhi ya mishipa,
Apnea pingani ya usingizi
Osteoathritisi[3].
Watu wakinenepa mno hufa mapema na kuwa na magonjwa mengi kuliko watu wembamba wanaokula kiasi tu, jinsi wanavyohitaji chakula. Tatizo la unene duniani hukumba wanaume zaidi ya wanawake.
Unene wa kupindukia mara nyingi husababishwa na ujumuisho wa kula chakula kilicho na nguvu nyingi, ukosefu wa mazoezi ya mwili, na urithi wa jeni maalumu, ingawa visa vichache vina msingi wa jeni, matatizo ya kiendrosini, matibabu au maradhi ya akili.
Vihatarishi vya tatizo la unene wa kupitiliza
Aidha yapo mambo kadhaa ambayo yanaweza kumuhatarisha mtu kupata unene wa kupitiliza. Mambo haya ni pamoja na
v Kukua kwa uchumi wa nchi - Wananchi wengi wanaoishi kwenye nchi zilizoendelea au wenye kipato kikubwa ndio wanaopata tatizo hili kutokana na kuishi mfumo wa maisha ya kivivu na hali ya kutokufanya mazoezi (sedentary lifestyle).
v Historia ya kuongezeka uzito uliopitiliza kwenye familia nayo yaweza kuhatarisha mtu kupata tatizo hili. Aidha, si jambo la kushangaza kuona karibu familia nzima au wengi wa wanafamilia kuwa wanene kupitiliza.
v Kutojishughulisha na chochote (inactive).
v Kupenda kula sana kuliko kawaida (overeating).
v Kula vyakula vya mafuta mengi
v Kutumia dawa zenye madhara ya kuongeza uzito uliopitiliza.
v Kuwa na ugonjwa wa vichocheo mwilini (hormonal disorders) k**a cushing syndrome, hypothyroidism.
v Kuwa na msongo wa mawazo au kuathirika kisaikolojia.
Magonjwa yanaoweza kuambatana na tatizo la unene uliopitiliza
Ø Kisukari
Ø Shinikizo la damu (hypertension)
Ø Kiharusi (Stroke)
Ø Magonjwa ya moyo
Ø Tatizo la kutopumua vizuri wakati mtu yupo usingizini (Sleep apnea)
Ø Vijiwe katika mfuko wa nyongo (Gallstones)
Ø Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu (cholesterol ikiwemo triglycerides)
Ø Ugonjwa wa mifupa k**a yabisi (osteoarthritis).
Ø Saratani ya matiti
Ø Saratani ya tezi dume (prostate cancer)
Ø Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa (Colorectal cancer)
Ø Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu k**a vile kuvimba kwa vena za miguuni (varicose veins)
Suluhisho lake la no zetu ni 0620 368 830i