IJUWE AFYA YAKO

IJUWE AFYA YAKO Karibu sana ukihitaji elimu au tiba ya afya nitafute nikusaidie mda wowote

Mwanaume Unasumbuka Sana Na Changamoto Ya Mfumo Wa Uzazi !?Unafika kileleni harakaUnashindwa kurejea TendoUna uchache wa...
23/02/2022

Mwanaume Unasumbuka Sana Na Changamoto Ya Mfumo Wa Uzazi !?

Unafika kileleni haraka

Unashindwa kurejea Tendo

Una uchache wa mbegu na unashindwa kutungisha mimba

Haupati Heshima Ya Mume bora kwenye Familia

Unahisi Ni Kawaida Tu, Utapata Athari Hizi K**a Haukupata tiba mapema :-

Kupata Saratani(Kansa) ya Tenzi Dume.

Kushindwa Kabisa Kupata mtoto.

Kuharibika kwa korodani na kushindwa kabisa kuzalisha mbegu.

Uume kusinyaa na kuingia ndani na kuwa k**a wa mtoto.

Kuendelea kudharaulika katika ndoa yako.

Misuli kuregea na kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa.

Unajuwa kuwa mwili haujengwi kwa matofali unajenga kwa mlo bora wenye virutubisho vya kutosheleza.

Fanya mambo haya kuondoa changamoto yako:-

Fanya mazoezi ya uume kile siku mara moja "Mafunzo Bure"

Fanya mazoezi ya misuli walau kila wiki siku 3 "Mafunzo Bure"

Kula mlo wenye kuendana na wewe kulingana na Group lako la Damu " Mafunzo Bure"

Jiepushe na msongo wa mawazo

Tibu tatizo lako na mapema, kila siku Tatizo lako linaongezeka usisubirie kupata kansa ya kizazi na matatizo mengine.

Tumia virutubisho vya asili , Hatak**a umepata athari za punyeto, maradhi au ukosefu wa virutubisho na kuondosha changamoto yako.

N:B Vega na madawa mengine hayaondoshi tatizo lako yanaongeza tatizo lako.

Wahi Mapema Package za virutubisho zimebaki 5 tuma neno "Namna ya kumaliza Changamoto" 0777107666 Au Piga 0659430436

15/02/2022
13/11/2021

6aUE MATATIZO YA MENO

Matatizo ya meno ni shida au magonjwa yanayohusiana na meno, karibia matatizo yote ya meno yanatokea baada ya bakteria na wadudu wengine kuwepo mdomoni, hii hufanya mtu kuwa na maumivu makali kwenye meno na mpaka kupelekea kutoa damu au halufu mbaya na kuathiri meno. Matatizo mengi ya meno yanazuirika na hutibika.

Katika maeneo mengi watu wengi wanatatizo la meno ila wanatofautiana wengine wanatatizo dogo wengine pia wanatatizo kubwa, tunawasauri watu wawe na tabia ya kuchunguza meno yao ili kujilinda na matatizo ya meno, tibu tatizo mapema ili usikuze tatizo, usipotubu tatizo basi meno uendelea kuaibika na mtu anaweza kuwa kibogoyo.

AINA ZA MAGONJWA YA MENO

Mdomo una magonjwa mengi ila meno ndio tatizo kubwa sana na ndio linaweza kuleta na matatizo mengine, aina za magonjwa ni k**a;

Meno kutoboka – Hili ni tatizo linalotokea kwenye meno kwa kuwepo kwa bakteria kwenye meno na kuharibu meno, bakteria hao wanaweza kutokana na kuwepo kwa mabaki ya vyakula hasa vyenye sukari nyingi. Mabaki yasipoondolewa bakteria huzalisha acidi ambayo ndio huharibu meno na kutengeneza vijitobo.

Meno kuvunjika – Hili ni tatizo ambalo huwatokea watu wakionekana meno yao kuna baadhi na vipande kutoonekana, jino laweza kuwa nusu au robo tatu, mara nyingi hili sio tatizo hatari halina madhara makubwa kwakuwa haliathiri fizi ila linaweza kumnyima mtu uhuru wa kucheka na pia ulimi ukigusa unahisi k**a ni kitu chenye ncha.

Meno kusagika au kupungua kimo – Hili tatizo hutokea ukiwa umelala, hata mchana ukiwa na mawazo, hasira au hisia ambapo meno hugusana na kusagana. Meno huweza kupungua kimo na kuisha hii hutokea kwa mda mrefu kidogo, meno yakisagika na kupunguwa kimo husababisha maumivu ya meno na kubadilika rangi.

Tatizo la fizi – Hili ni tatizo katika fizi kuna kuwa na maumivu, k**a vidonda au kutokwa damu, kuwa na usaa au uchafu.

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IJUWE AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to IJUWE AFYA YAKO:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram