11/04/2026
UNAJARIBU KUPATA MTOTO… LAKINI KILA SIKU INAPITA BILA MATOKEO?
Kuna ukweli ambao watu wengi hawauambiwi mapema…
Changamoto za uzazi huanza na dalili ndogo ambazo wengi huzipuuzia.
Maumivu wakati wa tendo, hedhi kuvurugika, uchafu usio wa kawaida au kukosa hamu ya tendo—hizi si hali za kawaida k**a zinavyochukuliwa.
Kitaalamu, hizi ni ishara kuwa kuna tatizo ndani ya mfumo wa uzazi ambalo linahitaji uchunguzi sahihi, sio kubahatisha dawa.
Watu wengi wanachelewa kuchukua hatua…
Na mwisho wanakuja wakati tatizo limeshaendelea.
Swali la msingi:
Wewe unasubiri mpaka lini ndipo uchukue hatua?
K**a unapitia hali hii au unahisi kuna kitu sio sawa,
andika “NISAIDIE” inbox au wasiliana moja kwa moja: 0626650765
Afya ya uzazi ni maamuzi—anza leo, sio kesho.