30/03/2026
๐จ AINA ZA MAAMBUKIZI YA UKE USIZOPASWA KUZIPUUZA ๐จ
Wanawake wengi wanaona dalili kila sikuโฆ lakini wanazipuuza hadi zinakuwa kubwa ๐ญ
Mama, mwili wako unaongea na wewe ๐๐ฝ
๐ง Uchafu mzito mweupe k**a maziwa yaliyoganda, unaowasha na kuunguza
Hii ni fangasi (yeast infection)
Ni ya kawaida, lakini inahitaji tiba sahihi ๐๐ฝ
๐ Uchafu wa kijivu wenye harufu mbaya k**a samaki, hasa baada ya tendo la ndoa
Hii ni Bacterial Vaginosis (BV)
Kuoga mara nyingi haitasaidia, unahitaji matibabu โ
๐ก Uchafu wa njano au kijani
Inaweza kuwa maambukizi makali au magonjwa ya zinaa ๐จ
USIJITIBIE nyumbani, nenda hospitali ๐ฅ
๐ฉธ Damu ya kahawia, pink au nyekundu nje ya siku zako
Hasa ukiwa mjamzito ๐ญ
Hii ni dharura, wahi hospitali haraka ๐ฅ
โฆ๏ธ Wanawake wengi wanateseka kimya kimya
Kuwashwa, kuungua, aibu kuongea ๐ญ
HAKUNA AIBU โ
Unastahili kuwa na afya njema ๐
Uke unajisafisha wenyewe ๐๐ฝ
Acha kutumia vitu vya kuosha ndani (douching), sikiliza mwili wako
๐ฅบ K**a umekuwa ukipuuzia daliliโฆ
Leo nenda ukapime ๐โค๏ธ
๐ Share post hii, kuna mtu anahitaji kuona ujumbe huu ๐๐ฝ
๐ Endelea kufuatilia kurasa yangu kwa elimu zaidi ya afya ya uzazi na ujauzito