BEST Vision EYE CLinic

  • Home
  • BEST Vision EYE CLinic

BEST Vision EYE CLinic Best vision we offer Computerized eye screening,optical glasses,Contact lenses,heath eye advices.

Faili hufunguuliwa kwa 10000 tu lakini kuonana na daktari BUREE  kufanyiwa vipimo vyote vya macho  ni BUREE  lakini pia ...
24/04/2024

Faili hufunguuliwa kwa 10000 tu lakini kuonana na daktari BUREE kufanyiwa vipimo vyote vya macho ni BUREE lakini pia kufanyiwa check up ya macho ndani ya miezi mitatu BUREE karibu

Tupo mwanza mtaa wa nata

Wasiliana nasi 0678110376
#

OFA maalumu katika msimu Huu Wa sikukuuPunguzo la Bei 40% katika huduma zote za machoTunapatikana jijini mwanza mtaa Wa ...
12/12/2023

OFA maalumu katika msimu Huu Wa sikukuu

Punguzo la Bei 40% katika huduma zote za macho

Tunapatikana jijini mwanza mtaa Wa natta

Wasiliana nasi kupitia 0678110376

Tunajali Afya ya Macho Yako









Best vision eye care tunakutakia kheri katika sikukuu ya uhuruKaribu update huduma zote za machoTunapatikana Mwanza mtaa...
09/12/2023

Best vision eye care tunakutakia kheri katika sikukuu ya uhuru

Karibu update huduma zote za macho

Tunapatikana Mwanza mtaa Wa NATA

Wasiliana nasi kupitia 0678110376

Tunajali Afya ya Macho yako






Tunapima macho Kwa kutumia vifaa vya kisasa Tunapatikana Jijini Mwanza mtaa Wa NATA Kona ya kuelekea hospitali ya bugand...
08/12/2023

Tunapima macho Kwa kutumia vifaa vya kisasa

Tunapatikana Jijini Mwanza mtaa Wa NATA Kona ya kuelekea hospitali ya bugando

Tupo wazi kila siku saa mbili kamili asubuhi mpaka saa Kumi Na mbili kamili jioni

Wasiliana nasi kupitia 0678110376

Best vision eye care ,Tunajali afya ya macho yako.









Fremu za miwani Bora za Aina zote Kwa watu Wa Rika zote zinapatikana Tunapatikana Jijini Mwanza mtaa Wa natta Wasiliana ...
06/12/2023

Fremu za miwani Bora za Aina zote Kwa watu Wa Rika zote zinapatikana

Tunapatikana Jijini Mwanza mtaa Wa natta

Wasiliana nasi kupitia
0678110376

Best vision eye care, tunajali afya ya macho yako






Usisumbuke Tena Na changamoto Yoyote ya macho Pata tiba sahihi kutoka Kwa mabingwa Wa afya ya macho kutoka clinic ya bes...
04/12/2023

Usisumbuke Tena Na changamoto Yoyote ya macho Pata tiba sahihi kutoka Kwa mabingwa Wa afya ya macho kutoka clinic ya best vision eye care

Tunapatikana Jijini Mwanza mtaa Wa NATA

Wasiliana nasi kupitia 0678110376

Best vision eye care , tunajali afya ya macho yako




Ni muhimu kujua afya ya macho yako ili kulinda ya kuyatunza machoTunapatikana Mwanza mtaa Wa NATAWasiliana nasi kupitia ...
02/12/2023

Ni muhimu kujua afya ya macho yako ili kulinda ya kuyatunza macho

Tunapatikana Mwanza mtaa Wa NATA

Wasiliana nasi kupitia 0678110376

"Best vision eye care, Tunajali Afya ya macho yako"

Miwani za Aina zote zinapatikana Kwa watu Wa rika zote  pia huduma za Upimaji zinaendelea kutolewa Na wataalamu kutoka c...
28/11/2023

Miwani za Aina zote zinapatikana Kwa watu Wa rika zote pia huduma za Upimaji zinaendelea kutolewa Na wataalamu kutoka clinic ya best vision eye care katika Hospitali ya Wilaya Na nasio

Wasiliana nasi kupitia 0678110376

Best vision eye care , Tunajali Afya ya macho yako







Utoaji wa huduma za macho ,dawa , miwani tiba pamoja Na  elimu juu ya utunzaji Wa macho inaendelea katika hospitali ya w...
27/11/2023

Utoaji wa huduma za macho ,dawa , miwani tiba pamoja Na elimu juu ya utunzaji Wa macho inaendelea katika hospitali ya wilaya ya Ukerewe (nasio)

Huduma itakuwepo kuanzia tarehe 27/11/2023(jumatatu) mpaka tarehe 30/11/2023(alhamisi

Wasiliana nasi kupitia namba 0678110376

"Best vision eye care, tunajali afya ya macho yako"




Mabingwa Na wataalamu Wa kutatua changamoto zote za macho sasa wamefika wilaya ya Ukerewe kwaajili ya kutoa huduma Bora ...
26/11/2023

Mabingwa Na wataalamu Wa kutatua changamoto zote za macho sasa wamefika wilaya ya Ukerewe kwaajili ya kutoa huduma Bora za macho Kwa wananchi wote

Huduma zote zitatolewa katika hospitali ya wilaya ya ukerewe ( nansio)

Huduma itaanza tarehe 27/11/2023( jumatatu) mpaka 30/11/2023 ( alhamisi)

Kuanzia saa mbili kamili asubuhi mpaka saa saa Kumi Na mbili kamili jioni

Vipimo vyote vya macho vitafanyika bureee kabisa

Kwa mawasiliano piga namba 0678110376

Best vision eye care ,Tunajali Afya ya Macho Yako.






K**a una changamoto Yote ya macho Fika katika clinic ya best vision eye care kwaajili ya kupata tiba sahihi Na kumaliza ...
14/11/2023

K**a una changamoto Yote ya macho Fika katika clinic ya best vision eye care kwaajili ya kupata tiba sahihi Na kumaliza changamoto yako kabisa

Tunapatikana Jijini Mwanza mtaa Wa natta kwenye mataa Kona ya kuelekea hospitali ya bugando

Wasiliana nasi kupitia 0678110376







Anza wiki mpya  ukiwa Na uhakika Na Afya ya macho yakoTunapima macho Kwa kutumia vifaa vya kisasa  Pia fremu za miwani z...
13/11/2023

Anza wiki mpya ukiwa Na uhakika Na Afya ya macho yako

Tunapima macho Kwa kutumia vifaa vya kisasa

Pia fremu za miwani za Aina zote zinapatikana Kwa watu Wa Rika zote

Tunapatikana Mwanza mtaa Wa NATA Kona ya kuelekea hospitali ya bugando

Wasiliana nasi 0678110376




Address

Nata,Mwanza,Tanzania

Telephone

+255763110376

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BEST Vision EYE CLinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram