Mimea tiba

Mimea tiba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mimea tiba, Medical and health, Ilala, Ilala.

Permanently closed.

Tunasaidia jamii Kwa ushauri na dawa kuweza kuondokana na magonjwa sugu mbalimbali kama vile kuondokana na kisukari,bawasiri,ngiri na unene uliopitiliza Kwa njia ya dawa asili

29/11/2021

UVIMBE KWENYE KIZAZI,SABABU ZAKE, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE ASILI
September 23, 2019
TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI,SABABU, DALILI NA TIBA YAKE ASILI

FIBROID NI NINI?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.

Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa k**a maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.

Hujulikana pia k**a ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu.

SABABU ZA MWANAMKE KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;

1. 📎Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
2.📎 Ujauzito.
3.📎 Uzito/ unene kupita kiasi.
4.📎 Jenetiki zisizo za kawaida.
5.📎 Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.
6.📎 Sababu za kurithi.
7.📎 Lishe isiyo sawa/Lishe duni.
8.📎Sumu na taka mbalimbali mwilini.

AINA ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Kuna aina kuu 3 za uvimbe kwenye kizazi k**a ifuatavyo:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2.Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3.Subserosal(nje ya kizazi)

WAFUATAO WAPO HATARINI KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI(UTERINE FIBROID)
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.Unene/uzito kupita kiasi
5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROIDS):

1.🖇️Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.
2. 🖇️Maumivu makali wakati wa siku za hedhi.
3. 🖇️Kuvimba miguu.
4. Unaweza kuhisi una ujauzito.
5. 🖇️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
6. 🖇️Kuhisi kuvimbiwa.
7. 🖇️Kupata haja ndogo kwa taabu.
8. 🖇️Kutokwa na uchafu ukeni.
9.🖇️ Kupata choo kigumu au kufunga choo.
10.🖇️ Maumivu nyuma ya mgongo.
11. 🖇️Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.
12.🖇️ Upungufu wa damu.
13.🖇️ Maumivu ya kichwa.
14.🖇️ Uzazi wa shida.
15.🖇️ Kutopata ujauzito.
16.🖇️ Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.
17.🖇️ Maumivu ya nyonga.
18.🖇️ Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage).
19.🖇️ Kukojoa mara kwa mara kwan uvimbe huweka mgandamizo katika kibofu cha mkojo
20.🖇️ Hedhi zisizokuwa na mpangilio

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUPONA HARAKA UVIMBE KWENYE KIZAZI

1. 📎Hakikisha una uzito sawa kila mara kulingana na urefu wako.
2. 📎Kula sana mboga za kijani na matunda
3. 📎Fanya mazoezi ya viungo kila mara, mara 4 mapaka 5 kwa wiki
4. 📎Kunywa maji mengi kila siku lita mbili mpaka lita tatu
5. 📎Kula sana vyakula vyenye nyuzi nyuzi (faiba) na punguza vyakula vyenye mafuta
6. 📎Usitumie bidhaa zozote zenye kaffeina (chai ya rangi, kahawa, soda nyeusi zote nk), nyama nyekundu na vyakula vya kuchomwa au kupikwa katikati ya mafuta mengi (maandazi, chipsi, nk)
7. 📎Achana kabisa na mawazo mawazo (stress) na hamaki nyingine zozote
8. 📎Acha kuvuta sigara/tumbaku na vilevi vingine vyote hadi hapo utakapopona kabisa

MATIBABU/TIBA ASILI KWA UVIMBE KWENYE KIZAZI.

Tiba asili ndio njia salama na rahisi katika matibabu ya uvimbe kwenye kizazi endapo mgonjwa atafuata ushauri na matumizi sahihihi ya dawa.

Zipo dawa asili zenye ufanisi mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi, Mfano ni dawa hizo ni FIBROCYST SOLUTION nk hii ni dawa yenye uwezo mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi.

Wasiliana nami kwa Ushaur, matibabu na miongozo mbali mbali ya kitabibu:

Dr.Kasudia
Tiba asili
Tanzania

+255715224721
+255758606089
drkasudis@gmail.com

Tunapatikana Dar Es salaam, ILALA

2️⃣ *AINA 2 YA KISUKARI*  (Type 2 diabetes)+255715224721⚫Aina hii ya ugonjwa wa kisukari hupatikana katika watu wa umri ...
27/08/2021

2️⃣ *AINA 2 YA KISUKARI*
(Type 2 diabetes)

+255715224721

⚫Aina hii ya ugonjwa wa kisukari hupatikana katika watu wa umri zaidi ya miaka 40. Hata hivyo, kwa sasa, unapatikana pia katika vijana, pamoja na watoto. Uchaguzi duni wa mitindo ya maisha ndio chanzo kikuu cha kuongezeka kwa ugonjwa huu katika watu wachanga.

⚫ Kutofanya kazi/mazoezi na ulaji duni,vinaweza kupelekea kuongezeka kwa uzito wa mwili,hasa sehemu za kiunoni. Hii huzuia mwili kutoweza kutumia insulin vizuri na kupelekea kiwango cha glucose(sukari) kupanda.

⚫ *Kuzingatia ulaji na kufanya mazoez ni katika njia za kujikinga na aina hii ya Kisukari*

DALILI ZA AINA YA 2 YA KISUKARI
⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬

1.📎Kupata kiu mara kwa mara.
2.📎 Kukojoa mara kwa mara.
3.📎 Kupata ganzi miguuni.
4.📎 Kutoona vizuri
5.📎 Ngozi kupauka
6.📎 Mwili kudhoofika na kuishiwa nguvu
7.📎 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.📎 Mwili kupungua Uzito
9.📎 Kupona taratibu/kutopona vidonda
10.📎 Kuhisi muungurumo masikioni.
11.📎Nk

Sema usikike unasumbuliwa na Nini?Juu ya Afya Piga. 255715224721                  0758606089
22/08/2021

Sema usikike unasumbuliwa na Nini?
Juu ya Afya
Piga. 255715224721
0758606089

P. I .DSABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI__________________________________________...
19/08/2021

P. I .D
SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

______________________________________________________________________

Dr.Kasudia

Tiba Asili

Tanzania

PANDEX HERBS

+255715 224 721

drkasudia@gmail.com

PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)

-Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye O***y (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).

-Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:

⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za

siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

ATHARI ZA PID

⚫ Ugumba kwa wanawake

⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.

⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.

⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.

⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).

JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID

⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani.

⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi.

⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan

⚫ Kula lishe bora.

⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)

Tumia dawa Asili iitwayo UROGETIX 5 kwa matibabu ya haraka na uhakika ya PID.

TIBA NA USHAURI

⏬⏬⏬⏬⏬⏬

Dr.kasudia

Tiba Asili

Tanzania

PANDEX HERBS

+255715 224 721

drkasudia@gmail.com

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRIDalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.Nazo n...
18/08/2021

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1📎Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2📎Kupiga mingurumo tumboni.
3📎Kujaa gesi tumboni.
4📎Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5📎Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
6📎Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7📎Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8📎Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9📎Nuru ya macho hupotea taratibu.
10📎Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11📎Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12📎Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13📎Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14📎Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto

15 📎Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

16📎 Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17📎 Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.

18📎 Ukila vitu vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19📎 Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU

•Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1📎 Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

2📎Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

3📎Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo k**a ya mtoto mdogo

4📎 Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar

5📎Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.

6📎Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,k**a vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

7📎Upungufu wa nguvu za kiume.

Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume

MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA

Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.

Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza k**a una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie k**a kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk

•Dr.anaweza kujiridhisha zaid k**a mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵

➡️ ULTRASOUND
➡️ CT SCAN
➡️ MRI

Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha k**a mtu ana ngiri ama hana.

ANGALIZO
➡️ Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.

➡️ Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.

➡️ Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.

➡️ Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa *Recurrent Hernia*,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa *Recurrent hernia*.Na kuna ngiri huitwa *Incissional hernia* ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.

➡️ Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea.

Asante sana.

Kwa mawasiliano ya dawa na Ushaur wasiliana nami;

Dr.Kasudia
Tiba asili
Tanzania

+255715224721
+255758606089

BAWASIRI FLUID & BAWASIRI POWDER-Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za ba...
17/08/2021

BAWASIRI FLUID & BAWASIRI POWDER
-Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).

Dawa hii:

1.📎Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri.
2.📎Hutibu miwasho itokanayo na bawasiri.
3.📎Huondosha uvimbe/kinyama kitokanacho na bawasiri.
4.📎Huondosha kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka yaani Thrombosed Hemorrhoid

Dawa hii inapatikana katika ujazo wai mililita 100 (100 mls) kwa dawa yakupaka na pia dawa ya unga kwaajili ya kunywa Ambayo ni doze kamili kwa bawasiri ya nje na bawasiri ya ndani.
Ni dawa yakupakaa na ya kunywa

-Asilimia 100 (100%) ya wateja wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao k**a kawaida. Dawa hii hutibu bawasiri ndani ya wiki moja na baadhi hutumia zaidi ya wiki moja kulingana na ukubwa wa tatizo

NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji mdogo yaani minor surgery lakini bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena na inaweza kurejea kwa kasi zaidi na madhara zaidi k**a ambavyo imeshuhudiliwa kwa wagonjwa wengi.

BAWASIRI FLUID & BAWASIRI POWDER-Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za ba...
17/08/2021

BAWASIRI FLUID & BAWASIRI POWDER
-Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).

Dawa hii:

1.📎Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri.
2.📎Hutibu miwasho itokanayo na bawasiri.
3.📎Huondosha uvimbe/kinyama kitokanacho na bawasiri.
4.📎Huondosha kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka yaani Thrombosed Hemorrhoid

Dawa hii inapatikana katika ujazo wa mililita 100 (100 mls) kwa dawa yakupaka na pia dawa ya unga kwaajili ya kunywa Ambayo ni doze kamili kwa bawasiri ya nje na bawasiri ya ndani.
Ni dawa yakupakaa na ya kunywa

-Asilimia 100 (100%) ya wateja wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao k**a kawaida. Dawa hii hutibu bawasiri ndani ya wiki moja na baadhi hutumia zaidi ya wiki moja kulingana na ukubwa wa tatizo

NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji mdogo yaani minor surgery lakini bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena na inaweza kurejea kwa kasi zaidi na madhara zaidi k**a ambavyo imeshuhudiliwa kwa wagonjwa wengi.
Piga 0715224721

12/08/2021

P.I. D
SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

__________________________________
Dr.Kasudia

Tiba Asili

Tanzania

PANDEX HERBS

+255715224721

PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)

-Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye O***y (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).

-Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:

⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za

siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

ATHARI ZA PID

⚫ Ugumba kwa wanawake

⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.

⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.

⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.

⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).

JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID

⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani.

⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi.

⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan

⚫ Kula lishe bora.

⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)

Tumia dawa Asili iitwayo UROGETIX 5 kwa matibabu ya haraka na uhakika ya PID.

TIBA NA USHAURI

⏬⏬⏬⏬⏬⏬

Dr.Kasudia

Tiba Asili

Tanzania

PANDEX HERBS

+255715224721

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)       0715224721-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:...
10/08/2021

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
0715224721

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:

⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za

siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

ATHARI ZA PID

⚫ Ugumba kwa wanawake

⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.

⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.

⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.

⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).
+255715224721

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)0715224721-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:⏬⏬⏬⏬▶️ ...
10/08/2021

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

0715224721

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:

⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za

siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

ATHARI ZA PID

⚫ Ugumba kwa wanawake

⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.

⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.

⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.

⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).
+255715224721

Address

Ilala
Ilala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mimea tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mimea tiba:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram