Kibasa nadra fruits.

Kibasa nadra fruits. 0655570800

Asali mbichi original 1 litre 17000.agiza what'sup  # 0655570800
13/05/2020

Asali mbichi original 1 litre 17000.agiza what'sup # 0655570800

Yafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo na magonjwa ambayo yanaweza kutibika kwa kirahisi kwa kutumia Habbat-Sawdaa. ...
10/05/2020

Yafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo na magonjwa ambayo yanaweza kutibika kwa kirahisi kwa kutumia Habbat-Sawdaa.

Vipele (chunusi) Na Ngozi:
Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha s**i ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Upara (Alopeshia):
Sugua mafuta ya Habbat-Sawdaa katika mabaka yanayokusumuba.

Pumu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa iliyochemshwa katika maji ya yaliyochemshwa kisha unywe moto.

Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini):
Changanya asali pamoja na ¼ (robo) kijiko cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza kunywa wakati wa asubuhi kabla ya kufungua kinywa.

Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa iliyochemshwa katika maji ya yaliyochemshwa kisha unywe moto.

Kibofu cha Mkojo/Figo:
Kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa pamoja na asali kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Changanya vikombe viwili vya Habbat-Sawdaa iliyosagwa na ½ (nusu) kikombe cha asali safi. Kunywa kijiko kimoja cha mchanganyiko pamoja na kikombe kimoja cha maji ya moto kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Mchanganyiko unaweza kukaa kwa siku 15 na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Jiwe La Figo:
Kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyochanganwa pamoja na gilasi (bilauri) moja ya asali, vitunguu saumu vitatu vilivyosagwa na karafuu. Changanya vitunguu saumu pamoja na asali na Habbat-Sawdaa. Kunywa kijiko kimoja kabla ya kula chakula na kwa pendekezo kula limau (bila ya kumenywa). Rudia haya kwa wiki moja Insha-Allah jiwe litaondoka.

Maathiriko Ya Figo:
Changanya baadhi ya Habbat-Sawdaa pamoja na mafuta ya alizeti. Chukua mchanganyiko na weka katika sehemu ambapo figo

06/05/2020

065570800 for more info

Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu.Kila mti au mmea una makusudio yake.Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye f...
06/05/2020

Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu.Kila mti au mmea una makusudio yake.
Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi,vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika k**a chakula au dawa kwa faida ya mwanadamu.Unga wa ubuyu una vitamini na madini mengi kuliko matunda yeyote unayoyajua.

FAIDA ZA UBUYU NA UNGA WAKE

1.Unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa.(HUONGEZA KINGA YA MWILI HASA KWA WENZETU AMBAO KINGA IKO CHINI)

2.Ubuyu una kiwango kingi cha kalisiamu(Calcium)mara mbili zaidi ya maziwa ya ng'ombe,pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja madini ya chuma.(HUSAIDIA KUIMARISHA MIFUPA NA MISURI & KUKATA TUMBO-VITAMBI)

3.Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini(HASA WENYE MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME NA K**E).

4.Ina virutubisho vya kulinda mwili

5.Ubuyu una vitamini B2 & B3 ambayo ni muhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng'enyaji wa madini ya chuma ,kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili wa binadamu huwa na vitamini B2(HII NI NZURI KWA WALEVI WA SIGARA,POMBE)

6.Huongeza nuru ya macho

7.Unga wa ubuyu(juisi)una magnesium ambayo husaidia kujenga mifupa na meno.

8.Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika .

9.Husaidia sana wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo.

JE,UNAPASWA UNYWE KIASI GANI?

*Kunywa kikombe kimoja cha juisi ya ubuyu kila siku hasa usiku na muda wa siku kadhaa utaona matokeo ya mwili wako.

NIPENDE KUTAHADHARISHA KWAMBA UNAPOKUNYWA JUISI YA HII NZURI YA UBUYU JIZUIE KABISA USINYWE POMBE NA UVUTAJI WA SIGARA ILI HUIMARISHE MISULI YAKO KWA MAANA NI TIBA.

Wanaume wengi kwasababu ya kukosa nguvu za kiume wamekuwa wakinywa pombe kali(konyagi)ili kuleta msisimko wa kujamiiana na mwenzi wake,hii ni hatari kwa mwanaume.

KWA USHAURI AU MAONI TAFADHALI USISITE KUNI-PM au WHATSAPP 0655570800

Almonds TSH 5000 tu karibuni
30/09/2019

Almonds TSH 5000 tu karibuni

21/09/2019

Faida Kumi (10) za Karanga za Almond]

::Karanga hizi huvunwa kutoka kwenye matunda ya mti uitwao Prunus dulcis maarufu k**a mti wa almonds
::Ni Karanga Rafiki katika mwili sababu ya kiwango chake kidogo cha Wanga

1. Kuwa na kiwango kidogo cha wanga zinafanya karanga hizi zitumike kwa uhuru kwa wagonjwa wenye Kisukari,Presha,Uzito mkubwa,Kitambi,Pumu,Ugumba na yeyote anayetaka Kupunguza matumizi ya wanga na sukari

2. Karanga hizi Unga wake Unaweza kuutumia Kutengeneza Mikate,Keki,Mandazi kwa wagonjwa wote wanaoteseka na magonjwa ya Lishe,Hutumika mbadala wa Ngano

3. Unapozitumia haziwezi kukuletea gesi yoyote, Unaweza kula jinsi zilivyo,Unaweza kuzisaga ukatengeneza Kitafunywa upendacho na humeng’enywa vizuri kwenye mfumo wa chakula hila kukuletea gesi

4. Zina Kiwango kingi cha Mafuta mazuri yaani Omega 3, Husaidia kutibu majeraha ya mwili, kulainisha mishipa ya damu na kutibu majeraha yake, Na husaidia sana mtu mwenye magonjwa ya mashambulizi ya mwili k**a Pumu,Baridi yabisi,Presha, Pumu ya ngozi nk

5. Hukata njaa haraka sana,Kwa sababu ya kiwango chake kingi cha Protini, Hivyo kukufanya umudu kukaa muda mrefu bila kula chochote bila kujishinikiza na mwili unakuwa unajitibia kwa kiwango kikubwa wakati huo

6. Zina kiwango kingi cha Magnesium na manganese Ambacho husaidia kuendesha zaidi ya shughuli za mwili 300 na husaidia kukufanikishia matunda haraka kiafya k**a unaumwa.

7. Ina kiwango kingi cha Vitamin E ambacho hukusanya sumu zote mwilini yaani Free radicals ambazo husababisha magonjwa k**a Pumu presha maumivu ya hedhi,Baridi yabisi, Kipanda uso, nk

8. Zimeonesha uwezo mkubwa wa Kurudisha afya ya mwili kwa wanaoteswa na Kisukari,Presha ,Pumu ndani ya muda mfupi endapo akitekeleza Pamoja na sayansi Ya Mapishi.

9. Kiwango Kingi cha Magnesium ndani yake,hupatia mwili na kuwezesha mishipa ya damu kusukuma damu vizuri na kwa ufanisi mkubwa. Kwani Unapopungukiwa Magnesium unaweza kupata presha hata k**a huna kitambi ,Wala uzito mkubwa.

10. Kupata Mafanikio makubwa ndani ya sayansi ya Mapishi unaweza Kufurahia karanga zingine zenye sifa k**a hizi mfano, Mbegu za maboga,Flaxseeds,Chia seeds,Pistachio,Walnuts, kwani nazo humeng’enywa vizuri bila kukuletea gesi wala kiungulia kwenye mfuko wa chakula

kwa watu waliopo dar es salaam tupo kimara korogwe ,karia koo msimbazi mbezi beach makonde
Watu wa Mikoani Mnaweza Pia kufikishiwa Na ukaonja Radha yake na Ukaona tiba yake

SIMU: 0655570800

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kibasa nadra fruits. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category