AFYA na DR. Santos

  • Home
  • AFYA na DR. Santos

AFYA na DR. Santos "๐’๐“๐€๐˜ ๐๐Ž๐’๐ˆ๐“๐ˆ๐•๐„, ๐๐‘๐ˆ๐๐† ๐‡๐€๐๐๐ˆ๐๐„๐’๐’"

02/02/2026

Hepatitis B ni ugonjwa wa ini unaoishi
mwilini kimya kimya.
Watu wengi hawana dalili kabisa, hadi ini linapoharibika.
Ukweli ni huu: hepatitis B inadhibitika
kwa dawa, lakini kuchelewa kupima huleta madhara makubwa k**a cirrhosis na saratani ya ini.
* Usisubiri dalili. Pima mapema, linda ini lako.
Kwa mawasiliano
Whatโ€™s app +255788087926
AFYA na DR. Santos

Kwa wenye  changamoto hii usisite kunitafuta kwa maelezo zaidi.Whatโ€™s app +255788087926
30/01/2026

Kwa wenye changamoto hii usisite kunitafuta kwa maelezo zaidi.
Whatโ€™s app +255788087926

๐Ÿ“š SOMO: Kwa nini mwanamke anaweza kushindwa kupata mimba?Kutopata mimba hakumaanishi mwanamke ana โ€œtatizo kubwaโ€, mara n...
27/01/2026

๐Ÿ“š SOMO: Kwa nini mwanamke anaweza kushindwa kupata mimba?

Kutopata mimba hakumaanishi mwanamke ana โ€œtatizo kubwaโ€, mara nyingi kuna sababu zinazoweza kutibika. Sababu za kawaida ni:

โœ… 1. Kutotoa yai (Ovulation) vizuri
โ€ข PCOS
โ€ข Homoni kutokuwa sawa
โ€ข Thyroid matatizo
โ€ข Prolactin kuwa juu

โœ… 2. Mirija ya uzazi kuziba (Fallopian Tubes)
โ€ข Maambukizi ya ndani ya uzazi (PID)
โ€ข Magonjwa ya zinaa k**a Chlamydia / Gonorrhoea
โ€ข Makovu baada ya upasuaji

โœ… 3. Tatizo kwenye mfuko wa uzazi (Uterus)
โ€ข Fibroids
โ€ข Polyps
โ€ข Endometriosis
โ€ข Maumbile yasiyo ya kawaida

โœ… 4. Umri
โ€ข Uwezo hupungua zaidi baada ya miaka 35

โœ… 5. Mzunguko wa hedhi usio sawa
โ€ข Kukosa hedhi
โ€ข Hedhi kuchelewa sana au kurudi mara nyingi kupita kawaida

โœ… 6. Afya & Mtindo wa Maisha
โ€ข Uzito kupita kiasi / kuwa mwembamba kupita kiasi
โ€ข Msongo wa mawazo
โ€ข Sigara, pombe, dawa za kulevya
โ€ข Magonjwa sugu yasiyodhibitiwa (k**a kisukari)

โธป

โ— Muhimu
Tatizo mara nyingi si la mwanamke pekee โ€” karibu 50% ya sababu huwa kwa mwanaume, hivyo wote wanapaswa kuchunguzwa.

๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Fanya uchunguzi hospitalini k**a:
โ€ข Mmejaribu mimba miezi 12 bila mafanikio (chini ya miaka 35)
โ€ข Miezi 6 bila mafanikio (miaka 35+)
โ€ข Una hedhi zisizo kawaida / maumivu makali
โ€ข Ulishawahi kupata PID au upasuaji tumboni

โธป

๐Ÿ”Ž Vipimo vinavyosaidia:
โ€ข Vipimo vya homoni
โ€ข Ultrasound
โ€ข HSG โ€“ kuangalia k**a mirija imeziba
โ€ข Uchunguzi wa mwanaume (semen analysis)

โธป

๐Ÿ’ฌ Ujumbe wa faraja:
Sababu nyingi hutibika. Muhimu ni kuchunguza mapema na kupata ushauri sahihi kutoka kwa mtaalamu wa afya.

K**a unachangamoto hii usisite kunitafuta.

Mawasiliano :- 0788087926

Lengo: Kupona kikamilifu, kupunguza utegemezi wa dawa na gharama kubwaWASILIANA NAMI SASA0788087926Usisubiri mpaka hali ...
21/01/2026

Lengo: Kupona kikamilifu, kupunguza utegemezi wa dawa na gharama kubwa
WASILIANA NAMI SASA
0788087926
Usisubiri mpaka hali iwe mbaya zaidi.
Afya yako ni mtaji - chukua hatua leo
๐Ÿ“ขSHARE | LIKE | COMMENT ili kuwafikia wanaohitaji
msaada huu






20/01/2026

Hepatitis B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoathiri ini. Watu wengi wanaweza kuwa na maambukizi bila dalili, lakini ugonjwa huu unaweza kuleta madhara makubwa k**a cirrhosis na kansa ya ini.

โš ๏ธ Huambukizwaje?
Hepatitis B huambukizwa kupitia:
โ€ข Damu iliyoambukizwa
โ€ข Kujamiiana bila kinga
โ€ข Kutumia sindano au vifaa vyenye ncha kali vilivyotumika
โ€ข Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua

๐Ÿšจ Dalili zake ni zipi?
โ€ข Uchovu mwingi
โ€ข Macho na ngozi kuwa ya njano
โ€ข Maumivu ya tumbo upande wa kulia
โ€ข Kichefuchefu au kukosa hamu ya kula
โš ๏ธ Kumbuka: Wengine hawana dalili kabisa

๐Ÿงช Inagundulikaje?
Kwa kipimo cha damu (HBsAg) hospitalini au maabara.

๐Ÿ’‰ Je, inazuilika?
NDIYO!
โœ”๏ธ Chanjo ya Hepatitis B ipo na ni salama
โœ”๏ธ Epuka kushiriki sindano
โœ”๏ธ Tumia kinga wakati wa kujamiiana
โœ”๏ธ Hakikisha vifaa vya kuchoma au kukata ni safi

๐Ÿ“Œ Ujumbe wa mwisho

Hepatitis B inaweza kudhibitiwa ikiwa itagunduliwa mapema.

๐Ÿ‘‰ Pima, chanja, linda ini lako.

K**a unachangamoto hii usisite kunitafuta kwa maelezo zaidi ya kitabibu.

Kwa mawasiliano zaidi :-0788087926

๐Ÿ’™ Elimu ya afya huokoa maisha.

19/01/2026

Presha (Shinikizo la Damu)

Presha ni hali ambapo shinikizo la damu kwenye mishipa huwa juu kuliko kawaida kwa muda mrefu. Mara nyingi haina dalili, ndiyo maana huitwa โ€œsilent killerโ€.

โ€ข Ya juu (Systolic) โ€“ wakati moyo unaposukuma damu.

โ€ข Ya chini (Diastolic) โ€“ wakati moyo unapopumzika.

Viwango vya Presha
โ€ข Kawaida: 120/80 mmHg au chini.

โ€ข Imeanza kupanda: 130โ€“139 / 80โ€“89mmHg.

โ€ข Presha (Hypertension): โ‰ฅ140/90mmHg.

โ€ข Hatari (Emergency): โ‰ฅ180/120mmHg(nenda hospitali haraka).

Dalili (mara nyingi haina dalili)
โ€ข Maumivu ya kichwa
โ€ข Kizunguzungu
โ€ข Kuchoka haraka
โ€ข Mapigo ya moyo kwenda mbio.

๐Ÿ‘‰ Wengi hawahisi chochote, ndiyo maana hupimwa mara kwa mara.

Sababu za Presha
โ€ข Chumvi nyingi
โ€ข Uzito kupita kiasi
โ€ข Msongo wa mawazo
โ€ข Kutojishughulisha (kukaa sana)
โ€ข Pombe/sigara
โ€ข Urithi

Madhara ikiwa haitadhibitiwa
โ€ข Kiharusi
โ€ข Mshtuko wa moyo
โ€ข Figo kushindwa kazi
โ€ข Macho kuharibika

Kinga & Udhibiti
โ€ข Punguza chumvi na vyakula vya mafuta mengi.

โ€ข Kula mboga na matunda.

โ€ข Fanya mazoezi angalau dakika 30, siku 5 kwa wiki.

โ€ข Pima presha mara kwa mara.

โ€ข Tumia dawa k**a ulivyoelekezwa na mtaalamu.

Hepatitis B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoathiri ini. Watu wengi wanaweza kuwa na maambukizi bila dalili, l...
14/01/2026

Hepatitis B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoathiri ini. Watu wengi wanaweza kuwa na maambukizi bila dalili, lakini ugonjwa huu unaweza kuleta madhara makubwa k**a cirrhosis na kansa ya ini.

โš ๏ธ Huambukizwaje?
Hepatitis B huambukizwa kupitia:
โ€ข Damu iliyoambukizwa
โ€ข Kujamiiana bila kinga
โ€ข Kutumia sindano au vifaa vyenye ncha kali vilivyotumika
โ€ข Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua

๐Ÿšจ Dalili zake ni zipi?
โ€ข Uchovu mwingi
โ€ข Macho na ngozi kuwa ya njano
โ€ข Maumivu ya tumbo upande wa kulia
โ€ข Kichefuchefu au kukosa hamu ya kula
โš ๏ธ Kumbuka: Wengine hawana dalili kabisa

๐Ÿงช Inagundulikaje?
Kwa kipimo cha damu (HBsAg) hospitalini au maabara.

๐Ÿ’‰ Je, inazuilika?
NDIYO!
โœ”๏ธ Chanjo ya Hepatitis B ipo na ni salama
โœ”๏ธ Epuka kushiriki sindano
โœ”๏ธ Tumia kinga wakati wa kujamiiana
โœ”๏ธ Hakikisha vifaa vya kuchoma au kukata ni safi

๐Ÿ“Œ Ujumbe wa mwisho
Hepatitis B inaweza kudhibitiwa ikiwa itagunduliwa mapema.
๐Ÿ‘‰ Pima, chanja, linda ini lako.

๐Ÿ’™ Elimu ya afya huokoa maisha.

๐‘จ๐‘ป๐‘ป๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป๐‘ฐ๐‘ถ๐‘ต!!!    ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ผ๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘จ  ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ญ๐‘จ๐‘ต๐’€๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ฝ๐‘ฐ...๐—๐—ฒ, ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—บ๐—ฟ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚??...
01/05/2025

๐‘จ๐‘ป๐‘ป๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป๐‘ฐ๐‘ถ๐‘ต!!!
๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ผ๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ญ๐‘จ๐‘ต๐’€๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ฝ๐‘ฐ...

๐—๐—ฒ, ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—บ๐—ฟ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚??
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ผ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฒ? ๐—”๐˜‚ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐˜€๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ผ ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ท๐˜‚๐˜‚.

Usijali tena - tunalo suluhisho sahihi kwako!

Wagonjwa wengi wa kisukari wamekuwa wakipitia changamoto mbali mbali za kiafya licha ya kuwa wanatumia dawa .

Wapo ambao hupata ganzi , miguu kuwaka moto na uchovu wa mara kwa mara , wapo wanaopitia changamoto za uoni hafifu , kupoteza ham ya tendo la ndoa , kukojoa mara kwa mara . Wengine wamepoteza viungo kutokana na vidonda visivyo pona , pamoja na figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi .

Yote haya hutokana na kuishi na kisukari kwa muda mrefu.

Tafiti zinaonyesha kuwa ugonjwa wa kisukari hutokana na visababishi vitatu ambavyo mara nyingi hospital havizingatiwi sana na ndivyo vinavyotakiwa kutibiwa.

๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ผ๐‘ฒ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ( ๐‘ซ๐‘ฐ๐‘จ๐‘ฉ๐‘ฌ๐‘ป๐‘ฌ๐‘บ ) ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฐ?? Ni hali ya kiafya inayotokea pale ambapo kiwango cha sukari ( glucose ) katika damu kinakuwa juu kupita kiasi. Hali hii hutokea kwa sababu mwili hauzalishi Insulini ya kutosha au hauitumii Insulini vizuri .

๐‘ฐ๐‘ต๐‘บ๐‘ผ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฐ?? Ni homoni inayosaidia kupeleka sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye SELI za mwili ili itumike k**a Nishati.

Huduma yetu maalum ya ushauri wa kiafya hukusaidia kudhibiti kisukari kwa njia:

Asili na salama.

Isiyo na madhara ya aina yoyote hile.

Iliyothibitishwa na wataalam wa afya.

Tunatoa:

Uchunguzi wa awali na ushauri binafsi.

Mpango maalum wa mlo na mazoezi.

Ufuatiliaji wa karibu wa maendeleo yako.

Elimu ya kina juu ya maisha bila utegemezi wa dawa.

Huduma inapatikana kwa njia ya simu, Whats app au ana kwa ana - kulingana na mahitaji yako.
Wasilina nami leo:
Simu : 0788 087 926

Afya yako ni kipaumbele chetu - Anza safari ya kupona sasa!.

 na DR. Santos   nipo kukuongezea maarifa zaidi juu ya H.pylori ( Helicobacter pylori ) Kuwa ni aina ya bacteria ambayo ...
15/10/2024

na DR. Santos nipo kukuongezea maarifa zaidi juu ya H.pylori ( Helicobacter pylori ) Kuwa ni aina ya bacteria ambayo inapatikana kwenye tumbo la binadamu.

Aina ya bacteria hii hushambulia tumbo na utumbo mwembamba dhidi ya asidi ya tumbo, ambayo huchochea vidonda vya tumbo ( Peptic ulcers ), gastritis ( maumivu ya tumbo ) pia inaweza kuwa na uhusiano na kansa ya tumbo.

Bacteria hii inatambuliwa kwa njia ya vipimo vya damu,kinyesi au kupima gesi kwenye pumzi na matibabu yake mara nyingi ni mchanganyiko wa dawa za Antibiotic pamoja na dawa za kupunguza asidi kwenye tumbo.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie.+225788087926

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255788087926

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA na DR. Santos posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA na DR. Santos:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram