Royal Dental Clinic

Royal Dental Clinic The Royal Story

Our first clinic was opened on August 2012, in Kisumu. In March 2014, we gave the clinic a face lift.
(1)

We launched our 2nd branch (Kisumu-Kibuye) in December 2014. As we grew, we needed more spaces so we moved to Alpha House 3rd floor in June 2016. Homabay Clinic, our 5th Branch opened doors in February 2019. September 2019, we launched our branded toothbrush, Royaldent, which retails in shops at Kes. 100. On 15th May, 2021, we expanded further to Migori Town.

Uko na medical cover gani tukuconfirmie k**a unaweza pata usaidizi kutoka kwetu? 😊
15/11/2025

Uko na medical cover gani tukuconfirmie k**a unaweza pata usaidizi kutoka kwetu? 😊

Mwanya kwa Kiingereza unaitwaje? πŸ€”
14/11/2025

Mwanya kwa Kiingereza unaitwaje? πŸ€”

Ngoja uone wengine wakiandika "attack from neighbouring communities" 🀣
12/11/2025

Ngoja uone wengine wakiandika "attack from neighbouring communities" 🀣

Hii option ya replacement is permanent just like your natural tooth. Hakuna mambo ya kutoa na kurudisha asubuhi πŸ˜ƒ
11/11/2025

Hii option ya replacement is permanent just like your natural tooth. Hakuna mambo ya kutoa na kurudisha asubuhi πŸ˜ƒ

Ukikuja na meno brown lazima tutadeliver meno white. Kazi ikoje wakubwa? 😊
10/11/2025

Ukikuja na meno brown lazima tutadeliver meno white. Kazi ikoje wakubwa? 😊

Mambo ya kufanya whitening na vitu umeokota kando ya barabara wachana nayo
08/11/2025

Mambo ya kufanya whitening na vitu umeokota kando ya barabara wachana nayo

Si lazima uumwe ndio ututembelee. Pay us a visit at least once a year tukuoshe meno πŸ˜„
07/11/2025

Si lazima uumwe ndio ututembelee. Pay us a visit at least once a year tukuoshe meno πŸ˜„

Kusema tu ukweli, wewe hufikiria meno sisi huwekea watu sai tunatoa wapi?πŸ˜„
06/11/2025

Kusema tu ukweli, wewe hufikiria meno sisi huwekea watu sai tunatoa wapi?πŸ˜„

Leo utaenda lunch na chakula iingie kwa shimo alafu ung'ang'ane kutoa na toothpick. Shughulikia hilo jino please πŸ˜„
04/11/2025

Leo utaenda lunch na chakula iingie kwa shimo alafu ung'ang'ane kutoa na toothpick. Shughulikia hilo jino please πŸ˜„

Meno zako za chini na za juu haziko kwa laini? Kurekebisha hiyo ni rahisi k**a 1+1 😊
03/11/2025

Meno zako za chini na za juu haziko kwa laini? Kurekebisha hiyo ni rahisi k**a 1+1 😊

Makosa isiendelee kufanyika na unaona. Mumesikia? ☺️
01/11/2025

Makosa isiendelee kufanyika na unaona. Mumesikia? ☺️

Nini hujai ambiwa kuhusu meno that you came to learn later? πŸ˜ƒ
31/10/2025

Nini hujai ambiwa kuhusu meno that you came to learn later? πŸ˜ƒ

Address

Kisumu Alpha House 3rd Floor Oginga Odinga Street, Homabay Salama Area, Migori Nyasare Road
Kisumu

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Royal Dental Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Royal Dental Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category

The Royal Story

Our first clinic was opened in Kisumu.

In March 2014, we gave the clinic a face lift.

We launched our 2nd branch (Kisumu Kibuye) in December 2014. From left to right (Dr. Muuo, Hon. Ida Odinga, Dr. Vitalis)

As we grew, we needed more space, so we moved to Alpha House 3rd floor in June 2016.