DR ballkuss surtan kaimu

DR ballkuss surtan kaimu Mtibabu kutoka mombasa wa tiba za jaddi zilizo bobea

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 👉🤒((MADHARA MAKUBWA YA PRESHA YA KUSHUKA)) 🤒👉🤒((LOW BLOOD PRESSURE HYPOTENSION)...
03/12/2025

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

👉🤒((MADHARA MAKUBWA YA PRESHA YA KUSHUKA)) 🤒

👉🤒((LOW BLOOD PRESSURE HYPOTENSION))🤒

👉🫀Kwa watu wengi, presha ikishuka chini sana husababisha hatari kubwa kwa mwili kwa sababu damu haitoshi kufika kwenye ubongo, moyo, figo na viungo vingine🫀

👉1)):🌡KUZIMIA AU KUANGUKA GHAFLA (FAINTING)🌡

🌡Presha inaposhuka mno, ubongo unakosa damu ya kutosha, hivyo mtu huona giza, kusikia kizunguzungu, kisha kuanguka.🌡

😞Hii ni hatari sana ikiwa unatokea kuanguka sehemu ngumu.😞

👉2))😵‍💫:KISUNGUZUNGU KIKALI / KUONA VIZUNGU VIZUNGU😵‍💫

🧠Ubongo hutumia damu kila sekunde. Presha ikishuka, mtu huhisi🧠

😵‍💫Kizunguzungu😵‍💫

🔅Sehemu inazunguka🔅

🧘‍♂Maono kuwa hafifu🧘‍♂

🧏‍♂Masikio kusikia kelele🧏‍♂

👉3))🫀:MAPIGO YA MOYO KWENDA TARATIBU AU KUINGIWA NA WASIWASI (SHOCK)⚡️⚡️

👉🩸Presha ya chini mno inaweza kupelekea moyo kushindwa kusukuma damu vizuri, na kusababisha🩸

👉1)):Mapigo kwenda taratibu ⌚

👉2)):Baridi mwilini🥶

👉3)):😶Ngozi kuwa k**a ya rangi hafifu😶

👉4)):🫁Kupumua haraka🗣

👉🌡Hii huitwa Low Blood Pressure Shock → ni hali ya dharura.🫀

👉4)):🧠UBONGO KUKOSA HEWA YA OXYGEN🫁

👉🌡Ikiwa presha inashuka ghafla, ubongo unaweza kuathirika, kusababisha🌡

👉1)):🤪Kuchanganyikiwa🤪

👉2)):🧠Kushindwa kufikiri🧠

👉3)):🤮Kichefuchefu🤮

👉🤕Maumivu ya kichwa (Ikiwa hali,inaendelea muda,mrefu huathiri,kumbukumbu.🧠

👉5)):👁️KUONA UKUNGU / KUPOTEA KWA MFUMO WA MAONO😔

👉🌡Presha ya chini hulifanya jicho kukosa mtiririko wa damu → kuona ukungu, kuona vitu mara mbili au giza🤪

👉6)):🦵UDHAIFU WA MISULI NA KUTETEMEKA💪

👉🦵Misuli haina nguvu kwa sababu haina damu ya kutosha.*
*Mtu hushindwa kusimama muda mrefu, miguu kuwa dhaifu au mikono kutetemeka💪

👉7)):🥨FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI (ACUTE KIDNEY INJURY)🥨

👉🥨Figo zinahitaji shinikizo la damu la kutosha ili kusafisha damu.
*Presha ikiwa chini🌡

👉💦Mkojo hupungua💦

👉💦Mwili hujaza maji💦

👉❄️Sumu mwilini huongezeka
Hali ikiendelea bila matibabu → figo zinaweza kushindwa kufanya kazi.🥨

👉8)):🫁KUPUMUA HARAKA NA KUKOSA HEWA🗣

👉🫀Moyo unapoanza kupunguza kasi, mwili hulazimika kuongeza pumzi nyingi ili kupata oksijeni🗣

👉9)):🥶BARIDI MWILINI NA JASHO JINGI😰

👉🩸Dalili ya mwili kupoteza uwezo wa kusambaza damu vizuri.

👉10)):💀HATARI YA KIFO (IKIKUA SHOCK)⚡️

👉🌡Ikiwa presha ya chini inatokana na🌡

👉1)):🩸Upungufu mkubwa wa damu🩸

👉2)):😳Msh*tuko wa mzio😳

😳((anaphylaxis))😳

👉3)):❄️Maambukizi makubwa❄️

❄️ (sepsis)❄️

👉4)):🫀Moyo kushindwa🫀

👉NTB:📌Basi mtu anaweza kufika kwenye hali hatari inayoitwa Circulatory Collapse → inaweza kupelekea kifo ndani ya muda mfupi bila matibabu☠📌

👉🌡PRESHA YA CHINI NI HATARI IWAPO🌡

👉1)):😵‍💫Unazimia mara kwa mara😵‍💫

👉2)):😵‍💫Unasikia kizunguzungu kila siku😵‍💫

👉3)):🫀Mapigo ya moyo ni 40–50 BPM🫀

👉4)):💪Miguu inakosa nguvu🦵

👉5)):🤪Unaona ukungu🤪

👉6)):💦Una mkojo mdogo sana💦

👉1)):🌡 JINSI YA KUZUIA PRESHA YA KUSHUKA🌡

👉2)):💦Kunywa maji ya kutosha kila siku💦

👉3)):🌯Kula chumvi kidogo zaidi (kwa ushauri wa daktari)🏩

👉4)):🚶Epuka kusimama ghafla kutoka kwenye kitanda 🛏️

👉5)):🍝Kula milo midogo midogo mara nyingi🍝

👉6)):🍻Epuka pombe🍺

👉7)):🧦Vaeni soksi maalum za “compression stockings🧤

🧦((ikiwa umeshauriwa))🧦

👉8)):💊Tumia dawa k**a daktari amekuandikia💊

👉9)):🫀MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIU KUHISI UZITO MKUBWA😞

👉10)):😵‍💫KUHISI KIZUNGU ZUNGU*
KUPOTEZA ,KUMBU,KUMBU🧠

👉NTB:📌Pata dawa Na sindano za presha upate Ku linda afya yako 💊💉📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

karibuni nyote katika TIBBA ZETU tuombe mungu pamoya !! Masha Allah
02/12/2025

karibuni nyote katika TIBBA ZETU tuombe mungu pamoya !! Masha Allah

30/11/2025
Masha Allah
28/11/2025

Masha Allah

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 👉😔((UCHAFU KWENYE UKE NA MADHARA YAKE))😔 👉:1))🥨Uchafu Ukeni Unaweza Kuleta Madh...
28/11/2025

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

👉😔((UCHAFU KWENYE UKE NA MADHARA YAKE))😔

👉:1))🥨Uchafu Ukeni Unaweza Kuleta Madhara Makubwa Kwa Afya Yako ya Uzazi!🥨

👉:2))🤷‍♂️Bado unatokwa na uchafu ukeni? Na umekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu? Sio jambo la kawaida kabisa!🤷‍♂

👉:3))❄️Uchafu ukeni usio wa kawaida ni alama ya tatizo kwamba mwili wako unahitaji msaada🧑‍🔬

👉:4))⌚Kukaa na tatizo hili bila matibabu ni hatari kubwa inayoweza kuathiri uzazi wako siku za usoni ⌚

👉📌((Dalili Unazopaswa Kuzichukulia ma anani))📌

👉:1))🙊 Uchafu mwepesi au mzito wa rangi ya kijani, njano au kijivu au unaofanana na mgando🙊

👉:2))🙊Harufu kali isiyo ya kawaida (k**a ya samaki waliovunda🙊

👉:3))❄️Miwasho au kuchoma ukeni❄️

👉:4))😒Maumivu wakati wa kukojoa au tendo la ndoa😔

👉:5))❄️Uchafu unaoambatana na damu nje ya siku za hedhi🩸

👉:❄️Madhara Unayoweza, Ku wapata wanawake waliokutana na hali hii wanapata)))👩‍🦳

👉:1))❄️Maambukizi Sugu❄️

❄️((Chronic Infections))❄️

👉:2))❄️Uke unapopata maambukizi mara kwa mara, unadhoofika na huwa rahisi kushambuliwa tena❄️

👉:3))🥨Uvimbe kwenye Mirija ya Uzazi

❄️ ((PID)) ❄️

Maambukizi yasiyotibiwa huenea hadi kwenye mirija ya uzazi

🥨((fallopian tubes))🥨

na kuleta maumivu makali, ugumba au mimba nje ya mfuko wa uzazi🤰

👉:4))🥨Kuziba Mirija ya Uzazi:
Hali hii huzuia yai kufika kwenye mfuko wa uzazi, hivyo hupunguza nafasi ya kupata ujauzito🤰

👉:5))🤰Kupoteza Mimba au Kukosa Mimba Kabisa:
Maambukizi kwenye uke au kizazi huathiri mazingira ya mtoto kukua, au huzuia mimba kutunga kabisa🤰

👉:6))💦Uchafu Ukeni Sio Lazima Uka wepo Milele! ⌚

👉NB/📌Wengi wanasubiri hali ipone yenyewe bila kujua kwamba ndio wanalea tatizo hatimaye linakuwa kubwa..... na gharama kuongezeka📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

Asalam aleikum warahma tulahi wabarakatu 🧣((Ugonjwa wa saratani ya koo))🧣👉🧣Magonjwa ya koo ni hali au maradhi yanayoathi...
19/11/2025

Asalam aleikum warahma tulahi wabarakatu

🧣((Ugonjwa wa saratani ya koo))🧣

👉🧣Magonjwa ya koo ni hali au maradhi yanayoathiri sehemu ya koo (throat), ambayo ni njia inayopitisha hewa na chakula kati ya mdomo, pua, na tumbo au mapafu. Magonjwa haya yanaweza kusababishwa na bakteria, virusi, au hata mzio (allergy)🧣

🗣((Aina Kuu za Magonjwa ya Koo))🗣

👉1))🧣Tonsillitis (uvimbe wa tonsils🧣

❄️Husababishwa na bakteria au virusi❄️

Dalili: koo kuuma sana, kuvimba kwa tonsils, homa, harufu mbaya ya kinywa, maumivu wakati wa kumeza.

👉2))🥨Pharyngitis ((uvimbe wa koromeo))🥨

👉Mara nyingi husababishwa na mafua au virusi vya mafua😤

👉🗣Dalili: koo kukauka, kuwasha, kuuma, au sauti kupotea kwa muda🗣

👉3))🧣Strep Throat (koo kuvimba kutokana na bakteria “Streptococcus🧣

👉❄️Ugonjwa wa koo unaosababishwa na bakteria❄️

👉🥶😤Dalili: koo kuuma ghafla, homa, koo nyekundu, vijipele vidogo kwenye koromeo.🥶😤

👉4))🥨🗣Laryngitis (uvimbe wa sanduku la sauti)🗣🥨

👉🗣Husababisha sauti kukauka au kupotea🗣

👉🚬Sababu: maambukizi, kupaza sauti sana, au moshi wa sigara🚬

👉5))🧣Koo kavu au kuwasha kutokana na mzio au moshi🗣

👉❄️Hii si ugonjwa wa maambukizi bali ni muwasho unaosababishwa na mazingira💭

👉🗣Dalili: koo kukauka, kukohoa mara kwa mara, au hisia ya kitu kiko kooni🗣

👉🗣((Dalili za Kawaida za Magonjwa ya Koo))🗣

😣Maumivu wakati wa kumeza😖

🥵Koo kukauka au kuwasha🥵

😤Kukohoa😤

🤧Homa au mwili kuchoka🥶

🗣Sauti kubadilika au kupotea🗣

🗣Kuvimba kwa tezi chini ya shingo❄️

👉🗣((Sababu Kuu))🗣

👉❄️❄️Maambukizi ya virusi (mfano mafua, COVID-19)❄️❄️

❄️Maambukizi ya bakteria❄️

👉🚬Kuvuta sigara au kukaa kwenye moshi🚬

🤰Mzio (allergy) wa vumbi au poleni🤰

💦Kunywa vinywaji baridi kupita kiasi 🌊

👉🎤Kutumia sauti sana (mfano kuimba au kupaza sauti)🎤

👉💊((Matibabu))💊

👉❄️Magonjwa ya virusi: hupungua yenyewe kwa siku 5–10; tumia maji mengi, pumzika, na dawa za kupunguza maumivu❄️

👉❄️Magonjwa ya bakteria: unahitaji antibiotiki baada ya uchunguzi wa daktari👨‍🔬

👉🗣💦Kunywa maji ya uvuguvugu, asali, na tangawizi husaidia kupunguza maumivu.🗣💦

👉🚬Epuka sigara, pombe, na vyakula vya baridi.🍾🍻

👉🗣🗣((Njia za Kuzuia))🗣🗣

👉💦Osha mikono mara kwa mara✋

👉❄️🥨Epuka kutumia vyombo vya mtu mgonjwa🥨❄️

👉😴Lala vya kutosha na kula lishe bora*🥙🧆

👉🥶Kinga koo dhidi ya baridi (vaa skafu ikiwa ni baridi)🥶

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 👩‍🦰((DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI))👩‍🦰👉1:))🤰Mimba kuharibika🤰Uvimbe kwenye ut...
24/10/2025

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

👩‍🦰((DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI))👩‍🦰

👉1:))🤰Mimba kuharibika🤰

Uvimbe kwenye uterus hupelekea ugumu wa ukuaji wa mtoto na hivyo kupelekea mimba kuharibika.

👉2:))🤰Tumbo kuvimba🤰

👩‍🦰Wanawake wenye Uvimbe kwenye Kizazi Mara nyingi hupelekea tumbo kuvimba🤰

👉3:))🩸Hedhi isiyo ya kawaida))🩸

✏️🤰Uvimbe kwenye Kizazi hupelekea mambo makuu matatu kwa mwanamke katika Mfumo wake wa mzunguko wa hedhi.🩸📌

🩸🩸Kutokwa damu nyingi siku ya hedhi kuliko kawaida ⏰📌

🩸🩸Hedhi kutoka kuzidi siku ya ukomo⏰📌

🩸🩸Kutokwa damu siku ambazo sio za hedhi yaani katikati ya mzunguko wa hedhi.📌

👉4:))😞Maumivu kwenye Kizazi*
Husababisha maumivu kutokana na ukubwa,idadi na eneo Uvimbe ulipo.mara nyingi husababisha maumivu katika tumbo la chini na Mgongo.🤒📌

👉5:))⏰Mabadiliko kwenye kibofu*
Uvimbe kwenye Kizazi unaweza kupelekea mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo na kupelekea kukojoa Mara kwa Mara💦

👉6:))❄️MADHARA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI❄️

🥨Uvimbe Aina ya submucosal unakua ndani chini ya safu ya ndani ya kizazi unaweza kuathiri ushikaji wa mimba.Uvimbe huu unaweza kuzuia yai kushik**ana na ukuta wa Kizazi au mirija ya uzazi.🥨

👉7:))🩸Upungufu wa Damu🩸

🤰Uvimbe kwenye Kizazi unaweza kupelekea utokaji wa hedhi nzito kwa muda mrefu jambo ambalo huweza kupelekea upotevu wa damu nyingi,na kusababisha uchovu katika mwili😒

👉8:))🩸😔Mvurugiko wa hedhi🩸😔

🤰Uvimbe kwenye Kizazi hupelekea kutokea kwa hedhi isiyokuwa na mpangilio wa siku maalumu za mzunguko.⏰

👩‍🦰Maumivu ya Mara kwa mara*
Wanawake wenye Uvimbe mkubwa Kizazi Mara nyingi hukubwa na tatizo la maumivu hasa ya tumbo la chini ,kiuno na Mgongo.📌

👉8:))🙊Tatizo la kukosa Choo🙊

👩‍🦰🥨Mara nyingi Wanawake wenye changamoto ya Uvimbe kwenye Kizazi wamekuwa wakipatwa na tatizo la kupata Choo katika hali ya kawaida kutokana na kushinikiza utumbo mpana ,hasa ukiwa upo nyuma ya Mfuko wa Kizazi na hivyo kusababisha Constipation kujisaidia kwa shida yaani kinyesi punje punje🥨👩‍🦰

NUNUA DAWA ZETU KUPITIA MPESA:!!

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

Asalam aleikum warahma tulahi wabarakatu 👉🫀((DALILI ZA MOYO KUWA NA SHIDDA))🫀👉:1):🫁Maumivu ya kifua (hasa katikati au up...
18/09/2025

Asalam aleikum warahma tulahi wabarakatu

👉🫀((DALILI ZA MOYO KUWA NA SHIDDA))🫀

👉:1):🫁Maumivu ya kifua (hasa katikati au upande wa kushoto maumivu yanaweza kusambaa hadi mkono wa kushoto, shingo na taya🫁

👉:2):🗣Kupumua kwa shida au kukosa pumzi, hata ukiwa umepumzika😮‍💨

👉:3):😵‍💫Kuzimia au kizunguzungu mara kwa mara😵‍💫

👉:4):🫀Mapigo ya moyo kwenda haraka, polepole sana au kurukaruka (arrhythmia)🫀

👉:5):🦵Uvimbaji wa miguu, vifundoni au tumbo (dalili ya maji mwilini kutokana na moyo kushindwa kusukuma damu)🩸

👉:6):🥱Uchovu usioelezeka hata bila kufanya kazi nzito🧑‍🚀

👉:7):🤧Kikohozi cha muda mrefu au kikohozi chenye damu (k**a moyo umeathiri mapafu)🫁

👉:8):🤮Homa kali na mapigo ya moyo ya haraka (inaweza kuashiria maambukizi kwenye moyo – endocarditis)🫀

👉📌NTB):🫁Hata k**a maumivu ya kifua ni ya muda mfupi, yanaweza kuwa dalili ya mshtuko wa moyo🫀

👉📌NTB): Kwa kinga: pima moyo mara kwa mara, kudhibiti presha, sukari, na cholesterol, na kuishi kwa mtindo wa maisha bora (chakula, mazoezi, kuepuka sigara na pombe)🥂🍾🚬🚬

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 👉🦠 ((Miwasho ukeni))💦👉🦠(vaginal itching))💦📌husababishwa na mambo mbalimbali. ya...
28/08/2025

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

👉🦠 ((Miwasho ukeni))💦

👉🦠(vaginal itching))💦

📌husababishwa na mambo mbalimbali. ya visababishi vya kawaida😞

👉1)) : 🦠:Maambukizi ya fangasi 🦠((yeast infection))🦠 Huambatana na uchafu mweupe mzito na miwasho mikali 🦠 🤢

👉2)) : 🦠 Maambukizi ya bakteria 🦠((bacterial vaginosis))🦠 Husababisha harufu mbaya (k**a samaki), uchafu mwepesi kijivu, na miwasho.💦

👉3))💦 : Magonjwa ya zinaa 💦((STIs))💦Kama🦠((kisonono))🦠 ((chlamydia))🦠 au 🦠((trichomoniasis))🦠yanaweza kuleta miwasho na maumivu.😒

👉4))🫶 : ((Alerji))🫶kuvimba kutokana na sabuni, detergents, pads, au perfumes💄 Vitu hivi huweza kusababisha ukavu na muwasho.😓

👉5))🥵 : Ukavu wa uke* – Mara nyingi hutokea kwa wanawake waliokaribia au waliopo kwenye kipindi cha menopause.⏰

👉6))❄️ : Kujikuna au kushika sana ukeni kwa mikono michafu* – Huchangia kuingiza vimelea.❄️

👉7))🩲 : Nguo za ndani zisizoruhusu hewa (tight/synthetic)* – Huchangia joto na unyevu unaochochea bakteria.❄️

👉🗳️Ushauri:📌

👉 : kiwa miwasho🦠 ni ya mara kwa mara, kali, au ina ambatana na uchafu, harufu🤧au maumivu, ni tafute nkusaidie kabla shida haija kua kubwa 👍.

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatu 💦((Kuji cheuwa kwa mdaa mrefu ))❌👉💦Kwa ambaye amejichua kwa muda mrefu moja kwa ...
30/07/2025

Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatu

💦((Kuji cheuwa kwa mdaa mrefu ))❌

👉💦Kwa ambaye amejichua kwa muda mrefu moja kwa moja ameenda you mfumo wa homoni za kiume, mfumo wa mishipa ya uume, pamoja na mfumo wa never za fahamu.🧠

🎤Na ndio maana 76% ya wanaume ambao wamejichua kwa muda mrefu wanapitia Tatizo la kuwahi kufika kileleni mapema, uume kuwa legevu, uume kuwa mdogo, pamoja na kukosa hisia wakati wa kushiriki tendo la ndoa💁

Ntb:! 📌Na ndio maana unashauriwa sana kutumia hii package ambayo inaenda kujenga upyaa mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume💪

🌿Dawa hii Inamsaidia mwanaume kuwa na uwezo mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa zaidi ya mara moja au zaidi bila kuchoka mapema, uwezo wa kuchelewa kufika kileleni mapema, kuongeza uume uliosinyaa kutokana na Kujichua kwa muda mrefu kikubwa zaidi inaenda kusaidia kuongeza Kiwango cha mbegu za kiume.💦

Pata dawa hi kwa 3500ksh

Offer ni 3000ksh

Wai na mapema mabla over haija isha

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatu vipi hali zenu  🤲📌Na am ba,ada ya kua kimya kipindi kirefu  ni kua na harakati z...
23/07/2025

Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatu vipi hali zenu

🤲📌Na am ba,ada ya kua kimya kipindi kirefu ni kua na harakati za kazi nyingi zilizo nia ndama Ila alhamdhulilah tuko salama uhai wa afya bora kwa wale wagonjwa Allah awape shifa insha Allah na wale walio tuta ngulia Allah awa rehemu na awa semeh awape pepo katika pepo zake za janah amin 🤲

👉📔Tupate faida kidogo kwa kina mama na dada zetu .📌

💦((Faida ya uke kwa mwanamke))💦

👉📌Utokaji wa ute wenye afya ni ule usio na rangi au kwa mbali k**a maziwa na inaweza kuwa na harufu kidogo isiyo mbaya ya kukera.🤧

👉💦Ute Utakao Kuwezesha Kushika Ujauzito🫄

Huu kitalaam unaitwa

💦((cervical mucus)💦

👉💦 ni ute msafi k**a unavyo uona katika picha.📌 🖼

👉💦Hutokea kipindi cha hatari katika kila mzunguko wako ⌚

👉💦Ute huu unafaida nyingi zitazo kuwezesha kushika ujauzito 🫄

👉🫄Mojawapo ya faida yake ni kusaidia mbegu za kiume kusafirishwa kwa wepesi kwenda katika sehemu ya urutubishwaji wa kutengeza mimba (mtoto)🤱

👉💦Faida ya ute ni kuzilinda mbegu za kiume zisidhurike na bakteria au hali ya acid inayo kuwepo ukeni pia hulinda mfuko wa uzazi dhidi ya mashambulizi yoyote.❄️📌

ntb. 📌!! Ikiwa huwa hupati Ute huu katika mzunguko wako??📌

👉🤲Nifahamishe inbox ili niweze kukusaidia.in sha Allah.🤲

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

🎤  offer 🎤  offer. 🎤   offer. 🎤  offer. 🎤  offer.
17/07/2025

🎤 offer 🎤 offer. 🎤 offer. 🎤 offer. 🎤 offer.

Address

Mombasa

Telephone

+254706667399

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR ballkuss surtan kaimu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category