24/10/2025
ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU
👩🦰((DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI))👩🦰
👉1:))🤰Mimba kuharibika🤰
Uvimbe kwenye uterus hupelekea ugumu wa ukuaji wa mtoto na hivyo kupelekea mimba kuharibika.
👉2:))🤰Tumbo kuvimba🤰
👩🦰Wanawake wenye Uvimbe kwenye Kizazi Mara nyingi hupelekea tumbo kuvimba🤰
👉3:))🩸Hedhi isiyo ya kawaida))🩸
✏️🤰Uvimbe kwenye Kizazi hupelekea mambo makuu matatu kwa mwanamke katika Mfumo wake wa mzunguko wa hedhi.🩸📌
🩸🩸Kutokwa damu nyingi siku ya hedhi kuliko kawaida ⏰📌
🩸🩸Hedhi kutoka kuzidi siku ya ukomo⏰📌
🩸🩸Kutokwa damu siku ambazo sio za hedhi yaani katikati ya mzunguko wa hedhi.📌
👉4:))😞Maumivu kwenye Kizazi*
Husababisha maumivu kutokana na ukubwa,idadi na eneo Uvimbe ulipo.mara nyingi husababisha maumivu katika tumbo la chini na Mgongo.🤒📌
👉5:))⏰Mabadiliko kwenye kibofu*
Uvimbe kwenye Kizazi unaweza kupelekea mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo na kupelekea kukojoa Mara kwa Mara💦
👉6:))❄️MADHARA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI❄️
🥨Uvimbe Aina ya submucosal unakua ndani chini ya safu ya ndani ya kizazi unaweza kuathiri ushikaji wa mimba.Uvimbe huu unaweza kuzuia yai kushik**ana na ukuta wa Kizazi au mirija ya uzazi.🥨
👉7:))🩸Upungufu wa Damu🩸
🤰Uvimbe kwenye Kizazi unaweza kupelekea utokaji wa hedhi nzito kwa muda mrefu jambo ambalo huweza kupelekea upotevu wa damu nyingi,na kusababisha uchovu katika mwili😒
👉8:))🩸😔Mvurugiko wa hedhi🩸😔
🤰Uvimbe kwenye Kizazi hupelekea kutokea kwa hedhi isiyokuwa na mpangilio wa siku maalumu za mzunguko.⏰
👩🦰Maumivu ya Mara kwa mara*
Wanawake wenye Uvimbe mkubwa Kizazi Mara nyingi hukubwa na tatizo la maumivu hasa ya tumbo la chini ,kiuno na Mgongo.📌
👉8:))🙊Tatizo la kukosa Choo🙊
👩🦰🥨Mara nyingi Wanawake wenye changamoto ya Uvimbe kwenye Kizazi wamekuwa wakipatwa na tatizo la kupata Choo katika hali ya kawaida kutokana na kushinikiza utumbo mpana ,hasa ukiwa upo nyuma ya Mfuko wa Kizazi na hivyo kusababisha Constipation kujisaidia kwa shida yaani kinyesi punje punje🥨👩🦰
NUNUA DAWA ZETU KUPITIA MPESA:!!
buy good till number
( 6722029 )
🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥
Call//whatsupp
0754 092791 airtel
0706 667399 safaricom
🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪
💥🔪🔪((TIBBA ZA MKUCHAMBA MARIJAHN ))🔪🔪💥. !!