03/07/2025
Asalam Alaykum warahmatullahi wabarakatu
Ewe ndugu yangu katika imani jiepushe sana na ushirikina.
Na wale ambao tayari wameingia katika dhambi hii watubie kwa mwenyezi Mungu kabla ya kufikiwa na siku yao ya umauti
Ushirikiana ni miongoni mwa madhambi makubwa sana na ambayo mwenyezi Mungu anayachukia sana.