27/02/2026
π Jana katika Reef Hotel, matabibu walilalamikia kusitishwa kwa masomo ya juu kuanzia shahada wakisema hatua hiyo itaathiri ubora wa huduma za afya na kupunguza wataalamu wabobezi nchini.
Wameitaka serikali kutafakari upya uamuzi huo na kushirikisha wadau wa sekta ya afya kabla ya kuchukua hatua zaidi. π©Ί
Kenya Medical Training College
AMREF Flying Doctors
Keprecon