18/04/2026
JE, UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO? HII INAWEZA KUWA H. PYLORI! π€π₯
Pata vipimo vya H. Pylori kwa bei nafuu katika Kitengela East Community Hospital! β
π¬ Dalili za maambukizi ya H. Pylori:
βοΈ Maumivu ya tumbo yanayorudiarudia
βοΈ Kiungulia na gesi tumboni
βοΈ Kukosa hamu ya kula
βοΈ Kichefuchefu au kutapika
βοΈ Kupata choo kigumu au kuhara mara kwa mara
βοΈ Kushindwa kusaga chakula vizuri (indigestion)
βοΈ Kubeua mara kwa mara (belching)
π Jiunge nasi leo kwa uchunguzi wa haraka na matibabu bora!
π Piga simu: 0799 951290
π₯ Tembelea: Joeli House, Ground Floor, karibu na Kas Kas Hotel, Kyang'ombe, Kitengela
π Afya yako ni kipaumbele chetu!