11/02/2026
Secondary infertility ni pale mtu alipata mimba ama mtoto before, lakini sasa inakuwa ngumu kupata mwingine.
Dr. Marian anaeleza kuwa hii inaweza kusababishwa na fibroids, blocked fallopian tubes, hormonal imbalance, ama changamoto zingine za mfumo wa uzazi.
Through proper assessment na supportive care, reproductive health inaweza kuboreshwa.
Dr. Marian pia anaelezea kuhusu FIBLOcare, ambayo hutumika k**a supportive herbal solution kusaidia kubalance hormones, kusaidia uterine health, na kusaidia mwili kujirestore naturally.
K**a unajaribu kupata mtoto mwingine na things haziko sawa, kumbuka hauko peke yako 🤍