AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA NI MTAJI, Medical and health, WATETEZI WA AFYA YA JAMII, Nairobi.

*Ningependekeza yafuatayo kwa wale wanaotaka kuboresha lishe yao na kupunguza uzito:*1. *Epuka au Punguza Vyakula vya Ku...
15/08/2025

*Ningependekeza yafuatayo kwa wale wanaotaka kuboresha lishe yao na kupunguza uzito:*

1. *Epuka au Punguza Vyakula vya Kukaanga*: Jaribu kuepuka vyakula vya kukaanga au kupunguza ulaji wao. Badala yake, chagua njia mbadala za kupika k**a vile kuoka, kuchoma, au kupika kwa mvuke. Hizi mbinu husaidia kuhifadhi ladha na virutubisho muhimu bila kuongeza mafuta mengi.

2. *Tumia Mafuta Yenye Afya*: Ikiwa unahitaji kukaanga, tumia mafuta yenye afya zaidi k**a vile mafuta ya mizeituni, mafuta ya parachichi, au mafuta ya n**i. Mafuta haya yana kiwango cha chini cha mafuta yaliyojaa na mafuta ya trans.

3. *Jumuisha Mboga na Matunda kwa Wingi*: Ongeza mboga na matunda katika lishe yako ya kila siku. Vyakula hivi vina nyuzinyuzi, vitamini, na madini ambayo husaidia mwili kufanya kazi vizuri na pia vina kalori kidogo, ambavyo husaidia katika kupunguza uzito.

4. *Kula Vyakula Vilivyopikwa Nyumbani*: Kula chakula cha nyumbani mara nyingi zaidi. Unapopika nyumbani, una udhibiti juu ya viungo na njia za kupika.

10/08/2025

Karibu ujiunge na group la afya ujifunze namna nzuri ya kuishi na kula na kunywa kwa afyaa

*Je, Unajua..?* Kila unachoweka kwenye sahani yako leo kina uwezo wa kukuponya... Au kukuharibu kimya kimya kwa miaka mi...
31/07/2025

*Je, Unajua..?*

Kila unachoweka kwenye sahani yako leo kina uwezo wa kukuponya... Au kukuharibu kimya kimya kwa miaka mingi bila kugundua...!?😟

↳ Lishe duni siyo tu inakuumiza tumboni—inaweza hata kukufunga uzazi bila dalili za haraka....

↳ Chagua chakula hai (organic food)—kile kilichojaa uhai kutoka ardhini, siyo viwandani...

↳ Kula mboga mboga mbichi, matunda safi, nafaka zisizokobolewa, mbegu, njugu, na vyakula vya mimea...

↳ Epuka junk food zilizojaa kemikali, sukari nyingi, na mafuta mabaya— Ni adui mkubwa wa afya ya uzazi na kinga ya mwili...

*NB:* Kumbuka pia kufanya detoxification mara kwa mara— Ondoa sumu mwilini na Itakusaidia kuimarisha Hormone imbalance, Kwa wale wenye Uzito kupitia kiasi (Obesity) N.K

Afya yako ya kesho inaanza na sahani yako ya leo.

Kwa mahitaji ya huduma na ushauri usikose kufuatilia page yetu

Address

WATETEZI WA AFYA YA JAMII
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram