E. À. Kemlands

E. À. Kemlands Medical equipment suppliers. Health insights. Topical issues. Positive social change.

21/10/2016

Source:(www.Neemaherbalist.com)
Bamia ni mboga maarufu hapa Tanzania. Mbali na kuwa na ladha nzuri, lakini pia bamia ina faida mbalimbali za kiafya kwa mwili wa mwanadamu.

Zifuatazo ni faida ishirini ( 20 ) za kiafya za mboga mboga aina ya bamia.

1. Inapunguza kolestrol

2. Inasaidia kuondoa vimelea vya sumu kwenye ngozi.

3. Inasaidia katika kutibu magonjwa mbalimbali ya zinaa k**a vile kaswende, kisonono.

4. Vilevile inaponya tatizo la kwenda hedhi mara kwa mara na chango la k**e

5. Inasaidia kutibu pumu ( asthma)

6. Inaongeza kinga ya mwili

7. Ina utajiri mkubwa wa virutubisho aina ya fibre

8. Ina utajiri mkubwa wa virutubisho mwili aina ya protini ( hamirojo )

9. Ina saidia kuimarisha afya ya nywele

10. Inasaidia kupambana na tatizo la uchovu wa mwili, na msongo wa mawazo.

11. Inasaidia kutibu tatizo la kukosa choo.

12. Inawasaidia wanao sumbuliwa na tatizo la kisukari

13. Inasaidia kusafisha damu

14. Inasaidia kuponya mafua

15. Inasaidia kuondoa sumu mwilini

16. Inasaidia kutibu vidonda vya tumbo

17. Inasaidia kukinga tatizo la anemia

18. Ina kinga dhidi ya utapiamlo (unene uliopitiliza )

19. Inasaidia kuimarisha mifupa

20. Inasaidia kuimarisha mfumo wa uonaji

03/10/2016
03/10/2016

In need of medical equipment and supplies? E. A Kemlands is the solution. Feel free to contact us for more information and clarification.

Have a healthy week.

29/09/2016

Good morning Everyone. Be Healthy, Stay Safe.

Read on!
19/08/2016

Read on!

Turmeric has been a staple in cooking and chinese medicine for thousands of years. Here are some of the ways turmeric may benefit your body.

What you need to know.
11/02/2016

What you need to know.

virus. Currently present in 22 American countries. Here is an of what you need to know.

  virus. Currently present in 22 American countries. Here is an   of what you need to know.
09/02/2016

virus. Currently present in 22 American countries. Here is an of what you need to know.

http://fitlife.tv/10-reasons-you-should-be-drinking-lemon-water-every-morning/
01/02/2016

http://fitlife.tv/10-reasons-you-should-be-drinking-lemon-water-every-morning/

Written By Michelle Toole I start out each day with a large glass of room temperature lemon water. Lemons are rich in vitamins and minerals, particularly vitamin C, an antioxidant that boosts the immune system, protects against cardiovascular disease and even has cancer-fighting properties. Incorpor…

Address

Nairobi

Telephone

0708557846

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E. À. Kemlands posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to E. À. Kemlands:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram