Jinsi ya kushinda changamoto za uchumba na ndoa

Jinsi ya kushinda changamoto za uchumba na ndoa hakika uaminifu ndio nguvu ya mahusiano

11/10/2023

Listen, no man is perfect. and no woman is perfect. only God is perfect. now, if you are looking for a perfect person in this world, you will not find it, you will torture yourself in vain and you will search a lot, but you will not find it. so accept what you have said, give it time to get used to its limitations and life will go on.

12/07/2023
House for sale Bathroom 2Bethroom  3Single family Home located Cresthaven Ave,Orlando New beautiful Welcome
12/07/2023

House for sale
Bathroom 2
Bethroom 3
Single family
Home located
Cresthaven Ave,Orlando
New beautiful
Welcome

12/07/2023

Hello everyone, bilashaka ni amani.

Hello everyone, kila siku ni mpya. Alishaifanya Mungu, maisha yetu yanategemea nini umekusudia ndani ya moyo wako. Ikiwa...
21/06/2023

Hello everyone, kila siku ni mpya. Alishaifanya Mungu, maisha yetu yanategemea nini umekusudia ndani ya moyo wako. Ikiwa wewe ni mwanandoa unapaswa kujua au kukumbuka kwamba changamoto lazima zitakuwepo katika mahusiano. Kwahiyo ni jinsi gani umejiweka kukabiliana na hizo changamoto zitakapo tokea. Na tunapaswa kukumbuka kila mtu anamapungufu yake, namaanisha Mumeo anamapungufu yake na mkeo anamapungufu yake pia. Sasa wewe lazima uwe tayari kukabiliana na hayo yatakapo tokea. Na sio kuachana na mwenzi wako, suluisha na muendele mbele. Usijidanganye kila mwanaume unaemuona anamapungufu yake, na wewe kijana au baba usijidanganye kuwa wapo wasio sumbua, hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe kweli, sasa huyo ulie nae ndio utamuweza, ukipewa mwingine kaka utaona dunia ndogo. Wewe ng'ang'ana na huyo wako unamuweza. Napia agizo la Mungu wetu ni mume mmoja na mke mmoja mpaka kifo. Usiwaze kumuacha mumeo, usiwaze kumuacha mkeo. Nawapenda wote karibuni

13/06/2023

Hello everyone, we must know that a person's ways are right in his own eyes, so he has to create an environment for those people to accept his ways. They can be bad or good but how will those methods be accepted in society.

30/05/2023

Tendo lolote lisilotokana na Imani ni dhambi.

23/05/2023

Uchungu ulimi wako, huo utakuharibia kabisa maisha yako. Angalia kwa makini unachoongea mbele ya kila mtu. Uwe mwepesi wa kusikia lakini pia usiwe mwepesi kuzungumza.

23/05/2023

Habari za leo tena wadau wetu wa mahusiano na ndoa, wewe jitahidi sana usiwe Barbara ya kila mtu kupitia juu yako, dhamani yako itapotea kwa baraka sana kuliko unavyoweza kufikiria mwanamke, mwanaume.

05/09/2022

Hello everyone I know you mtu akijikubali hawezi kuogopa kuachwa na mwenzi wake

Address

Arusha Chini

Telephone

+255629138429

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jinsi ya kushinda changamoto za uchumba na ndoa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jinsi ya kushinda changamoto za uchumba na ndoa:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram