Jiko Tiba

Jiko Tiba Je, Unajua Jiko Lako ni Tiba Yako?

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS SUPPORT BONE HEALTH??Sea moss supports bone health due to its high content of essential minera...
18/09/2025

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS SUPPORT BONE HEALTH??
Sea moss supports bone health due to its high content of essential minerals like calcium, magnesium, and potassium, which are crucial for bone density and strength.

It also provides compounds that aid in collagen formation, helping to maintain bone strength and flexibility, and contains anti-inflammatory properties that can reduce inflammation and support healthy bone metabolism.

Do you want to improve your bone health and you don't know where to get seamoss? Well, don't worry we get you covered

Below are our price list and mind you whether you use gel or powder both have the same benefits and use

PRICE FOR SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

PRICE FOR SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

Jiko Tiba at the moment is in Arusha and we do delivery world wide

For more details you can contact us through WhatsApp/Call: 0716-786-871

***mcount

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS HAS MANY BENEFITS WHICH ONE OF THEM IS BOOST IMMUNE SYSTEM??Supports thyroid function: Sea mos...
17/09/2025

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS HAS MANY BENEFITS WHICH ONE OF THEM IS BOOST IMMUNE SYSTEM??
Supports thyroid function: Sea moss is a natural source of iodine, a mineral essential for the production of thyroid hormones that regulate metabolism.

Aids digestion and gut health: It is a good source of prebiotic fiber, which nourishes healthy gut bacteria. This can help support digestion and promote a healthy gut microbiome.

Boosts immunity: The antioxidants and anti-inflammatory properties found in sea moss, along with its vitamins and minerals like iron, can contribute to a healthier immune system.

Promotes heart health: As a high-fiber food, sea moss may help lower cholesterol and blood pressure, both of which support cardiovascular health.

Assists weight management: The high fiber content can help you feel full longer, which can aid in weight control by reducing overeating.

May help with exercise recovery: Some sea moss contains the amino acid taurine, which supports muscle building and recovery after a workout.

***mcount

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS IS RICH IN NUTRIENTS AND ANTIOXIDANTS THAT HELPS IN CLEANSING YOUR BODY?Sea moss is rich in nu...
16/09/2025

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS IS RICH IN NUTRIENTS AND ANTIOXIDANTS THAT HELPS IN CLEANSING YOUR BODY?
Sea moss is rich in nutrients and antioxidants that support the body's natural detoxification systems, primarily the liver, which filters toxins from the blood.

Sea moss provides the essential tools, like antioxidants and minerals, for these processes, rather than directly cleansing the blood itself.

WAYS WHICH SEAMOSS SUPPORT DETOXIFICATION:
Antioxidant content: Sea moss contains antioxidants like vitamin C and zinc, which help protect liver cells from damage and improve the liver's ability to metabolize toxins.

Nutrient density: Packed with over 90 essential vitamins and minerals, sea moss provides the necessary compounds for your body's natural detoxification pathways to function effectively.

Anti-inflammatory properties: The anti-inflammatory properties of sea moss can help reduce inflammation in the liver, improving its efficiency in filtering toxins.

PRICE FOR SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

PRICE FOR SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

FOR THE MOMENT WE ARE IN ARUSHA BUT WE DO DELIVERY TO ALL OUR CUSTOMERS ACROSS THE COUNTRY AT THE REASONABLE PRCIE

FOR MORE DETAILS YOU CAN CONTACT US THROUGH 0716-786-871

WELCOME SO MUCH AND WE ARE HERE TO SERVE YOU

***mcount

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS IMPROVE HEALTH OF A MAN’S S*X LIFE?Sea moss prevents erectile dysfunction for men and help wit...
09/09/2025

DID YOU KNOW THAT SEAMOSS IMPROVE HEALTH OF A MAN’S S*X LIFE?

Sea moss prevents erectile dysfunction for men and help with overall sexual health. Using sea moss as supplement is a great way to increase s***m count and improve s***m quality

PRICE FOR SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

PRICE FOR SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

FOR THE MOMENT WE ARE IN ARUSHA BUT WE DO DELIVERY TO ALL OUR CUSTOMERS ACROSS THE COUNTRY AT THE REASONABLE PRCIE

FOR MORE DETAILS YOU CAN CONTACT US THROUGH 0716-786-871

WELCOME SO MUCH AND WE ARE HERE TO SERVE YOU

***mcount

JE, ULIKUWA UNAJUA?Mwani ni mmea ulio sheheni madini kwa kiwango kikubwa k**a vile Magnesium na Calcium. Madini haya hui...
05/09/2025

JE, ULIKUWA UNAJUA?
Mwani ni mmea ulio sheheni madini kwa kiwango kikubwa k**a vile Magnesium na Calcium. Madini haya huimarisha afya ya mifupa, neva, macho na utendaji mzuri wa akili.

FAIDA NYINGINE ZA MWANI NI K**A IFUATAVYO:
1. Huzuia uvimbe wa tezi shingo
2. Hutupatia madini mbalimbali k**a vile madini joto, madini chuma, calcium, magnesium, copper, zinc na aina mbalimbali za vitamini k**a vile vitamini A, B-12, C, D, E na K.
3. Hutupatia mafuta mazuri ya aina ya omega-3, ambayo ni mazuri kwa afya na utendaji wa moyo, ini na ubongo.
4 Hupunguza kiasi cha mafuta mabaya mwilini,
5. Husaidia kupunguza unene na kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo, kiharusi, kisukari, mafua yatokanayo na mzio pamoja na saratani.
6. Mbogamboga zinazotokana na mazao ya baharini zina kiasi kikubwa cha viinilishe aina ya lignans ambavyo husaidia kudhibiti homoni za oestrogen zinazoweza kuchochea kutokea kwa tatizo la saratani ya matiti. Utumiaji wa mboga hizi kwa wingi, kunaweza kuwa ndicho kigezo cha kuwa na kiwango cha chini cha tatizo la saratani ya matiti.
7. Mazao ya baharini pia huimarisha afya ya mifupa, neva, macho na utendaji mzuri wa akili.
8. Pia chakula hiki hufyonza tindikali za tumboni na kupunguza kiungulia.
9. Mwani, hulainisha kinyesi na kufanya mtu ajisaidie vizuri bila kutumia nguvu nyingi za kusukuma au bila kupata maumivu wakati wa haja kubwa.
10.Tafiti kadhaa pia zinaonyesha kuwa chakula hiki huimarisha afya ya ngozi laini inayofunika sehemu ya ndani ya njia ya mfumo wa chakula na kuongeza idadi ya bakteria rafiki wanaoishi tumboni ambao wanaosaidia mtu kuwa na afya njema.

BEI ZA SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

BEI ZA SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

TUNAPATIKANA ARUSHA, MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KWA GARAMA ZA MTEJA

MAWASILIANO YETU NI 0716-786-871

KARIBU TUKUHUDUMIE

JE, UNAJUA KWA NINI UNASHAURIWA KULA MWANI?Mwani ni magugu bahari yanayotumika k**a chakula na dawa kwa ajili ya kutibu ...
04/09/2025

JE, UNAJUA KWA NINI UNASHAURIWA KULA MWANI?
Mwani ni magugu bahari yanayotumika k**a chakula na dawa kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali ya binadamu.

MATUMIZI YA MWANI
1. Sehemu mbalimbali duniani, mwani hutumika kutengeneza supu na aina mbalimbali za saladi.
2. Mwani pia hutumiwa kwa ajili ya kuzuia na kutibu tatizo la upungufu wa damu kutokana na ukweli kuwa, una asidi ya folate pamoja na rangi ya kijani inayojulikana k**a chlorophyll ambavyo husaidia kuongeza damu na kutibu matatizo ya upungufu wa damu mwilini.

KWA NINI ULE MWANI?
1. Hudhibiti viwango vya asidi tumboni (acid reflux).
2.  Kurekebisha tishu zilizoharibika.
3. Kuponya vidonda na kuondoa makovu na madoadoa mwilini.
4. Mwani una madini ya chuma husaidia kupunguza tatizo la upungufu wa damu.
5. Inasaidia katika  ukuaji wa kucha.
6. Kudhibiti au kupunguza maumbikizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo.
7.  Kuimarisha utendaji wa ini.
8. Hupunguza mafuta mwilini.
9. Kuzuia kuzeeka
10. Kutatua tatizo la ukosefu wa usingizi (Insomnia)
11. Huimarisha afya ya macho.

BEI ZA SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

BEI ZA SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

TUNAPATIKANA ARUSHA, MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KWA GARAMA ZA MTEJA

MAWASILIANO YETU NI 0716-786-871

KARIBU TUKUHUDUMIE

MWANI NI NINI?Mwani ni magugu bahari yanayotumika k**a chakula na dawa kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali ya binadam...
03/09/2025

MWANI NI NINI?
Mwani ni magugu bahari yanayotumika k**a chakula na dawa kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali ya binadamu.

FAIDA ZA MWANI MWILINI
1. Ina asidi amino muhimu kwa ukuaji wa mwilini.
2.  Ni "energy food" asilia.
3. Kuboresha afya ya ubongo na utendaji wake.
4. Kutatua tatizo la "hormonal imbalance"
5. Inapunguza/kuondoa  maumivu ya koo na kikohozi.
6. Kusaidia kuwa na mtitiriko  mzuri wa damu.
7. Dawa ya mafua sugu na "allergy" ya vumbi(mafua).
8. Kinga dhidi ya kansa
9. Huboresha afya ya figo.
10. Huimarisha afya ya akili, kupunguza wasiwasi, mawazo na unyogovu (depression).

BEI ZA SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

BEI ZA SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

TUNAPATIKANA ARUSHA, MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KWA GARAMA ZA MTEJA

MAWASILIANO YETU NI 0716-786-871

KARIBU TUKUHUDUMIE

IMARISHA MIFUPA NA MWANIMwani ni zao la baharini ambalo limesheheni madini kwa kiwango kikubwa k**a vile Magnesium na Ca...
02/09/2025

IMARISHA MIFUPA NA MWANI
Mwani ni zao la baharini ambalo limesheheni madini kwa kiwango kikubwa k**a vile Magnesium na Calcium. Madini haya huimarisha afya ya mifupa, neva, macho na utendaji mzuri wa akili.

Mwani unaweza kutumika kwa kuongezwa katika supu, chai, smoothie, mchuzi na unga wake waweza nyunyuzia kwenye matunda kuongeza ladha.

BEI ZA SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

BEI ZA SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

TUNAPATIKANA ARUSHA, MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KWA GARAMA ZA MTEJA

MAWASILIANO YETU NI 0716-786-871

KARIBU TUKUHUDUMIE

FAIDA ZA KUTUMIA MWANIUkitumia vizuri mwani k**a moja ya vyakula katika ratiba zako za mlo hamna ugonjwa wowote utaishi ...
01/09/2025

FAIDA ZA KUTUMIA MWANI
Ukitumia vizuri mwani k**a moja ya vyakula katika ratiba zako za mlo hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako.

Mwani ni mmea wenye madini muhimu 92 na mwili wa binadamu unahitaji madini muhimu 102. Pia mwani una kiwango kikubwa cha madini kwa pamoja kuliko mmea wowote DUNIANI na ulianza kutumika kwa tiba toka Karne ya 18.

MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA MWANI NI K**A YAFUATAYO:
CANCER, PRESSURE, ASTHMA, KISUKARI, TEZI DUME, MAGONJWA YA MOYO, MAGONJWA YA AKILI, lEUKEMIA-(kansa ya seli nyeupe ya damu na uboho wa mifupa), MATATIZO YA KUVURUGIKA KWA HORMONES KWA WANAUME NA WANAWAKE, MAGONJWA YA TUMBO NA MATATIZO YA MACHO

FAIDA ZA KUTUMIA MWANI.
1. Mwani una madini ya potasiamu, madini muhimu katika kushusha na kudhibiti shinikizo la juu la damu.(HBP)
2. Mwani unalainisha njia ya mfumo wa chakula, kuwezesha mmeng'enyo sahihi wa chakula, kusafisha utumbo na kutibu na kuzia vidonda vya tumbo.
3. Na linapokuja suala la kisukari, fucoxanthin katika mwani husaidia sana kuweka sawa kiwango cha sukari. Kumbuka upungufu wa magnesiamu unaweza kusababisha kisukari, na vyakula vingi havina au vina kiwango kidogo tu, mwani una kiwango kikubwa cha magnesium.
4. Mwani una madini ya Zinc kwa faida ya mwanaume. (Kuwahi na udhaifu wa mashine; mwani ndio suluhisho)
5. Kuhusu uzito na kitambi; mwani una (fibers) nyuzi nyuzi ambazo zinakufanya ujihisi umeshiba ila pia una "calories" kidogo sana.
6. Kutuliza maumivu ya viungo na mifupa sababu ina viwango vya madini vya "Calcium"
7. Mwani ni chakula cha alkali chakula muhimu katika kuzalisha kinga ya mwili.
8. Huondoa sumu mwilini
9. Kuondoa au kupunguza uvimbe mwilini.
10. Huimarisha afya ya ngozi na kutibu matatizo ya ngozi.

BEI ZA SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=

BEI ZA SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=

TUNAPATIKANA ARUSHA, MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KWA GARAMA ZA MTEJA

MAWASILIANO YETU NI 0716-786-871

KARIBU TUKUHUDUMIE

Address

Tengeru
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiko Tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram