Afya ya mwanamke.

Afya ya mwanamke. ushauri wa maginjwa yote ya wanawake pamoja na wenye changamoto za uzazi.

20/11/2025

Pale umefika sehem kali na nzuri alafu simu haina chaji mara gafla upate power bank vibe lake ndo huwa hivi.... hii ni chongqing nchini china...

07/10/2025

Unahitaji kuusikiliza moyo wako ili kuamua destiny yako

*USIHANGAIKE  KUTAFUTA  MIMBA K**A MZUNGUKO WAKO WA HEDHI HAUPO SAWA * SOMA MAKALA HII FUPI                        👇👇👇👇👇...
13/06/2024

*USIHANGAIKE KUTAFUTA MIMBA K**A MZUNGUKO WAKO WA HEDHI HAUPO SAWA *

SOMA MAKALA HII FUPI 👇👇👇👇👇👇👇

Mzunguko wa kawaida kwa mwanamke huchukua siku 28 ukianzia kuhesabau siku ya kwanza kupata hedhi katika mwezi husika mpaka siku ya kwanza kupata hedhi kwa mwezi unaofuata, lakini mizunguko inatofautiana kwa kila mwanamke. Pale ambapo mzunguko wako wa hedhi unachukua zaidi ya siku 35 hapo tunasema hedhi imevurugika.

``````NINI KISABABISHI CHA HEDHI KUVURUGIKA````

❤️Mchango wa homoni kuvurugika:

Homoni au vichocheo vikuu zinazoratibu mpangilio wa hedhi yako ni estrogen na progesterone, inaweza kuchukua miaka mingi kwa homoni hizi kuwa na uwiano sahihi. Vihatarishi ambavyo vinapelekea kuvurugika kwa homoni na hatimaye hedhi kuvurugika ni pamoja na

⏩Matumizi ya uzazi wa mpango wa kisasa k**a sindano, vidonge na njiti

⏩Uzito mkubwa kupita kiasi, kitambi au Kupungua uzito kupita kiasi

⏩Msongo wa mawazo
Changamoto za kushindwa kula vizuri na hivo kukosa virutibishi muhimu

⏩Mazoezi makali mfano riadha

⏩Kuugua maambukizi kwenye kizazi(PID) kwa muda mrefu: endapo maambukizi haya yasipotibiwa mapema yanaweza kuathiri mirija ya uzazi pamoja na kizazi kwa ujumla na hivo kuvuruga mpangilio wa hedhi.

⏩Uvimbe kwenye mayai(polycstic ovarian syndrome);mfuko wa mayai kwa mwanamake huitwa o***y na mifuko hii huwa miwili kushoto na kulia. Kila mwezi mwanamke hutoa yai moja kwenye kikonyo chake katika upande mmoja ili liweze kurutubishwa, inapotokea mayai kugoma kutoka kwenye mfuko ndipo uanageuka kuwa vimbe zenye maji (cyst) zikiwa nyingi huitwa polycyst. Changmoto hii ndio chanzo kikuu cha mwanamke kuvurugikiwa hedhi.

⏩Saratani kwenye kizazi inaweza kusababisha mwanamke kupata hedhi nzito sana ama hedhi katikati ya mzunguko wake

⏩Matatizo ya tezi ya shingoni (thyroid gland), tezi hii ndio inayoratibu utolewaji wa homoni za estrogen na progesterone, tezi ikipata hitilafu inapelekea kuvurugika kwa homoni na hivo hedhi pia kuvurugika.
Kuvimba kwa kiazi(endometriosis): hali hii hutokea pale seli za ndani ya ya mfuko wa mimba zinapota na kutoka nje ya mfuko wa mimba, hali hii hisababisha maumivu makali wakati wa hedhi lakini pia yaweza kusababisha mabaki ya hedhi kwenye kizazi.

🥦CHANGAMOTO hii imefanya watu wengi wanahangaika kupata mimba, na k**a hutaweka mfumo wako wa hedhi sawa, basi huwezi pata mimba kamwe...

🌎Sasa Nini cha kufanya ili mzunguko wako u kae sawa.??

🏃‍♀️Wahi mapema kwenye CLINIC ZETU zilizopo mikoa mbalimbali Tanzania

🩺Ushauri wa kitaalamu

💊Matibabu ya uhakika ya tatizo lako.

📲KWA MAWASILIANO
📞PIGA 0765 901 756

Au bonyeza link hapo chini👇 kuwasiliana na daktari https://wa.me/message/2MCZJVJJVHOTJ1

Leo ndio mwisho wa changamoto yako ya uzazi nitafte nikusaidie ..
16/09/2023

Leo ndio mwisho wa changamoto yako ya uzazi nitafte nikusaidie ..

Je umewahi kufurahia kitambi..??🤓   K**a jibu lako litakuwa ndio basi nikupe pole Sana...🤗 Ungana nami nikupe darasa kid...
07/09/2023

Je umewahi kufurahia kitambi..??🤓
K**a jibu lako litakuwa ndio basi nikupe pole Sana...🤗 Ungana nami nikupe darasa kidogo
👇👇👇👇👇👇

🔅KITAMBI
ni Hali ya kuwa na tumbo kubwa ambalo limechomoza kwa mbele, na wakati mwingine kuning'inia isivyo kawaida..
❇️Ni ugonjwa K**a magonjwa mengine na huweza kumpata yeyote
Kutana na rafiki yangu alienusurika kupata Ugumba kwa sababu ya KITAMBI

Unajua kwanini🤗
Baadhi ya watu huchukulia KITAMBI K**a ishara ya UFANISI au MAFANIKIO YA MAISHA.
🔯hapa chini nakuletea baadhi ya changamoto na matatizo ya unene na KITAMBI
👇👇👇👇👇👇👇

♦️UGONJWA WA KISUKARI; hii ni ugonjwa ambao mwili hushindwa kupambana na wingi wa sukari uliopo ndani ya mwili wa binadamu kutoka kwenye chakula anachokula kila siku na hii huweza kusababishwa kutotengenezwa kabisa kwa homoni ya insulin[diabetes type one] au homoni ya insulin kushindwa kuingia ndani ya cell nene[fat cell] ambazo huwepo mtu akiwa mnene sana. Ugonjwa huu unaathiri sana watu wazima kwanzia miaka arobaini kwani wengi wao hushindwa kupambana na uzito.ugonjwa huu unaweza kuanza bila mgonjwa kujua na kuja kujua k**a anaumwa katika steji za mwisho ambapo wengi hukatwa miguu baada ya kupata vidonda visivyopona. Hakuna dawa ya kutibu kabisa ugonjwa huu ila kuna dawa za kusaidia kushusha sukari na hutumika kwa maisha yote.

♦️UGONJWA WA MOYO: mafuta mengi ndani ya mwili wa binadamu hujaa kwenye mishipa ya damu na kuzuia damu kupita kirahisi hivyo moyo hutanuka na kuongezeka ukubwa ili utengeneze presha kubwa ya kusukuma damu ndani ya mishipa hiyo na dakika za mwisho moyo hushindwa kabisa kufanya kazi. Mgonjwa huyu huhitaji dawa za kuusaidia moyo kufanya kazi kwa maisha yake yote na ikitokea akaacha dawa, moyo unaweza kusimama na kusababisha kifo.

♦️VIFO VYA GAFLA SANA: ukichunguza watu wengi ambao wamekufa ghafla ni wenye uzito uliopitiliza na watu hawa hufa usingizini na kukutwa marehemu asubuhi, hii ni kwasababu unene husababisha hali Fulani inaitwa sleep apnoea ambayo muhusika husimama kupumua kwa muda wakati amelala afu anendelea, wakati mwingine kusimama kwa kupumua kunasababisha kifo kabisa.kupumua kwa muda wakati amelala afu anendelea, wakati mwingine kusimama kwa kupumua kunasababisha kifo kabisa.

♦️ KANSA ZA AINA MBALI MBALI ; unene hufanya mwili kushindwa kupambana na seli zinazosababisha kansa hivyo mtu hua kwenye hatari ya kupata kansa ya figo, kansa ya kizazi, kansa ya utumbo mkubwa, kansa ya maini, kansa ya tezi dume, kansa ya kongosho, kansa ya koo, kansa ya matiti, kansa ya mlango wa uzazi na nyingine nyingi.

♦️ KUISHIWA NGUVU ZA KIUME; kuna kasumba za mtaani wanasema wanaume wembamba wanajua sana kuridhisha wanawake…hii ni kweli kabisa kwani wanaume wanene huchoka sana kwa shughuli ndogondogo na ikifika jioni huwa hawawezi kufanya chochote lakini pia mafuta mengi kwenye mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume hufanya uume uishiwe nguvu kabisa hivyo matibabu ya nguvu za kiume kwa watu waha ni kupunguza unene tu wala hakuna miujiza yeyote katika hili.

♦️UGUMBA KWA WANAWAKE; unene husababisha homoni za wanawake kutokua katika mfumo mzuri[unbalanced] na pia wanawake hawa hupata sana kansa za mifuko ya uzazi yaani fibroids hali hii huweza kusababisha kutozaa kabisa. Ni vizuri k**a unaona unashindwa kupambana na unene wako uzae mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.

♦️MAGONJWA YA JOINT'S NA MIGUU[osteoarthritis}; mwili hubeba uzito kulingana na urefu wa mtu husika, mtu akiwa mnene sana jointi za mwili hasa za miguuni[knee joints] huanza kuasagana na kusababisha maumivu makali mno na mtu hushindwa kutembea kabisa..hali hii hutibiwa na dawa za maumivu kupunguza makali lakini suluhisho la moja kwa moja la hali hii ni kupunguza uzito.

♦️PRESHA YA DAMU; k**a nilivyozungumzia kwenye tatizo la moyo linavyoanza, pia kitu kilekile hutokea kwenye mishipa ya damu mafuta yanapokua mengi.... yaani moyo hutumia nguvu nyingi kusukuma damu ili ifikie viungo vingine na hapo ndipo presha ya damu inapoanza. Hakuna dawa ya kutibu kabisa tatizo hili ila kuna dawa watu hupewa kupunguza presha na humezwa maisha yote.

♦️ KIHARUSI [STROKE]; hili ni tatizo linalotokea pale ambapo damu inaingia kwa presha kubwa kichwani na kupasua mishipa ya ubongo au mishipa ya ubongo inapoziba na mafuta..hii husababisha upande mmoja wa mwili wa binadamu kupoteza uwezo wake wa kufanya kazi na hii huleta ulemavu wa muda mrefu sana, japokua watu hawa kuna mazoezi wakifanyiwa huweza kurudi kwenye hali zao za kawaida.

♦️ MATATIZO YA KIJAMII; aina ya maisha ya watu wanene hua tofauti kidogo na watu wengine, watu wanene hushindwa kujishirikisha kwenye shughuli za michezo, kucheza mziki,kuogelea na hata kupata ubaguzi wakati mwingine wakati wa kutafuta mpenzi au kazi..utafiti unaonesha asilimia arobaini na moja ya wanaume huacha wanawake zao kwa sababu ya kunenepa na asilimia kumi na nne ya wanawake huacha wanaume zao kwa sababu ya kunenepa.

➡️➡️➡️➡️➡️➡️➡️

🫴ikiwa wewe ni muhanga wa tatizo hili la KITAMBI basi fanya yafuatayo ....

⏩muone daktari kwa ajili ya ushauri

⏩fanya vipimo vya mfumo wa mwili kuangalia changamoto zingine zaidi

⏩bonyeza link hii kupata msaada wa daktari.... https://wa.me/message/TYENVI5DWJAKL1

*USIHANGAIKE  KUTAFUTA  MIMBA K**A MZUNGUKO WAKO WA HEDHI HAUPO SAWA * SOMA MAKALA HII FUPI                        👇👇👇👇👇...
08/07/2023

*USIHANGAIKE KUTAFUTA MIMBA K**A MZUNGUKO WAKO WA HEDHI HAUPO SAWA *

SOMA MAKALA HII FUPI 👇👇👇👇👇👇👇

Mzunguko wa kawaida kwa mwanamke huchukua siku 28 ukianzia kuhesabau siku ya kwanza kupata hedhi katika mwezi husika mpaka siku ya kwanza kupata hedhi kwa mwezi unaofuata, lakini mizunguko inatofautiana kwa kila mwanamke. Pale ambapo mzunguko wako wa hedhi unachukua zaidi ya siku 35 hapo tunasema hedhi imevurugika.

``````NINI KISABABISHI CHA HEDHI KUVURUGIKA````

❤️Mchango wa homoni kuvurugika:

Homoni au vichocheo vikuu zinazoratibu mpangilio wa hedhi yako ni estrogen na progesterone, inaweza kuchukua miaka mingi kwa homoni hizi kuwa na uwiano sahihi. Vihatarishi ambavyo vinapelekea kuvurugika kwa homoni na hatimaye hedhi kuvurugika ni pamoja na

⏩Matumizi ya uzazi wa mpango wa kisasa k**a sindano, vidonge na njiti

⏩Uzito mkubwa kupita kiasi, kitambi au Kupungua uzito kupita kiasi

⏩Msongo wa mawazo
Changamoto za kushindwa kula vizuri na hivo kukosa virutibishi muhimu

⏩Mazoezi makali mfano riadha

⏩Kuugua maambukizi kwenye kizazi(PID) kwa muda mrefu: endapo maambukizi haya yasipotibiwa mapema yanaweza kuathiri mirija ya uzazi pamoja na kizazi kwa ujumla na hivo kuvuruga mpangilio wa hedhi.

⏩Uvimbe kwenye mayai(polycstic ovarian syndrome);mfuko wa mayai kwa mwanamake huitwa o***y na mifuko hii huwa miwili kushoto na kulia. Kila mwezi mwanamke hutoa yai moja kwenye kikonyo chake katika upande mmoja ili liweze kurutubishwa, inapotokea mayai kugoma kutoka kwenye mfuko ndipo uanageuka kuwa vimbe zenye maji (cyst) zikiwa nyingi huitwa polycyst. Changmoto hii ndio chanzo kikuu cha mwanamke kuvurugikiwa hedhi.

⏩Saratani kwenye kizazi inaweza kusababisha mwanamke kupata hedhi nzito sana ama hedhi katikati ya mzunguko wake

⏩Matatizo ya tezi ya shingoni (thyroid gland), tezi hii ndio inayoratibu utolewaji wa homoni za estrogen na progesterone, tezi ikipata hitilafu inapelekea kuvurugika kwa homoni na hivo hedhi pia kuvurugika.
Kuvimba kwa kiazi(endometriosis): hali hii hutokea pale seli za ndani ya ya mfuko wa mimba zinapota na kutoka nje ya mfuko wa mimba, hali hii hisababisha maumivu makali wakati wa hedhi lakini pia yaweza kusababisha mabaki ya hedhi kwenye kizazi.

🥦CHANGAMOTO hii imefanya watu wengi wanahangaika kupata mimba, na k**a hutaweka mfumo wako wa hedhi sawa, basi huwezi pata mimba kamwe...

🌎Sasa Nini cha kufanya ili mzunguko wako u kae sawa.??

🏃‍♀️Wahi mapema kwenye CLINIC ZETU zilizopo mikoa mbalimbali Tanzania

🩺Ushauri wa kitaalamu

💊Matibabu ya uhakika ya tatizo lako.

📲KWA MAWASILIANO
📞PIGA 0755853048

Au bonyeza link hapo chini👇 kuwasiliana na daktari

https://wa.me/message/TYENVI5DWJAKL1

Address

Levolosi
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 17:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mwanamke. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya mwanamke.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram