Twaib Herbal Products

Twaib Herbal Products Twaib Herbs ni wazalishaji na wasambazaji wa dawa za asili zinazotokana na miti,magome,majani,mizizi,mbegu/arabic medicines na virutubisho asili.

Dawa zetu hazina kemikali yoyote. Karibu upate huduma bora kwa jumla na rejareja
๐ˆ๐ง๐ฌ๐ก๐š'๐€๐ฅ๐ฅ๐š๐ก๐Ÿ™

๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—œ (๐—Ÿ๐—ฎ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ) Huu ni mmea wa asili unaotibu maradhi mengi zaidi,yakitumika maua,majani na mizizi yake.  Leo tut...
06/04/2026

๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—œ (๐—Ÿ๐—ฎ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ)
Huu ni mmea wa asili unaotibu maradhi mengi zaidi,yakitumika maua,majani na mizizi yake.
Leo tutaelezea hili moja tu la
๐— ๐—”๐—ง๐—˜๐—ง๐—˜ ๐— ๐—”๐—๐—œ/๐— ๐—”๐—ง๐—˜๐—ง๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”๐—ก๐—š๐—”.
Tetekuwanga husababisha homa na mwasho wa vipele vidogo, malengelenge yaliyovimba au alama za magamba

Tetekuwanga husambaa kirahisi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine

Kwa kawaida tetekuwanga huwa si kali sana kwa watoto wenye afyaโ€”na mara nyingi hupata ahueni pasipo shida yoyote

Kwa watu wenye mfumo dhaifu wa kingamwili, tetekuwanga inaweza kuwa kali na yenye kutishia maisha

Hata baada ya kupata ahueni, virusi vya tetekuwanga hubaki mwilini mwako

Miaka mingi baada ya kupona tetekuwanga, virusi hao hao wanaweza kusababisha mkanda wa jeshi, vipele uchungu vya malengelenge yaliyojaa majimaji

๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐—ง๐—˜๐—ง๐—˜๐—ž๐—จ๐—ช๐—”๐—ก๐—š๐—”
Chemsha mmea huu wa mvuti kwa kukata matawi na majani yake.
โœฆ๐Œ๐€๐“๐”๐Œ๐ˆ๐™๐ˆ
๐Œ๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š๐Ÿ‘‡
Tumia kujifukiza na kuoga maji yake asubuhi na jioni.
-kisha kunywa ujazo wa kikombe cha chai kutwa mara 2.
๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ
-Chini ya miaka 5 atanyweshwa kijiko 1 cha chakula na kuogeshwa kutwa mara 2.
-Zaidi ya miaka 5 atapewa vijiko 2,kufukizwa kidogo na kuogeshwa hayo maji kutwa mara 2.

โœฆ๐ƒ๐Ž๐™๐ˆ ๐๐ˆ ๐’๐ˆ๐Š๐” 3.
๐ˆ๐๐’๐‡๐€๐€๐‹๐€๐‡๐Ÿ™
๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ/๐Ÿ“ž +255767607724

FUKUZA MASHETANI WA KIJINI NA WACHAWI NYUMBANI NA SEHEMU YA BIASHARA.FUKUZA MASHETANI WA KIJINI NA WACHAWI NYUMBANI NA S...
03/04/2026

FUKUZA MASHETANI WA KIJINI NA WACHAWI NYUMBANI NA SEHEMU YA BIASHARA.
FUKUZA MASHETANI WA KIJINI NA WACHAWI NYUMBANI NA SEHEMU YA BIASHARA.
๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—›๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—™๐—จ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—ฆ๐—›๐—˜๐—ง๐—”๐—ก๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ช๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ช๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ก๐—ฌ๐—จ๐— ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—”๐—จ ๐—ฆ๐—˜๐—›๐—˜๐— ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”.

1.Mifupa ya samaki

2.mvuje

3.Unga wa kitunguu swaumu

4.Halititi

5.Mizizi ya ndulele

6.Mizizi ya kivumbasi

7.Miatusaila

8.Karafuu maiti

9.Sandarusi.

10.Majani ya Mkaratusi

11.Mruturutu

๐—จ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜‡๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ 2.

๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—”๐—ฃ๐—ข ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ญ๐—œ ๐— ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—›๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—ฆ๐—›๐—˜๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—–๐—›๐—”๐—ช๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—”๐—–๐—›๐—”๐—™๐—จ.

๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—น๐—ฒ

-Kuhisi vitu vinatembea juu ya bati au darini

-Kuhisi k**a kuna sauti za ajabu ndani ya nyumba

-Ugomvi na kutokuwa na maelewano nyumbani au sehemu za biashara

-Kuota ndoto za ajabu na kuweweseka ukiwa katika nyumba hiyo.

-Vifungo vya nyumba

-Kupotea kwa vitu bila sababu ndani ya nyumba au sehemu za biashara.

-Na mengineyo zaidi.

โœฆ๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐—ต๐˜‚๐—ผ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜„๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ

+255767607724

MUNGU AMETUUMBA ILI TUSAIDIANE KWANI NNALOJUA MIMI WEWE HUJUI,NA UNALOJUA WEWE MIMI SIJUI KARIBU KWA UWEZO WA ALLAH TUKUTATULIE CHANGAMOTO. INSHA'ALLAH๐Ÿ™

03/04/2026

Hii kali sana kwa vibaka wa simu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

๐Š๐ˆ๐๐† ๐†๐Ž๐๐Ž๐‘๐„ (๐—ž๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—บ๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ/๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ).๐‘ท๐‘ฌ๐‘ต๐‘ฐ๐‘บ ๐‘ฌ๐‘ต๐‘ณ๐‘จ๐‘น๐‘ฎ๐‘ฌ๐‘ด๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป  "๐Š๐ฎ๐ค๐ฎ๐ณ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐ž๐ณ๐š ๐ƒ๐ก๐š๐ค๐š๐ซ(๐”๐ฎ๐ฆ๐ž)"Dawa asili ya mafuta yeny...
01/04/2026

๐Š๐ˆ๐๐† ๐†๐Ž๐๐Ž๐‘๐„ (๐—ž๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—บ๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ/๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ).
๐‘ท๐‘ฌ๐‘ต๐‘ฐ๐‘บ ๐‘ฌ๐‘ต๐‘ณ๐‘จ๐‘น๐‘ฎ๐‘ฌ๐‘ด๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป
"๐Š๐ฎ๐ค๐ฎ๐ณ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐ž๐ณ๐š ๐ƒ๐ก๐š๐ค๐š๐ซ(๐”๐ฎ๐ฆ๐ž)"

Dawa asili ya mafuta yenye mehanganyiko na unga wa magome na mizizi ya miti.
Husaidia:-
1. Kurefusha na kunenepesha dhakar (uume) kwa haraka ndani ya siku 14-21
2. Huipa misuli ya dakar (uume) nguvu na kufanya isimame imara zaidi na kuondoa hali ya ulegelege.

๐๐ˆ ๐Œ๐๐˜๐€ ๐๐€ ๐–๐„๐๐†๐ˆ ๐–๐€๐๐€๐ˆ๐…๐”๐‘๐€๐‡๐ˆ๐€.

MATUMIZI:
Hutumika kwa kuchua dhakari mwanzo wa uume kwenda mbele, utafanya bila kurudisha nyuma kwa dakika 5 au 7.

๐——๐—˜๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜๐—ฅ๐—ฌ ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ข๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—จ ๐—ก๐—” ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ข ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—ฆ๐—”๐—™๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—›๐—˜๐— ๐—จ ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ก๐—๐—˜ ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—–๐—›๐—œ.

๐—ช๐—˜๐—ž๐—” ๐—ข๐——๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—›๐—”๐—ฃ๐—”
+255767607724
โœฆ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ผ.

๐Š๐ข๐ง๐  ๐†๐จ๐›๐จ๐ซ๐ž
A natural herbal medicine with a mixture of bark powder and tree roots.
Helps:
1.Pen*s enlargement quickly within 14-21 days
2.Gives strength to p***s muscle and makes it stand
Lore firmly and removes the condition of laxity.

USAGE:
Apply oil beginning of the p***s by move forward, Do it withoutpulling back for 5 or 7 minutes.
For more information call us.
๐‚๐จ๐ง๐ญ๐š๐œ๐ญ ๐ฎ๐ฌ
+255767607724

โ‡JITIBU FIZI ZINAZOUMA    โ—พChukua punje 3 za vitunguu thaum(swaum) na madonge 3 ya chumvi ya mawe.Ponda ponda mpaka vila...
01/04/2026

โ‡JITIBU FIZI ZINAZOUMA
โ—พChukua punje 3 za vitunguu thaum(swaum) na madonge 3 ya chumvi ya mawe.Ponda ponda mpaka vilainike kisha tia maji kidogo na usubiri chumvi iyeyuke.

Tumia kusukutua kwa dakika 5 kisha tema fanya hivyo kutwa mara 3(1x3)
โ—พTUMIA DOZI YAKO KWA SIKU 3 AU 5.
kwa ushauri na maelezo
โšซ+255767607724
ku like na ku share ili kusaidia wengine na Mungu atakubariki.Fuatilia huduma za Twaib Herbal Products zaidi

LINDA AFYA YA TUMBO LAKO KUEPUKA GESI NA TINDIKALI(ACID): โœฆVyakula vya kuepuka na vyakula vya bora kwa ajili ya  mmeng'e...
01/04/2026

LINDA AFYA YA TUMBO LAKO KUEPUKA GESI NA TINDIKALI(ACID):
โœฆVyakula vya kuepuka na vyakula vya bora kwa ajili ya mmeng'enyo mzuri ndani ya tumbo.
โœฆTambua kuwa tumbo lako huchukua kwa kile unachokula kila siku.Mfano:
Vyakula vya kuoka,vyakula vyenye sukari nyingi,vitu vya kukaanga,vinywaji laini(soda n.k), na kiwango kikubwa chumvi vinaweza kuwashawishi tumbo kuhifadhi asidi,kuvimbiwa, maumivu, na kuharibika kwa mmeng'enyo mzuri wa chakula.

โœฆKwa upande mwingine, vyakula vyema vinaweza kusaidia tumbo lako.
Jitahidi kupunguza vyakula hivi:
Vyakula vya kuoka,vyakula vya kukaanga,vitafunio vya sukari,pombe,nyama iliyosindikwa.

๐ŸŒณ๐‚๐‡๐”๐Œ๐•๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐–๐„ ๐๐€ ๐”๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” ๐–๐€๐Š๐„.Wajukuu zangu kwanini nisitumie hekima zangu kuwagusia na nyie kile nilichojaaliwa na Mu...
31/03/2026

๐ŸŒณ๐‚๐‡๐”๐Œ๐•๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐–๐„ ๐๐€ ๐”๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” ๐–๐€๐Š๐„.
Wajukuu zangu kwanini nisitumie hekima zangu kuwagusia na nyie kile nilichojaaliwa na Mungu ili nanyi mpate faida.
Dunia kwa sasa imebadilika wengi tunakumbana na tabu,chuki,vifungo na kila aina ya matatizo na haya yanasababishwa na sisi wenyewe wanadamu.

Tuanze na somo la leo ambalo linahusu matumizi ya chumvi ya mawe.๐Ÿ‘‡
1.Tumia chumvi ya mawe puje 14 kuweka chini ya mto unaolalia mjukuu wangu utakachokiota kesho njoo inbox unisimulie nikwambie nini tatizo na suluhisho lake.
2.Tumia kuoga asubuhi na jioni ndani ya siku 7 mfululizo kwa uwezo wa Mungu itakuondosha nuksi na mikosi mwilini.
3.Ukioga siku 7 usafisha nyota yako.
4.Weka kila kona ya pembe ni kinga kwa wachawi.
5.Ukichanganya na unyayo wa mpenzi wako itasaidia kusambaratisha mchepuko wake.
6.Tia katika maji kisha uwe unapaka k**a mafuta itakupa mvuto wa mwili,muonekano na pesa.
7.Ikiwa mpenzi wako humuelewi basi mchomee siku 7 kwa manuizi,mjukuu wangu utanirejeshea majibu๐Ÿคฃ
8.Ukichanganya kivumbasi na chumvi ya mawe kisha ukadekia ndani hukimbiza uchawi na majini wachafu.Katika baishara tumia kufanyia usafi na kunyunyiza maji hayo Inshaallah biashara itafunguka.
9.Chumvi ya mawe ni hatari kwani inaweza kumuhamisha adui.
10.Saga chumvi ya mawe na pilipili ndefu nyembamba zile nyekundu kisha funga katika kitambaa cheupe weka mfukoni au katika begi nakwambia hivi:
โœฆUkienda kuomba kazi au msaada popote inajibu kirahisi
โœฆUkimfuata unaemdai basi hatokuchenga k**a anacho ni muda huo huo anakulipa.
โœฆYani utakumbukwa na kuthaminiwa hata wale waliokuwa wamekusahau.


(sms/piga/whatsAp)
+255767607724
Twaib Herbal Products
Share usaidie wengine na Mungu atakubariki๐Ÿ™

31/03/2026

Twaib Herbal Products

๐…๐€๐ˆ๐ƒ๐€ ๐™๐€ ๐๐”๐’๐”
โœฆHuondosha mawazo
โœฆHuunguza kalori mwilini
โœฆHusawazisha utulivu wa ubongo
โœฆHuweka sawa mapigo ya moyo na utulivu wa mwili.

๐—™๐—”๐—ฅ๐—›๐—œ๐—ฌ๐—”  ๐—ฃ๐—ข๐—ช๐——๐—˜๐—ฅ   (๐™๐™ฏ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™’๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™–๐™ ๐™š)           ๐–๐จ๐ฆ๐š๐ง ๐…๐ž๐ซ๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐ญ๐ฒHii ni dawa ya unga yenye mchanganyiko wa dawa za kiarab...
30/03/2026

๐—™๐—”๐—ฅ๐—›๐—œ๐—ฌ๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ช๐——๐—˜๐—ฅ
(๐™๐™ฏ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™’๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™–๐™ ๐™š)
๐–๐จ๐ฆ๐š๐ง ๐…๐ž๐ซ๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐ญ๐ฒ
Hii ni dawa ya unga yenye mchanganyiko wa dawa za kiarabu/sunnah na miti asili zaidi ya 10.
Mungu ni mjuzi na apendapo yeye dawa hii ni suluhisho zaidi kwani:
1.Husaidia kuevusha mayai ya uzazi kwa haraka na kurejesha ute ute ukeni.
2.Hurekebisha homoni na matatizo yote ya mwanamke
3.Huzibua mirija na kusafisha kizazi.
4.Hutibu chango la uzazi.
5.Huondoa maumivu wakati wa hedhi hasa mgongo,kiuno na tumbo.
6.Hutibu tatizo la damu kutoka mabonde mabonde na yenye harufu mbaya.
7.Hutibu fangasi na P.I.D

๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—ญ๐—œ:
Tumia kijiko 1 cha chai katika kikombe cha maji moto koroga vizuri kisha kunywa kutwa mara mbili(1x2).
๐—–๐—ฎ๐—น๐—น/๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐˜‚๐˜€
+255767607724


FARHIYA POWDER
Women Fertility
This is a powder medicine with a combination of Arabic/Sunnah medicines and more than 10 natural herbal trees.
By the powerfull of ALLAH this medicine is the best solution for women because:
1.It helps to fertilize eggs quickly and restore mucus in the va**na.
2.It adjusts Hormone Imbalance
3.Uncovers the falopian tubes and cleans the cervix.
4.Treats ovulation disorders.
5.Removes pain during menstruation,especially back,waist and stomach.
6.Treats menstruation problem with heavier bleeding and bad smell.
7.Treats fungus and P.I.D

USAGE:
Put 1 teaspoon in a cup of hot water, stir well, then drink twice a day (1x2).
๐—ณ๐—ผ๐—น๐—น๐—ผ๐˜„ ๐˜‚๐˜€
+255767607724

30/03/2026

๐—จ๐—ฆ๐—›๐—จ๐—›๐—จ๐——๐—” ๐— ๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—จ๐—ฉ๐—œ๐— ๐—•๐—˜ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ก๐—ฌ๐—”๐— ๐—” ๐—จ๐—ญ๐—˜๐— ๐—•๐—˜ ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—”๐—ง๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—ข๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜.
Hii ni furaha kwenu wateja wetu na mnazidi kupata uponyaji na matokeo kwa uwezo wa Mungu.
Sisi k**a tunawaahidi kuwapa huduma bora,za kweli na uwaminifu.
+255767607724

๐ŸŒ™๐Ÿ•‹

๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—จ๐—ญ๐—” ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—ญ๐—˜๐—ง๐—จ. Njoo uuze dawa bora zenye kuleta matokeo mazuri kwa mtumiaji.  +255767607...
29/03/2026

๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—จ๐—ญ๐—” ๐——๐—”๐—ช๐—” ๐—ญ๐—˜๐—ง๐—จ.
Njoo uuze dawa bora zenye kuleta matokeo mazuri kwa mtumiaji.
+255767607724

25/03/2026

DUA HULETA MAJIBU KWA UYATAKAYO๐Ÿ™

Address

Https://maps. App. Goo. Gl/ZKQWWn4jDZtaHRKZ 6
Arusha
23122

Website

http://www.instagram.com/twaibherbal, https://wa.me/c/25576760772, https://www.yout

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twaib Herbal Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Twaib Herbal Products:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram